Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Chukulia mfano situation hiiWhat produce internet!? What is internet!? Source of internet!??
Chief twende taratibu.. sie wengine ni slow learner.. Najitahidi kukuelewa lakini napata shida.Chukulia mfano situation hii
Wewe una game unacheza kwako, na jirani nyumba ya pili pia Ana game Hilo Hilo anacheza, mkataka mcheze pamoja, mkakonect games zenu kwa waya, nyumba ya tatu naye akapenda akaleta waya wake mkawa mnacheza pamoja, nyumba ya nne mpaka Mtaa mzima na wao wakaconect na waya zao, Hivyo Mtaa mzima kila mtu a naweza cheza games na mwenzake akitaka.
Internet sasa ni huo muunganiko wa waya, minara, kuunganisha Dunia nzima, haina mwanzo wala mwisho ni muunganiko.
Chukulia mfano situation hii
Wewe una game unacheza kwako, na jirani nyumba ya pili pia Ana game Hilo Hilo anacheza, mkataka mcheze pamoja, mkakonect games zenu kwa waya, nyumba ya tatu naye akapenda akaleta waya wake mkawa mnacheza pamoja, nyumba ya nne mpaka Mtaa mzima na wao wakaconect na waya zao, Hivyo Mtaa mzima kila mtu a naweza cheza games na mwenzake akitaka.
Internet sasa ni huo muunganiko wa waya, minara, kuunganisha Dunia nzima, haina mwanzo wala mwisho ni muunganiko.
Wanaotoza hizo hela ni wamiliki wa miundombinu, kama ulikuwa Active wakati Halotel wanaanza biashara walikuwa wakisambaza waya nchi nzima, walikuwa wanachimba mifereji mtaani ili kupitisha hizo waya, pamoja na hizo waya pia wana minara, hio minara na waya za halotel zinaenda kuunganika na nyanya kuu za baharini.Yaani hapo umeeleweka nusu... asante.
Ila hawa wanaocheza game wanauziwaje data sasa ikiwa imefikia muda wa biashara?
Mkuu yaani swali haswa ni kwamba kwenye hizo waya utaratibu wa sisi kununua data upoje? Yaani MBs... yaani napotoa hela yangu hizo MBs zinatokatokaje !!?
Maana kwa mfumo unavyo onekana ni kama vile hii shughuli ni cheap sana ama sawa na bure ina kihuharisia ni gharama saaaanaaa
Wanaotoza hizo hela ni wamiliki wa miundombinu, kama ulikuwa Active wakati Halotel wanaanza biashara walikuwa wakisambaza waya nchi nzima, walikuwa wanachimba mifereji mtaani ili kupitisha hizo waya, pamoja na hizo waya pia wana minara, hio minara na waya za halotel zinaenda kuunganika na nyanya kuu za baharini.
Mfano umenunua kifurushi cha 1gb na unadownloAd movie, server ipo urusi, inamaana wewe na mwenye server wote mnalipia kutumia hio miundombinu ya watu kutoa kitu urusi mpaka kifike hapa Tanzania, ukimaliza kusafirisha GB yako moja wanakukatia mawasiliano.
Kwanini ni ghali? Kwanini wasituachie tu tutumie? Hii most of time inatokana na bandwidth, ule uwezo wa miundombinu kusafirisha hizo data.
Kama Halotel Backbone ya miundombinu yake ni 10gbps ina maana kila sekunde wanaweza safirisha hizo GB 10, Hivyo capacity yao ipo limited, wakiachia kila mtu a download anavyotaka kwa speed anavyotaka ujue miundombinu itazidiwa na miundombinu ikizidiwa ujue internet inakuwa slow sana.
Kukabiliana na hili ndio maana unaona kila siku tech mpya zinakuja kuanzia fiber yenyewe hadi minara ya 2g, 3g, 4g, 5g etc.
Server ni computer kama uliotumia wewe kuandika hii msg na yenyewe inaweza kufa, ama bando kuisha, internet ina connect wewe na hio computer nyengine inayoitwa server.Chief twende taratibu.. sie wengine ni slow learner.. Najitahidi kukuelewa lakini napata shida.
Chukulia mfano huu, Maji source yake ni muunganiko wa hydrogen na oxygen.. hivyo inaelezeka...
Vipi kuhusu internet!?
Mfano wa pili: what makes servers to be down!? Na kwa nini huwa tunasema internet haipo strong!??
Kwangu pia, wa China wana tabu sana. Hilo ni Tatizo la proxy zao, wapo busy tu kujaza matangazo.Mkuu Chief Mkwawa, opera mini ina shida gani mbona kwangu inasumbua. Link zinafunguka namna hiiView attachment 1676081
Aah kumbe ni app ya Mchina hii. Nimekupata.Kwangu pia, wa China wana tabu sana. Hilo ni Tatizo la proxy zao, wapo busy tu kujaza matangazo.
Ni App ukanda wa Scandinavia ule ila wa China wameinunua wanajaza tu matangazo siku hizi,Aah kumbe ni app ya Mchina hii. Nimekupata.
Mkuu heshima kwako.Kwangu pia, wa China wana tabu sana. Hilo ni Tatizo la proxy zao, wapo busy tu kujaza matangazo.
Mkuu mambo ya server, hosting etc kama upo serious kabisa ni nje ya uwezo wangu,Mkuu heshima kwako.
Naomba kama hutojali kama mdogo wako nisaidie hapa kwa hapa Nchini ni provider gani mzuri wa Internet na gharama zake zikiwa nzuri kwa vifurushi vy unlimited ambayo ni strong Internet pia, na je! Ni speed ipi nzuri kati ya hizi kwa shughuli za sever, hosting na mengineyo ?
Ahsante mkuuMkuu mambo ya server, hosting etc kama upo serious kabisa ni nje ya uwezo wangu,
Wapo providers kama Raha, simba net etc ambao wana deal na business to business na wanatoa dedicated speed unaweza kuwacheki.
Na ni vyema Pia Ukapitia Kwa wengine ambao tayari wanafanya hii kazi hapa Tanzania.
mpe hongera baba yakoBaba aliniambia ni Taiwan
Raha fiber [emoji1541]Mkuu mambo ya server, hosting etc kama upo serious kabisa ni nje ya uwezo wangu,
Wapo providers kama Raha, simba net etc ambao wana deal na business to business na wanatoa dedicated speed unaweza kuwacheki.
Na ni vyema Pia Ukapitia Kwa wengine ambao tayari wanafanya hii kazi hapa Tanzania.
Kwa Mtwara wapo, so nahisi mikoa mingine wapo pia.Mkuu hawa watu wanapeleka huduma na mikoani au wapo dar tu