Tanzania tunanunulia wapi/nchi gani Internet?

So tupo kwenye right position..?

Mi naona ni mbinu tu za wafanyabiashara wa hiyo miwaya!.. itachukua muda kuja kubadili mwenendo..
Hiyo siyo waya bali fibre glass ilianza kutumika kuanzia miaka ya 90s.
 
Mhh mkuu kwahiyo hawa wanaotuuzia wanakuwa wanataka kufidia gharama ipi???
 
Ni kama walivyosemaga eti huduma za posta zinaenda kufa nikawaangaliaaa nikasema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Yaani sasa hivi watu wa posta ndo wanachakarika vibaya mno.
Kwani iyo kampuni bado tu ipo hai ?.mi nilijua ishakufa maana naona kama vile awapo serious na kazi
 
Mkuu, mimi nilifikiri Internet makao makuu yake ni USA, yani ndipo panapofanyika connections zote.

Naamnisha ivi;

USA kuna kituo INTERNET
Wechat, inachukua na kutuma kupita cable yake ya china, ambayo hio cable ya china ndio imekwenda hapo US.

Hivyo kinachotokea, wakati nachat kwenye wechat, manake data yangu inapita kwenye waya wetu tanzania unakwenda hadi USA (inawezekana cable yetu imeunganishwa kwenye nchi nyengine, lakini ukitrace mwisho unafika hapo USA) hapo kituoni USA inatizama hii data mhusika ni tiktok na yupo kwenye line ya china, basi inapitishwa hapo.

Ama vipi?

Kuna ishu kwenye mambo za tech zinanipa mawazo 😀
 
hapana, kama wechat wameweka servers USA basi itapitia USA ila kama server zipo China basi haitapitia USA itaenda China moja kwa moja,
 
hapana, kama wechat wameweka servers USA basi itapitia USA ila kama server zipo China basi haitapitia USA itaenda China moja kwa moja,
So mtandazo wa izi cable, ni kama road network zimezunguka zunguka . Kwa mfano wa wechat, labda yetu imetoka UK, lakini ya UK nayo imekwenda china, kwaio data itatoka tz, itakwenda uk, afu itakwenda china kwenye servers za wechat? Yaani hio cable sio kwamba imetoka direct kutoka kwenye servers moja kwa moja hadi tz? kama mitandao ya simu. Uko dar unampigia mtu arusha, minara iliyopo baina yenu ndio inaunganisha na sio kwamba mnara wa arusha mmoja unawasiliana na mmoja wa dar au sio?
 
Kwa Nchi kama Zetu possibility hio ni kubwa sababu ya ukosefu wa miundombinu ikawa inazungushwa kupitia nchi mbalimbali mpaka kufikia destination, ila sio lazima iwe hivyo sababu hizi cable zinatembea Baharini, inaweza ikatoka moja kwa Moja Toka Tanzania hadi China bila kupitia popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…