TFF na Bodi ya ligi Tanzania huwa hamuoni aibu marefa wa nchi nyingine kuitwa kwenda kuchezesha michuano ya kimataifa??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
NALIA NGWENA sidharau marefali wetu lakini napatwa na ukakasi sana MTU anapotamka kuwa "ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa''

Angalia Kenya na Uganda ligi zao zinatoa marefa kwenda kuchezesha michuano ya kimataifa lakini ukija Tanzania hata michezo ya ndondo hakuna refa aliyeitwa kwenda kuchezesha.

TFF na Bodi ya ligi ifikie hatua ione aibu Sasa na itengeneze mfumo mzuri na mfumo endelevu utakao kuwa unazalisha marefa wenye uweledi katika utendaji wa kazi.

TFF na Bodi ya ligi jifunzeni/igeni kutoka kwenye nchi jirani wanafanyaje fanyaje mpaka marefa wao wanakua Bora kuliko wa kwetu mpaka wanaitwa kwenye michuano ya kimataifa.

Mbona vitu vingine tunaiga Kama kuwafundisha ball boys kuchelewesha mipira na kurusha mipira miwili uwanjani kama tulivyofanya kwenye mchezo wa Taifa stars dhidi ya Niger.

Kuna uwezekano mkubwa hao wanaotuambia ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa ni wanatukejeli tu maana huwezi kuwezi kuwa na ligi Bora halafu marefa wako hawatambuliki.
 
Ulitaka marefa wetu waitwe waache mapenzi ya Usimba na Uyanga
 
"E="NALIA NGWENA, post: 48033408, member: 391368"]
WATAFUTE WAZIBUA MITARO MIMI HUWA SIZIBUI MITARO.
[/QUOTE]" halafu wale wamiki wa ihefu ni kama wana asili ya nchi za kiarabu eh? kwa nn tu asiwafuate wakamzibue.
 
"E="NALIA NGWENA, post: 48033408, member: 391368"]
WATAFUTE WAZIBUA MITARO MIMI HUWA SIZIBUI MITARO.
[/QUOTE]"
 
" halafu wale wamiki wa ihefu ni kama wana asili ya nchi za kiarabu eh? kwa nn tu asiwafuate wakamzibue.[/QUOTE]ACHANA NALO JINGA HILO.
 
NALIA NGWENA sidharau marefali wetu lakini napatwa na ukakasi sana MTU anapotamka kuwa "ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa''

Angalia Kenya na Uganda ligi zao zinatoa marefa kwenda kuchezesha michuano ya kimataifa lakini ukija Tanzania hata michezo ya ndondo hakuna refa aliyeitwa kwenda kuchezesha.

TFF na Bodi ya ligi ifikie hatua ione aibu Sasa na itengeneze mfumo mzuri na mfumo endelevu utakao kuwa unazalisha marefa wenye uweledi katika utendaji wa kazi.

TFF na Bodi ya ligi jifunzeni/igeni kutoka kwenye nchi jirani wanafanyaje fanyaje mpaka marefa wao wanakua Bora kuliko wa kwetu mpaka wanaitwa kwenye michuano ya kimataifa.

Mbona vitu vingine tunaiga Kama kuwafundisha ball boys kuchelewesha mipira na kurusha mipira miwili uwanjani kama tulivyofanya kwenye mchezo wa Taifa stars dhidi ya Niger.

Kuna uwezekano mkubwa hao wanaotuambia ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa ni wanatukejeli tu maana huwezi kuwezi kuwa na ligi Bora halafu marefa wako hawatambuliki.
Mkuu NALIA NGWENA achana na hao TFF akili zao wanazijua wenyewe. Twende kule kwenye jukwaa letu tufanye kazi, leo ni siku kazi acha blabla!
 
NALIA NGWENA sidharau marefali wetu lakini napatwa na ukakasi sana MTU anapotamka kuwa "ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa''

Angalia Kenya na Uganda ligi zao zinatoa marefa kwenda kuchezesha michuano ya kimataifa lakini ukija Tanzania hata michezo ya ndondo hakuna refa aliyeitwa kwenda kuchezesha.

TFF na Bodi ya ligi ifikie hatua ione aibu Sasa na itengeneze mfumo mzuri na mfumo endelevu utakao kuwa unazalisha marefa wenye uweledi katika utendaji wa kazi.

TFF na Bodi ya ligi jifunzeni/igeni kutoka kwenye nchi jirani wanafanyaje fanyaje mpaka marefa wao wanakua Bora kuliko wa kwetu mpaka wanaitwa kwenye michuano ya kimataifa.

Mbona vitu vingine tunaiga Kama kuwafundisha ball boys kuchelewesha mipira na kurusha mipira miwili uwanjani kama tulivyofanya kwenye mchezo wa Taifa stars dhidi ya Niger.

Kuna uwezekano mkubwa hao wanaotuambia ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa ni wanatukejeli tu maana huwezi kuwezi kuwa na ligi Bora halafu marefa wako hawatambuliki.
Mwaka jana lomalisa alipiga cross mpira ulikuwa umetoka ikawa goal ulikuwa wapi kukemea ili twende tukachezeshe nje.
 
Yote haya kasababisha Ihefu. Bado hamjasema na mtasema tu.
NB. Mwaka huu Karia na TFF wataingia ktk lawama baada kupumzika miaka miwili.
 
Urefa Tanzania ni tatizo kubwa nilishangaa mwenyekiti wa kamati ya waamuzi kujigamba kuombea msamaha waamuzi waliofungiwa kisa ni makosa ya kibinadamu.
Ukweli hata wawakilishi wetu tunaowapata pamoja na wafungaji Bora sio wanaostahili.
Kuna rushwa inayoanzia kwenye kamati ya waamuzi kwenda kwa marefa ambayo inawapa kiburi marefa kurudia makosa kwa makusudi.
Hata tukiandaa Afcon tunaweza tusitoe refa hata mmoja.
 
Kweli kabisa Mkuu NAKAZIA
 
Mwaka jana lomalisa alipiga cross mpira ulikuwa umetoka ikawa goal ulikuwa wapi kukemea ili twende tukachezeshe nje.
Siyo Hilo tu umesahau kuwa Kuna mpira ulipigwa na mchezaji wa Ayub fc ukatoka nje Ila ukarudishwa na mtu akafunga.
 
NALIA NGWENA sidharau marefali wetu lakini napatwa na ukakasi sana MTU anapotamka kuwa "ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa''

Angalia Kenya na Uganda ligi zao zinatoa marefa kwenda kuchezesha michuano ya kimataifa lakini ukija Tanzania hata michezo ya ndondo hakuna refa aliyeitwa kwenda kuchezesha.

TFF na Bodi ya ligi ifikie hatua ione aibu Sasa na itengeneze mfumo mzuri na mfumo endelevu utakao kuwa unazalisha marefa wenye uweledi katika utendaji wa kazi.

TFF na Bodi ya ligi jifunzeni/igeni kutoka kwenye nchi jirani wanafanyaje fanyaje mpaka marefa wao wanakua Bora kuliko wa kwetu mpaka wanaitwa kwenye michuano ya kimataifa.

Mbona vitu vingine tunaiga Kama kuwafundisha ball boys kuchelewesha mipira na kurusha mipira miwili uwanjani kama tulivyofanya kwenye mchezo wa Taifa stars dhidi ya Niger.

Kuna uwezekano mkubwa hao wanaotuambia ligi yetu ni ya Tano kwa ubora Africa ni wanatukejeli tu maana huwezi kuwezi kuwa na ligi Bora halafu marefa wako hawatambuliki.
Halafu system zetu siku zote huwa hazilengi mambo ya kimataifa, ni ujanja ujanja tu wa ndani ya nchi. Mtu mmoja mmoja ndio huwa anapambana yeye mwenyewe kimataifa.
 
Lugha ni mtihani mwingine kwa marefa wetu
Kiingereza hiki hiki kinatosha mana lugha ya mpira inajulikana. Tatizo magumashi wanayoyafanya na kuoneshwa Azam TV, je hayaonwi na watu mbalimbali wakiwemo wa CAF? Wakianza kupitia CV marefa wetu wanaonekana magumashi tu!
 
Back
Top Bottom