Tanzania tumejiandaaje kwa Ebola?

Tanzania tumejiandaaje kwa Ebola?

Mungu ailinde Tanzania jamani huo ugonjwa ni hatari.

...wakati mwingine najiuliza sijui kwanini Mungu aliumba hao virus na wakawa hawatibiki,sijui kubalance idadi ya watu,au tutambue limits za mwanadamu,atasijui kwanini,mwisho unasema mwacheni Mungu aitwe Mungu maana we can never think like him....!
 
usicheke aisee... nchi sio mchezo

michakato, mipango-kazi, maandalizi, upembuzi, rasimu, marejesho, sera nk ndio way to go

we are not action oriented, we are the thinkers and dreamers!!

...mkuu nimekusoma vizuri na hilo ndo hofu yangu kubwa,kama dengu na kipindupindu tu vinatupeleka mbio ikija hiyo ebola tutasalimika kweli ?...
 
Mbona wizara ya afya nchini tayari walishatoa tamko kuhusiana na Ebola?
Pia wameshaanza kujiandaa in case kama ugonjwa huko ukiingia nchini.
Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa ugonjwa wa Ebola kuibuka katika nchi za Africa, na mwaka 2012 ugonjwa huu uligusa ardhi ya Tanzania maeneo ya Kagera mpakani, ila Mungu mkubwa haukuenea.

Ebola fear hits Kagera

http://travelmedicalclinic.com/ebola-hemorrahagic-fever-tanzania-kagera-suspected.html
 
Tanzania inachukua tahadhari dhidi ya Ebola

Serikali ya Tanzania imesema inachukua tahadhari ya kuzuia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wake hasa wanaoishi katika maeneo ya mipakani kwa lengo la kujizuia kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

Mganga mkuu wa serikali Dk. Donald Mbando amesema tahadhari hiyo inafuatia kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa huo katika nchi za afrika magharibi na hivyo serikali imeshatuma timu ya wataalam wake katika maeneo ya mipakani kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi ya namna ya kumgundua mtu mwenye virusi vya ugonjwa huo.

Dk. Mbando amesema kupitia wataalam wa afya waliopo katika mipaka ya nchi serikali itakuwa ikitoa taarifa za mara kwa mara ya namna uzuiaji wa ugonjwa huo kwa wananchi na wanapata elimu ya kutosha ya kujikinga na virusi vya Ebola.

Pichani
Mganga mkuu wa serikalini Dr.Mmbando(kushoto) akiwa na Dr. Likwelile,katibu mkuu wizara ya fedha nauchumi
Source: eat newz
 
Attachments

  • 1406623524894.jpg
    1406623524894.jpg
    8.1 KB · Views: 152
Ebola signs. Ebola comes with high fever,stomach pain,diarrhea,vomiting & sore throat. It spreads through contact with saliva,blood,urine,feces & sweat from infected person and avoid /no sex . Avoid contact with persons showing these signs.
 
Mungu aepushie mbali ugonjwa huu uciigie tz

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mara ya mwisho kuona stats za miji mikubwa michafu katika Afrika Dar ilikuwa nafasi ya tatu, sijui kama kuna update. Na si uongo jiji la Dar ni chafu jamani!!!! Dah!!!!

Atha iv tishakua wa kwandha!!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
...yaani mkuu nikivuta picha ya dengu ilivyotupeleka..!? Mungu atusaidie ninamashaka sana na uwezo na uratibu wa plan za kupambana na majanga bado sana,watu watawaza kujenga badala ya kusaidia...

Hivi Dengue iliishia wapi??

Kuhusu hili la ebola sijaona dhamira ya dhati ya serikali kuchukua tahadahri. Nadhani tutajipanga tu ugonjwa ukishaingia.
 
Inasikitisha kuona mpaka sasa Wizara ya Afya ipo kimya kama vile hakuna kinachoendelea kuhusu hili janga.
Hakuna elimu kwa umma wala mwongozo kwa watoa huduma ya afya na cha kusikitisha hakuna any red alert kwenye mipaka yetu.
Uingereza, Marekani n.k wameanza kutilia shaka watu toka Afrika ili kujikinga na janga hili, ila cha kushangaza sie wenye uwezo mdogo wa kupambana na magojnwa tupo kimya tunasubiri itokee.
Chamtoto Dengue katutetemesha subirini baba lao ebola. Mungu tuepushilie mbali na tukinge na janga hili"
 
Wanasema mwenzako akinyolewa ww tia maji, kwa sasa nchi za Afrika Magharibi zinahaha na gonjwa hatari sana ebora,
kwasasa wakuu wa nchi hizo wameita kikao cha dharura ili kuweka mpango wa ukabiliana na gonjwa hili.
Tutakuwa tunajidanganya kama hatutachukua tahadhari kwa kuona hayatuhusu!

ushauri wangu ni hivi kwakuwa katiba mpya bado kuna mgogoro,
wajumbe wahairishe kikao cha bunge maalum ili pesa hizo zikae stand-by kama mlipuko unatufikia tuwe na kuanzia., %!:-gmfqq
 
IKIRIPUKA.... !!!

C.C
jzm-teak
 
Ebora inasadikika itaripuka Kirimanjalo,Dal el saraam, Luvuma, Kagela,na nafikili kutatokea utitili wa wagonjwa! Uumerewa wa Muhaya?

Back
Top Bottom