Siielewi hii post yako!! Kwani serikali ndiyo imeleta ebola kutoka uganda? Sio watu waoingia uganda pamoja na serikali kukataza halafu wanuleta ugonjwa na kuua watu wasiokuwa na hatia??/ Hili ni tatizo la waliokwenda uganda na kurudi tanzania wakati serikali imetahadharisha sana kuhusu huu ugonjwa.
Ugonjwa huo unasadikiwa kuingia katika kijiji kilichotajwa kwa jina la Mlongo wilayani Karagwe. Wananchi wamekuwa na hofu na wanailaum serikali kwa kutochukua taadhari kuzui ugonjwa huo toka uganda. Wanadai kuwa uzembe huo ndio ulipelekea UKIMWI kuingia toka Uganda.