Tanzania tumejiandaaje kwa Ebola?

Tanzania tumejiandaaje kwa Ebola?

Ee Mola naomba utuepushie kikombe hiki. Maana kwa huduma za hospitali zetu ninavyozifahamu, tutakwisha.
 
ewe Mola wetu tunusuru na hili janga.
Hatua stahiki zichukuliwe ikiwemo kufunga mpaka na kuweka karantini.
 
Huu ugonjwa naomba ukaingie bungeni iliwabunge wanaofikiria matumbo yao wafe. Maana wanaleta siasa badala ya mambo yanayo jenga nchi.
 
serikali yetu ni dhaifu, tena dhaifu kweli.. Juzi viongozi waandamizi wa wizara ya afya walionekana mwanza wakitoa elimu..badala kutembelea mkoa wa kagera hususani wilaya zilizoko mpakani kama Karagwe,bukoba,misenyi, wao wanaishia mwanza.. na ukiisha ingia ndo hvyo ndugu zetu twawapoteza kizembe..
 
hicho kjij cha Mulongo kko katika wlaya mpya ya Kyelwa!formerly ilikuwa moja na Karagwe!i hope this is not true!
 
Hivi %%% kubwa ya madaktari si waliacha
kazi na wengine wamehama nchi ...

Kazi tunayo .
Kwaherini madoctor , karibu Ebola
Asanteeni serikali ya CCM..
 
Mungu atusaidie kwa kweli kwa sisi tulio mipakani
 
madokta wapo kwenye mgomo baridi... Walimu wamegoma.... Kyela na mbinga Malawi wamevamia....kagera ebora imeingia,maisha magumu, mfumuko wa bei ndio usiseme....nikimbilie wapi mimi maskini/fukara wa tanzania.
 
pro chedema wataanza kulia na kikwete kaleta EBOLA ... wait & watch .. zitaanzishwa thread kadhaa zikimlaumu Dr. JK kasababisha ebola ..


 
madokta wapo kwenye mgomo baridi... Walimu wamegoma.... Kyela na mbinga Malawi wamevamia....kagera ebora imeingia,maisha magumu, mfumuko wa bei ndio usiseme....nikimbilie wapi mimi maskini/fukara wa tanzania.

usisahau na UAMSHo kule ZnZ wanadai uhuru wa taifa lao!!!!
 
Lazima chadema watakuwa wanahusika na kuleta ebola
 
Hata AIDS ilianza kuonekana huko Kagera mwaka 1982 bila ya kukosea!
Na leo iko Nchi nzima!

MUNGU tuepushe na janga hili lisiwe la Kitaifa!
 
Hatimae ugonjwa wa EBOLA unao teketeza watu nchini uganda umeingia rasmi nchini leo tarehe 4/8/2012..
mgonjwa wa kwanza karipotiwa kulazwa katika chumba maalum katika hospitali ya Karagwe mkoani KAGERA...mganga mkuu wa hospitali hiyo ameripoti!
Ugonjwa wa Ebola ambao umeshauwa watu kadhaa nchini Uganda umeishaingia Tanzania.

Source: ITV breaking News​
 
Back
Top Bottom