Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Ndio akina nani hao?Akina magonjwa mtambuka?...
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Tanzania ni Nchi yenye viongozi VILAZA, wanaotamka wasioyaishi, wanaotamka maneno bila kujua madhara yake.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Dawa za Ukimwi nasikia hazitolewi tena, bure waathirika wanachukua dozi kwa sh 15000TB mnatibiwa bure kwa fedha zao, Dawa za ukimwi mnapewa bure zimelipiwa na wao. Dawa za maralia mnanunua kwa nusu bei, mnajua nani analipia nusu iliyobaki? Safari hii mwambieni rafiki yenu mchina awasaidie
Usisahau kuchukua fomu ya kugombea ubunge mwaka huu mkuuTanzania ni Nchi yenye viongozi VILAZA, wanaotamka wasioyaishi, wanaotamka maneno bila kujua madhara yake.
Kifupi Tanzania ina Viongozi kama Mateja na Majinga sana, wakiwakilishwa na DAUDI BASHITE.
Bora tunyimwe kwasababu CCM wangechukua waingize kwenye kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisisahau? Kwani niliwahi kuahidi hilo?Usisahau kuchukua fomu ya kugombea ubunge mwaka huu mkuu
Sisi ni donor country hatutaki pesa ya mabeberu. Halafu nadhani wanaona serikali haijachukua hatua za uhakikaMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Kwanza hatutaki misaada yao watataka tuhalalishe ushoga
Pale mpumbavu anapoudhihirisha upumbavu wake.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?