Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

Tungo'ke Tupate Katiba mpya. Kishinikizo na kizingiti ni Jumuiya hii tajwa.

I second.

ALUTA CONTINUA
 
Hujui kwanini tupo Jumuiya ya Madola, hujui faida tunazozipata Jumuiya ya Madola alafu Unashauri tujitoe? Jitahidi kukifaham kitu kabda hujakihukumia.

Ulitakiwa ufatilie kwanini tupo huko, tunapata faida au hasara na tunapataje ndo Uje u comment. By the way Title na thread yako haviendani
Kuna namna mbalimbali za uandikaji wa kichwa cha habari, kwa hiyo usitilie shaka uandishi wangu wa kichwa cha thread bali jikite zaidi katika maswali tajwa hapo .
 
Switzerland hawako hata jumuiya moja!!? Duuuu
Baada ya kukaa kwa miaka mingi bila kujiunga na UN ilifanya hivyo mwaka 2002 ili iweze kushiriki katika baadhi ya masuala ya maendeleo. Hata hivyo bado haifungamani na upande wo wote na haina jeshi isipokuwa ina polisi ambao pia wanatumika kama walinzi wa Papa!
 
Tunapokea misaada na mikopo mingi kutoka kwa Uingereza na washirika wake.Kama siyo member huwezi pewa.Mwingereza anaongoza kwa kuwekeza hapa Tanzania na kuwepo Common wealth kunachangia,ukirogwa ukajitoa ni maumivu.
Kwani tutakapo jitoa hatutakua na mbinu mbadala za kukabiliana na hayo?
 
Baada ya kukaa kwa miaka mingi bila kujiunga na UN ilifanya hovyo mwaka 2002 ili iweze kushiriki katika baadhi ya masuala ya maendeleo. Hata hivyo bado haifungamani na upande wo wote na haina jeshi isipokuwa ina polisi ambao pia wanatumika kama walinzi wa Papa!
Asante kwa elimu unayo tupatia.
 
Baada ya kukaa kwa miaka mingi bila kujiunga na UN ilifanya hivyo mwaka 2002 ili iweze kushiriki katika baadhi ya masuala ya maendeleo. Hata hivyo bado haifungamani na upande wo wote na haina jeshi isipokuwa ina polisi ambao pia wanatumika kama walinzi wa Papa!
Duuu
 
Kuna namna mbalimbali za uandikaji wa kichwa cha habari, kwa hiyo usitilie shaka uandishi wangu wa kichwa cha thread bali jikite zaidi katika maswali tajwa hapo .
Nimependa unavyo reply comment hasa zinazokushambulia kutokana na thread yako . Unaonekana umekomaa sana . By the way kabda hatujajitoa Nato tujitoe kwenye TOZO kwanza
 
Back
Top Bottom