Usifikiri wameandika hivyo kwa bahati mbaya mkuu, si unaona juu kuna bendera ya Kenya na chini Mount Kilimanjaro?
Huo ni mkakati.
Ulitaka sie tuandike wapi..?kwenye hivi vindenge vinavoenda kigoma..?
Kama hujui mambo ya
ndege kaa kimya. Kila ndege ina jina kama mbwa. utakumbuka tz tulikua na
ndege zinaitwa KILIMANJARO...SERENGETI.....NGORONGORO etc. hii yao
inaitwa Kilimanjaro. kuna nyingine inaitwa Udzungwa. unajua wakenya
wanazo ndege 47 zote kubwa. hata moja kama yao hatuna.
sijakuelewa kwahiyo kama kila ndege ina jina ndio lazima watumie jina la kivutio cha tanzania? kwanini wasiite mount kenya?
wakenya mna maana gani kutumia jina kilimanjaro kwenye ndege zenu?