Tanzania tuamke jamani - Tutumie fursa zetu zote!

Mlima wa kilimanjaro uko na upande wa kenya wana haki ya kuutangaza na kuutumia

Sio kila kitu kilichopo Tz ni cha Watz
 
Ha ha ha haaahhh.......hii sio vita bali ni changamoto so wakenya wameiona fursa wameikamata na wameenda nayo. Sie huku si tunathamini zaidi siasa ya propaganda sijui serikali ngapi wakati wenzetu wanadeal na economic development.
 
Kwani hizo kodi za watalii zinatusaidia nn huku zaidi ya kuishia matumboni mwa walanchi.. Yani ingewezekana kuuhamisha huo mlima uende kule Tana River au Mombasa waupeleke tu.
 
Hakuna tatizo.
Wameandika "Mount kilimanjaro"
Hawajasema mlima upo Kenya.
Hata nyie nunueni ndege zenu mziandike " mount Kenya" au "mount Elgon" au hata "Nairobi"
na hakuna tatizo.
 
east African community hiyo babaa,! hakuna kosa . ata sisi tutaandika maasai mara kwenye ndege zetu za kukodi.
 
Hivi kilimanjaro iko tanzania eeh? Nasikia na tanzanite pia iko?
 
Mbona hapa kuna London gest house waingereza hawalalamiki. Kuna California dreamer wamarekani wako kimya. KUNA CAFE LATINO. na ninyi wa tz acheni kulalama tumieni majina kama Paris bar. China hotel. Nairobi restaurant etc. huu ndio uwezo wenu. uwezo wa ndege hamna. pale Ukonga kuna MOMBASA BAR mbona wakenya hawasemi.?????
 
haikuhusu tunafanyia nini nazo! mlima hauondoki pale ulipo lets say kuhamia Kenya au sehemu nyingine! Utaendelea kuleta wapandaji na "mbwigambwigwa" kama wewe kuja kupanda kwa malipo milele!

cn_image.size.saruni-camp-masai-mara-kenya.jpg


tunakucheck hater!!!!!!
 
Hii ni hujuma khaa. Roho yaniuma.:-(
Hakuna hujuma hapo mkuu, kama nchi haina shirika lake la ndege unategemea nini, ndio haya yanayotokea, hawa jamaa nadhani ni kuwashukuru maana wanatutangazia vivutio vyetu kiaina ila kinachotakiwa na huku kupanga mkakati tukawa na ndege yetu ambayo inaruka directly kwenda nchi za watu na kuja na wageni hata ukisema mlima upo Tz watakuelewa (viongozi wakienda nje wanapanda ndege za kigeni, timu za taifa zikisafiri vivyo hivyo, tunapoangalia utalii tunatakiwa tuangalie na nyanja nyingine maana ukiwa na ndege zako za kutosha hata kama mgeni anakwenda Rwanda unapitisha bongo kwanza on transit (anaacha vijisent kidogo) then anaunganisha kama wafanyavyo Emirates
 
Also from kiligolf in Tanzania Machame side, keep being desperate ati the best view is in Kenya the 30 km between the mountain and the border of Kenya is enough to get the picture of the mt at any side plus the two of three peaks visible!

kili-golf-range.jpg
 
Back
Top Bottom