Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,327
- 17,830
Mkuu kama kizungu nimekielewa vizuri ni kwamba hiyo ndege ni ile Bombardier tuliyo iagiza A220-300.Yani tunachanganya madawa Bombardier, Airbus, Dreamliner?
Ndege tatu, kampuni tatu tofauti?
Where is the logic?
Where is the economy of scale?
Kilichotokea ni kwamba imekubalika kuingizwa ktk series za ndege za Airbus kutokana na ubora wake na mikataba yao kati ya Airbus na Bombardier.
Kwa kifupi ndege ni Bombardier ile ile ni sio Airbus series iliyotengenezwa na Airbus wenyewe pale Toulouse France. Hapa ni kama Airbus wame endorse tu ndege ya Bombardier lakini watahakikisha ndege hiyo inakidhi viwango vya Airbus kulinda brand.
Nadhani hii ndio sababu mdau kasema umekurupuka kwa vile ulichosema au kuhoji hakipo hivyo. Yaani hatujaongeza aina mpya ya ndege ktk mseto wetu wa Boeng na Bombardier kwa kuongeza Airbus.