Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,757
- 29,318
Tatizo ni nn kiranga. Hizo cs300 and cs100 zilikuwa ni bombadier kabla ya airbus kununu share ndio zimebadilishwa majina kutoka Cs to airbus 220. Kitaalam airbus 220 still ni bombadier Cs300 maana ndege yote imetengenezewa huko.. airbus wamenunua shares tu.Nimetaja Dreamliner, Airbus na Bombardier.
Mbona umetaja Dreamliner tu?
Unataka kuniambia Dreamliner, Bombardier na Airbus zinatengenezwa a kampuni moja?
Unajua kusoma?
Umeelewa nilichoandika?
Anayejichanganya hapa nani? Mimi ninayesema Dreamliner, Bombardier na Airbus ni kampuni tofauti na hili ni baya kwa fleet yetu au wewe unayesema mimi kusema hivyo najichanganya?
Nilipojichanganya hasa wapi?
Unajua kusoma?