Tanzania sio kichwa cha mwendawazimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania sio kichwa cha mwendawazimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zawadi Ngoda, Oct 8, 2010.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio lelemama, ni lazima uwe umekamilika katika nyanja zote. Ninaelewa kuwa kila mmoja wa watanzania takriban 40 mil, angependa kuwa raisi wa Tanzania japo kwa siku moja katika maisha yake. Lakikini hali halisi sio hiyo.

  Mheshimiwa Slaa ni mbunge ninayemheshimu sana, lakini kugombea kiti cha urais ni utani uliokithiri. Mapungufu aliyekuwanayo ni makubwa, kama nikiyaorodhesha yote basi mtachoka hata kusoma, na bado sijaeleza mapungufu ya chama CHADEMA. Mapungufu mawili ya Slaa ni kuwa na elimu ya jicho moja, nikimaanisha kuwa ana elimu isiyo na upeo wa kuwaelewa na kuwakubali watanzania wote(usiponielewa mpaka hapo niulize nitakufafanulia). Pungufu la pili ni mtu asiyeelewa au kuwa na vision ya uchumi, kitu ambacho ni changamoto kubwa ktk nchi yetu sasa hivi. Na pungufu la tatu si la Slaa bali ni la chama chake, ambalo ni kushindwa kuwa na wabunge wa kutosha kumuunga mkono puindi atapokuwa Raisi. Ni dikteta peke yake anaweza kuongoza nchi akiwa na chini ya 20% ya wabunge wa nchi nzima, kitu ambacho CHADEMA haiwezi kuzidi namba hiyo.

  Hatutaki vurugu tunataka muendelezo wa demokrasia, madhara ya kujaribu kuwa Rais bila uwezo ni makubwa sana, tunaona yanayotokea huko Madagaskari 'Demokrasia bila Amani'

  Ushauri wangu kwa Slaa: Jitoe ktk kugombea urais na badala yake saidia kupiga kampeni ya wabunge katika majimbo mbali mbali. Urais hutauweza kamwe na ni hatari kwa nchi yenye martaumaini kama TZ. Hatuhitaji Revolution bali tunahitaji Evolution kutokana na matatizo yaliyopo Tanzania.
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,963
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180

  Asilimia 20 ya wabunge + wabunge 10 wa kwa nafasi ya uraisi wanatosha sana kuunda baraza la mawaziri lenye ufanisi mkubwa
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Mbona kwa Miaka mitano Iliyopita tumekuwa kichwa cha mwendawazimu kwa kinyozi ambaye alikuwa hajajiandaa kuwa Kinyozi kweli bali alikuwa anataka ile sifa tu ya kuwa Kinyozi ????
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Poleee..
   
 5. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hapo sikuwa na maana idadi ya wabunge wataotosheleza kujaza nafasi za Mawaziri, bali nilikuwa na maana ya BUNGE KAMA MHIMILI UNAOPIMA UFANISI WA SERIKALI NA WENYE MADARAKA HATA YA KUPIGA KURA OF NO CONFIDENCE. Hivyo nia ilikuwa ni kuutazama msuguano kati ya Serikali na Bunge, bila kusahau upitishwaji wa Bajeti.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Malaria Sugu katotoa...
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  wewe umeamkia wapi leo?miaka mitano iliyopita raisi wako alikuwa anapata anajifunza sa kutufanya sisi wendawazimu sasa anataka tumpe tena madaraka ili aanze kufanya kazi,huo ni uendawazimu uliokithiri, slaa ndo ukombozi wa mtanzania
   
 8. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Du!!!!!!!!! kwanza habari ya siku mingi? Wenzio wameshakubali na ahata hawaonekani jukwaani siku hizi, mpaka nilikusahau! Anyways ulikuwa wapi mpaka JK sasa anachezea chini ya 50%
   
 9. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hapa JF ok. Lakini hali halisi waulize REDET
   
 10. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  mwenzako alikuwa na maoni yafuatayo aliposomo takwimu za REDET.

  "wadau msihangaike sana kujua sample space, mara accumulative curve n.k Kama uliwaangalia vizuri wale jamaa wakati wanasoma ile taarifa yao(tafiti), walikuwa na ''luck of confidence''. Pili lile benchi la ufundi lilionyesha wazi kwa nyuso zao kwamba ile ni chakachua, nobody alikuwa happy kwenye lile benchi ukiachilia mbali yule Phd feki na yule dada pembeni. Isitoshe wale REDET walisema utaratibu wao ni after every 6 month ndipo wanatoa tafiti, maana nyingine ni kwamba tafiti zao zinakuwa within 6 month. Sasa kwa kadri yao, hii tafiti imefanywa kwenye mikoa 26(sijajumuisha wilaya na vijiji vyake), kwa sample size ya watu 2000 ni kwamba kila mkoa umejumuisha watu 75 tu. Uki'assume' kila mkoa una wilaya 5 utapata kila wilaya inahusisha watu 15 tu, na tukisema kila wilaya ina vijiji 20 , ni kwamba kila kijiji kinajumuisha kuwauliza mtu 1 tu...what foolish is this?yaani kila kijiji kaulizwa mtu 1 tu??inaingia akillini nyie watu wa REDET na MA-Phd zenu??yaani kwa miezi yote hiyo 6 mmeuliza mtu mmoja kwa kila kijiji??...ndipo hapo tunaposema kwamba watu hao waliohojiwa ni WATENDAJI WA CCM TU......Nawakil"

  NI KAWAIDA YA WATANZANIA KUTOKUBALI UKWELI.
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bwa ha ha ha ha

  Wewe fisadi la ccm unataka picha za kufaa udaku wako huu
   
 12. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Vipi kuhusu hii nyumba ya mwalimu wa shule kule kanda ya kati tanzania?

  [​IMG]
   
 13. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Unasema sawa. Miaka mitano ya Kikwete tumeona matokeo yake: UFISADI, USULTANI na UBABAISHAJI. Swali kwako: Je kuna shule ya uraisi?
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Are you serious or do you expect us to take you serious after this balderdash?

  Huyu JK wenu mcheza disco ndiyo kiongozi mnayemwona wa maana?

  Hivi wewe ni mnajimu sasa unajua hata matokeo ya wabunge yatakuwaje?

  My God, give us a break, man........unajiongelea kama vile ndiyo kwanza umetoka usingizini. Amka na utulie kabla ya kurukia hoja za kimsingi

  Be serious, Man. We expect more from you!!!!!!!!!!!!
   
 15. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Zawadi unawapa Chadema 20% ya wabunge wa kuchaguliwa!
  Nina uhakika wa 100% kwamba Chadema hawatopata hiyo asilimia, labda (NARUDIA TENA LABDA) huyo slaa ndio anaweza fika 20% ya kura za urais,,,,,

  niko tayari kuja kukumbushwa haya baada ya uchaguzi kama itatokea vyenginevyo...
   
 16. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  crap
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,021
  Trophy Points: 280
  Mshirazi,

  ..itakuwa balaa kama CCM wataendelea kushika nafasi ya Uraisi pamoja na kuwa na majority bungeni.

  ..lazima CCM wa-lose, ama Uraisi, au majority kwenye bunge, ili demokrasia yetu ifanye kazi na nchi iweze kusonga mbele kimaendeleo.
   
 18. Mentee

  Mentee Senior Member

  #18
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo lako unachora graph kwa kutumia point moja... Ebu mchukue huyo unayedhani anafaa.... Wenziwe wote wanaogombea urais ni madaktari na maprofesa wa kusomea... yeye kupewa tu wa jina basi anajitangaaaaaza!! Aende darasani kwanza... ndo maana nchi inakwenda mrama tangu mwaka 2005 hadi anaahidi kufanya kazi zinazostahili kufanywa na balozi wa nyumba kumi. Au na wewe ndo mmoja wao?
   
 19. M

  Msharika JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zawadi najua roho inakuuma sana japo unajifanya ujui ualisia wa mambo, JK maji ya shingo, Ajira aliyopewa 2005 performance yake ilikuwa na ufanisi katika yafuatayo
  - kuongeza mfumuko wa bei
  -Kupunguza akiba ya serikali ya fedha za kigeni kwa matanuzi ya nje
  -Kushusha thamani ya shilingi
  -Kushusha hari ya wafanyakazi kila sekta
  - kukumbatia mafisadi na wezi wa mali ya umma.
  - Kukubali barabara na hoteli kuaribu ecologia ya serengeti(mbuga kubwa duniani na inayo vutia kwa wingi wa wanyama wa aina mbalimbali) kwa masilahi binafsi.
  -kuwaambia wanafunzi na raia kupata mimba na ukimwi ni kihererehere, Je yeye Yu salama?
  Je kwa haya unasababu ya kumpigia JK kura?
  Sasa kura yako mpe mtendaji makini Dr Wilbroad Peter Silaa(P.hD)
  =Silaha anaheshimu umma, akurupuki, anachambua na kuangalia probability of profit and loss ndiyo sababu anatoa data zilizoivya ya vinavyowezekana, sio kutoa ahadi isiyotekelezeka kuwa utajenga uwanja wa ndege mpwapwa, for what Economical purpose?
  = Bungeni ulimuona anaongea kwa data na kila waziri alikiri silaa ni kisiki cha mpingo, ni daktari aliyebobea.

  Mwenye mengine aongezee
   
 20. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr Silaha will expel Indians out of this country because of his personal hatred over Asians!
  While Tanzanians of Asian origin have been successful due to hard work, perseverance, and personal sacrifices, majority of you Bantus have been lazy, singing Bongo Flavor, spending your precious time running your big mouths at the beer pubs, and ignorant. CCM knows it very well, and that's why they do not have any beef with us. The opposition and majority of their supporters perceive our success as attributed to corruption and tax evasion! I have a message for you all....CCM will win by a landslide!
  While we will continue to run the show economywise, you will have no choice but to go with the flow.
  Good night!
   
Loading...