Tanzania sio kichwa cha mwendawazimu

Dr Silaha will expel Indians out of this country because of his personal hatred over Asians!
While Tanzanians of Asian origin have been successful due to hard work, perseverance, and personal sacrifices, majority of you Bantus have been lazy, singing Bongo Flavor, spending your precious time running your big mouths at the beer pubs, and ignorant. CCM knows it very well, and that's why they do not have any beef with us. The opposition and majority of their supporters perceive our success as attributed to corruption and tax evasion! I have a message for you all....CCM will win by a landslide!
While we will continue to run the show economywise, you will have no choice but to go with the flow.
Good night!
hu ndo tunaita utumbo, any punjab out pls help to tlanslate this....
 
stress.jpg
Kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio lelemama, ni lazima uwe umekamilika katika nyanja zote. Ninaelewa kuwa kila mmoja wa watanzania takriban 40 mil, angependa kuwa raisi wa Tanzania japo kwa siku moja katika maisha yake. Lakikini hali halisi sio hiyo.

Mheshimiwa Slaa ni mbunge ninayemheshimu sana, lakini kugombea kiti cha urais ni utani uliokithiri. Mapungufu aliyekuwanayo ni makubwa, kama nikiyaorodhesha yote basi mtachoka hata kusoma, na bado sijaeleza mapungufu ya chama CHADEMA. Mapungufu mawili ya Slaa ni kuwa na elimu ya jicho moja, nikimaanisha kuwa ana elimu isiyo na upeo wa kuwaelewa na kuwakubali watanzania wote(usiponielewa mpaka hapo niulize nitakufafanulia). Pungufu la pili ni mtu asiyeelewa au kuwa na vision ya uchumi, kitu ambacho ni changamoto kubwa ktk nchi yetu sasa hivi. Na pungufu la tatu si la Slaa bali ni la chama chake, ambalo ni kushindwa kuwa na wabunge wa kutosha kumuunga mkono puindi atapokuwa Raisi. Ni dikteta peke yake anaweza kuongoza nchi akiwa na chini ya 20% ya wabunge wa nchi nzima, kitu ambacho CHADEMA haiwezi kuzidi namba hiyo.

Hatutaki vurugu tunataka muendelezo wa demokrasia, madhara ya kujaribu kuwa Rais bila uwezo ni makubwa sana, tunaona yanayotokea huko Madagaskari 'Demokrasia bila Amani'

Ushauri wangu kwa Slaa: Jitoe ktk kugombea urais na badala yake saidia kupiga kampeni ya wabunge katika majimbo mbali mbali. Urais hutauweza kamwe na ni hatari kwa nchi yenye martaumaini kama TZ. Hatuhitaji Revolution bali tunahitaji Evolution kutokana na matatizo yaliyopo Tanzania.
 
Dr Silaha will expel Indians out of this country because of his personal hatred over Asians!
While Tanzanians of Asian origin have been successful due to hard work, perseverance, and personal sacrifices, majority of you Bantus have been lazy, singing Bongo Flavor, spending your precious time running your big mouths at the beer pubs, and ignorant. CCM knows it very well, and that's why they do not have any beef with us. The opposition and majority of their supporters perceive our success as attributed to corruption and tax evasion! I have a message for you all....CCM will win by a landslide!
While we will continue to run the show economywise, you will have no choice but to go with the flow.
Good night!

Duh! R u for real, man?
wenzangu mi huyu jamaa naona kama hazimtoshi kichwani ... seriously!:A S 13:
 
There he goooes,hahaaaaaa i was right all aloong, so you scared ha! Hapa nlipo mbavu sina
 
Dr Silaha will expel Indians out of this country because of his personal hatred over Asians!
While Tanzanians of Asian origin have been successful due to hard work, perseverance, and personal sacrifices, majority of you Bantus have been lazy, singing Bongo Flavor, spending your precious time running your big mouths at the beer pubs, and ignorant. CCM knows it very well, and that's why they do not have any beef with us. The opposition and majority of their supporters perceive our success as attributed to corruption and tax evasion! I have a message for you all....CCM will win by a landslide!
While we will continue to run the show economywise, you will have no choice but to go with the flow.
Good night!

....We know all about you, Ponjoro. So pack up and go to play films in Bollywood while the going is still Good. We have you on our sights and your Chama Cha Mafisadi is not going to help you in any way. You have been Warned.
 
Pole sana, iko siku utayajutia maneno yako ya kinafiki. Siyo Dr. Slaa aliyeutamani Uraisi kama JK. Ni watu wenye Upeo waliomshauri agombee na si kwaajili ya manufaa yake bali kwa manufaa ya uma wa Watanzania wenye njaa, wagonjwa, wanopata elimu duni, wenye kunyanyaswa na kuonewa na utawala wa hao unaofikiri wanafaa kuongoza. Sasa nikushauri badala ya kuongelea Dr. Slaa, ni hekima uongelee waliomshauri. Otherwise, nafikiri unajua ukweli, ila tu najua unatimiza wajibu wako maana wewe ni mmoja kati ya wanaoinyonya nchi hii au umetumwa.
 
Kama hakuwa na utashi au mguso wa kugombea urais, na kafanya hivyo baada ya kushauriwa na hao uwaitao 'washauri', basi kusita kwake kulikuwa sahihi kabisa. Kwa vile alielewa kikomo cha uwezo wake- Ubunge.

Sasa naanza kupata picha halisi kwani hao washauri walidhani kuwa kila mchezaji bora anaweza kuwa kocho bora baadaye kitu ambacho ni kosa kubwa. Hayo ya Bungeni nakubaliana nawse kabisa kuwa alikuwa mchezaji bora huko, lakini usichganganye Ubunge na Urais ni vitu viwili tofauti. Alipokuwa bungeni hata mimi namkubali na huko ndiko anatakiwa kurudi.

Huyu mtu jamani hafai kuiwa Raisi, ajitoe kabla ya 31.10
 
Vipi kuhusu hii nyumba ya mwalimu wa shule kule kanda ya kati tanzania?

nyumba3.jpg

Afrika kote mpaka A.kusini huzikosi nyumba KAMA HIZO kwa wafanyakazi wa umma. Kama unazitumia kama propaganda OK, Lakini kama unataKA KUSEMA UKWELI UMEPIGA CHAFU.
 
Mshirazi,

..itakuwa balaa kama CCM wataendelea kushika nafasi ya Uraisi pamoja na kuwa na majority bungeni.

..lazima CCM wa-lose, ama Uraisi, au majority kwenye bunge, ili demokrasia yetu ifanye kazi na nchi iweze kusonga mbele kimaendeleo.

Tatizo ni wapinzani wenyewe, wanazungumzia tu kukitoa chama tawala bila kuja na hoja mahsusi baada ya kuitoa CCM wanamikakati gani. Kama wananchi hawawachagui basi jibu ni rahisi- Hoja zao hazijawaingia au kuwashawishi wananchi kuwa wao ni babu kubwa.

Ukija na hoja dhaifu, matokeo yake ndio hayo.
 
Back
Top Bottom