Tanzania sasa kama Irak...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania sasa kama Irak...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa mmoja, Aug 5, 2009.

 1. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #1
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya mabomu kulipuka mbagala miezi michache iliyopita sasa tena mabomu yamelipuliwa hukooo Kagera yapatayo 250...
  Inasemekana mabomu hayo yalikuwa kwenye shamba la mtu,mwenyewe alikuwa analima matuta yake ya viazi akayaona mabomu na kudhani ni dhahabu!!!Sasa hii si hatari kwa maisha yetu jamani?
  Kwa kusaidiana na jeshi la wananchi Tanzania pamoja na Jeshi la polisi mkoani kagera walifanikiwa kulipua mabomu 250...Hatari kweli kweli!!!
  Haya mabomu yaliwekwa kipindi cha Nduli Iddi Amini Dadaa nini?!
  Usalama upo kweli kwa wa TZ...?!
   
  Last edited: Aug 6, 2009
 2. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #2
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo kilchobaki Tanzania...Yalianza mabomu Mbagala,Yakalipuliwa mengine kagera,sasa ni milipuko ya GAS Kigamboni...!
  Inawezekana kwenye arhi zetu tunazokaa kuna vitu vimechimbiwa huko nasisi tunaishi bila ya kujua,kama mtu aliweza kukuta mabomu chini ya ardhi yakiwa shambani kwake huku kwingine itashindikana?!Serikali inabidi itusaidie katika hili ili maisha yetu yasiwe hatarini especially kwa wale wanaoishi karibia na kambi za jeshi.
  TUTAPONA KWELI WATANZANIA MWAKA HUU...?!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii hali inatisha sana.
  Lakini nadhani haya ya Kagera yaliwekwa huko kipindi cha Idd Amin.
  Kwa hali hii inawapasa wananchi wa maeneo hayo kuwa makini sana na vitu visivyo vya kawaida na kuripoti mara moja, na kwa mtazamo wangu serikali si ya kulaumiwa hapa sana, ni errors za kiutendaji tu za kijeshi.
   
 4. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pengine siyo iddi amini. Juzi tu majambazi wameyatumia kupora benki temeke.inaonekana nchi haiko salama.usalama wa taifa wapunguze siasa nafikiri wanasahau majukumu yao.waongeze bidii.kama kweli walishiriki biashara za kupora rasilimali ya nchi na mamuluki EO kupitia meremete basi ni hatari zaidi.
   
Loading...