Makamu wa Rais Mpango kama Tanzania ipo tayari kuwapeleka JWTZ popote Kulinda Amani mbona hamuwapeleki Somalia?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
au Somalia ni nchi ambayo haihitaji Kulindwa na Jeshi la Tanzania kwakuwa haina Utajiri, ila zile zenye Utajiri wa Rasilimali kama Congo DR na Sudan Kusini ndizo zinatakiwa Kulindwa?

Mnajifanya Kuwapenda Wanajeshi wenu ( hasa hawa wanaoenda Kulinda Amani ) halafu mnawapunja Pesa zao badala ya kuwapa Tsh Millioni 100 kwa kila Kichwa ( Askari ) kama wanavyolipa UN nyie na Roho Mbaya zenu mnawapa Tsh Millioni 45 tu kila Kichwa ( Askari ) kiasi kwamba hivi sasa Wengi wao hawataki na wanakwepa kwenda huko katika Missions kwenye Machafuko, Vita na Mapigano.

Na mkithubutu tu kweli kuwapeleka Samalia Kulinda Amani hakikisheni mnaandaa pia na Majeneza yao pale JNIA ( Terminal I ) kwani Wapigani wa Somalia hawana Masihara, Huruma au Uwoga kama wa M23 ndiyo maana Jeshi la Marekani ni Hatari ila hawataki tena kwenda Somaliia kutokana na Ukatili waliofanyiwa huko miaka 10 au 12 iliyopita.
 
Marekani alidhalilishwa sana kwenye vita ya somalia .ni basi TU media hazizungumzii ukweli
 
au Somalia ni nchi ambayo haihitaji Kulindwa na Jeshi la Tanzania kwakuwa haina Utajiri, ila zile zenye Utajiri wa Rasilimali kama Congo DR na Sudan Kusini ndizo zinatakiwa Kulindwa?

Mnajifanya Kuwapenda Wanajeshi wenu ( hasa hawa wanaoenda Kulinda Amani ) halafu mnawapunja Pesa zao badala ya kuwapa Tsh Millioni 100 kwa kila Kichwa ( Askari ) kama wanavyolipa UN nyie na Roho Mbaya zenu mnawapa Tsh Millioni 45 tu kila Kichwa ( Askari ) kiasi kwamba hivi sasa Wengi wao hawataki na wanakwepa kwenda huko katika Missions kwenye Machafuko, Vita na Mapigano.

Na mkithubutu tu kweli kuwapeleka Samalia Kulinda Amani hakikisheni mnaandaa pia na Majeneza yao pale JNIA ( Terminal I ) kwani Wapigani wa Somalia hawana Masihara, Huruma au Uwoga kama wa M23 ndiyo maana Jeshi la Marekani ni Hatari ila hawataki tena kwenda Somaliia kutokana na Ukatili waliofanyiwa huko miaka 10 au 12 iliyopita.
Ambao wangeweza kwenda somalia ni kile kizazi chetu,tuliokuwa jeshini 80s,90s,Hawa wa sasa hv na ushalobalo wao na kugombea madem bar,watauliwa kama mchwa.
 
Ndugu nimecheka mpaka basi kwani Ulichokiandika hapa ni kweli kabisa kwa 100% ukizingatia pia kuwa hawa Jamaa nipo nao Kiukaribu kwa 85% hivi.
 
au Somalia ni nchi ambayo haihitaji Kulindwa na Jeshi la Tanzania kwakuwa haina Utajiri, ila zile zenye Utajiri wa Rasilimali kama Congo DR na Sudan Kusini ndizo zinatakiwa Kulindwa?

Mnajifanya Kuwapenda Wanajeshi wenu ( hasa hawa wanaoenda Kulinda Amani ) halafu mnawapunja Pesa zao badala ya kuwapa Tsh Millioni 100 kwa kila Kichwa ( Askari ) kama wanavyolipa UN nyie na Roho Mbaya zenu mnawapa Tsh Millioni 45 tu kila Kichwa ( Askari ) kiasi kwamba hivi sasa Wengi wao hawataki na wanakwepa kwenda huko katika Missions kwenye Machafuko, Vita na Mapigano.

Na mkithubutu tu kweli kuwapeleka Samalia Kulinda Amani hakikisheni mnaandaa pia na Majeneza yao pale JNIA ( Terminal I ) kwani Wapigani wa Somalia hawana Masihara, Huruma au Uwoga kama wa M23 ndiyo maana Jeshi la Marekani ni Hatari ila hawataki tena kwenda Somaliia kutokana na Ukatili waliofanyiwa huko miaka 10 au 12 iliyopita.
nikurekebishe Genta, Marekani alifanyiwa ukatili mwaka 1993!
 
Ukiambiwa uthibitishe pasi na shaka kuwa Mimi ni huyo Basha / Mume wako / wenu Genta utaweza / mtaweza?

MAJUHA wakubwa nyie nimewachoka.
acha matusi ya kijingaa!!!kwani usipotukana unapungukiwa na nini??acha kuwa mtu wa ovyoovyo katikati ya watu wastaarabu!pumbaf kabisa
 
Back
Top Bottom