PAUL MWINAMILA
Member
- Sep 27, 2017
- 25
- 21
Habari wanagenzi,
Nimekuwa mdau mkubwa sana wa kufuatilia hii channel namna 292 kwenye kisimbuzi cha DStv, nikiri kusema kwamba nchi yetu hii imebarikiwa vivutio vingi sana, Tanzania ni nzuri sana na inavutia sana, kupitia hii channel inaexpose uzuri wa hii nchi kwa kutuonyesha vivutio mbalimbali.
Binafsi kupitia channel hii, imeniongezea uzalendo wa kuipenda nchi yangu. Mwezi December nitahakikisha natembelea maeneo kama Iringa na Njombe nikajionee namna nchi yangu ilivyo nzuri,
nimeamua kabisa ku cancell trip yangu ya Santorino.
Nitaenda Njombe, na iringa then nitamalizia likizo yangu kwenye marashi ya Pemba .