Tanzania Roadmap to 2050: A Monarch regime?

Tanzania Roadmap to 2050: A Monarch regime?

Mfano,kwa kampeni za miezi 2 kama una gari moja tafsiri yake inahitaji mafuta ambayo kwa hekaheka za kampeni kwa siku laki na nusu ya mafuta 150000×50=
,Mabango kutapakaa=5ml
Majukwaa ya kuhamishika=5ml
Chakula cha wasaidizi =3ml
Waandishi wa habari=5ml
Dharura=5ml
Pesa ya dharura kwa familia=5ml
Kwa uchache umeona?
Je umeelewa alichomaanisha mtoa mada?
 
Nimejibu ulichoniuliza,nimechanganua kuhusu mode of economy,vyote umeona havina maana,umegeuza mada.

Haya sawa,
Haujaeleweka Ila umeokoteza mambo ambayo ni unrealistic.

Hii inatokana na Elimu ya kukariri mliyopewa na sisiemu .

Kwakuwa Mimi nikiwa nahitaji Ubunge Kama nina sifa zote muhimu sihitaji kuwa na Mil 50 Ila wewe akili yako ndogo inakutuma hivyo ukiwa na maana ya kuwa utaonga , utanunulia watu chakula n.k

Sisiemu imewarithisha ujinga
 
Imeturithisha ujinga upi tena?
Umeniuliza ml 50 inatumikaje?
Nimekueleza kwa mchanganuo kidogo,ulitakiwa kuonesha mchanganuo wako tofauti namimi ninavowaza,ndio hoja inavyojengwa mzee.

Kuna kiongozi aliwahi kusema,hoja haipigwi rungu,wewe unanitwanga marungu,usifanye hivyo,jibu hoja.

Umeelewa?
 
Haujaeleweka Ila umeokoteza mambo ambayo ni unrealistic.

Hii inatokana na Elimu ya kukariri mliyopewa na sisiemu .

Kwakuwa Mimi nikiwa nahitaji Ubunge Kama nina sifa zote muhimu sihitaji kuwa na Mil 50 Ila wewe akili yako ndogo inakutuma hivyo ukiwa na maana ya kuwa utaonga , utanunulia watu chakula n.k

Sisiemu imewarithisha ujinga
CCM kwa rushwa haina mpinzani
 
B
Madaraka ya kifamilia walianzisha Mtei na Ndesamburo hapo Chadema kwa kuwajaza bungeni akina Grace, Lucy, Freeman kisha Lisu na Zitto wakaiga kwa kuwaleta bungeni dada zao na Dr Slaa akamleta Mtalaka wake 🌹 kabisa

Sasa kipya ni kipi hapo wanachofanya CCM? 🐼
BWAHA BWAHA BWAHA BWAHAHAA BWAHAHAHAAA BWAHAHAHAHAAAAA BWAHAHAHAHAAAAAAAAAA!!!!!
 
Mi naona kama wanagombea sio kwamba wamekosea, wanaweza kupata au wasipate. Kosa ni pale wakifanya udanganyifu, pia uwepo ushahidi ndo tuwahukumu.
Wamepita wote tena kwa figisu za wazi na za kificho
 
Dira Ya 2025 ~ 2050
Mpaka Sasa HAITEKELEZEKI
Wao Wanaongea Maisha Ya Majuu Kuliko Uhalisia

"HAITEKELEZEKI "
TUMEDANGANYWA TU
 
Haujaeleweka Ila umeokoteza mambo ambayo ni unrealistic.

Hii inatokana na Elimu ya kukariri mliyopewa na sisiemu .

Kwakuwa Mimi nikiwa nahitaji Ubunge Kama nina sifa zote muhimu sihitaji kuwa na Mil 50 Ila wewe akili yako ndogo inakutuma hivyo ukiwa na maana ya kuwa utaonga , utanunulia watu chakula n.k

Sisiemu imewarithisha ujinga
Thats why we need reforms seriously
 
Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi wao walishawahi kuwa marais na wengine bado wakiwa madarakani ni mpango mkakati uliosukwa vema kutawala kifamilia walau mpaka 2050.. In short utawala wa kiimla na kifalme.
Halafu kuna maswaswa a.k.a. machawa a.k.a. makunguni wanasema ccm ni yao! kaleni maharage mkalale!
 
Back
Top Bottom