Bolsheviks walikuwa na feelings za namna hii tusitengeneze mazingira ya Bolshevik. Yule Mfalme Nicholas II alifanywa kitu kibaya nadhani hakujua kama 'ubaya ubwela'. Wenye uwezo wa kuzuia kutengeneza feelings za Bolsheviks wafanye hivyo haraka kama zipo!!!Hii nchi wameigeuza shamba lao la urithi, hakika ni huzuni kubwa kwa kweli