Tanzania Roadmap to 2050: A Monarch regime?

Hali ni mbaya sana kuliko tunavyoweza kudhani

Mabadiliko ya katiba ya ccm kumpa "mighty powers" mwenyekiti wa chama sio ya bahati mbaya.

Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi wao walishawahi kuwa marais na wengine bado wakiwa madarakani ni mpango mkakati uliosukwa vema kutawala kifamilia walau mpaka 2050.. In short utawala wa kiimla na kifalme.

Hao waliopitishwa watapata backup na watiifu wengine waliopitishwa.. Watu waoga, wasio na maono yoyote na watu wa ndio mzee.

Kama uchaguzi utafanyika kwa kura ambazo wameshaziandaa baada ya hapo ni kukamilisha tu kupanga safu zao kuanzia juu mpaka chini

Kitakachotokea ninini hapo!? Ni kitu kibaya mno.

Wakiamua kuongeza ukomo wa vipindi vya utawala hakutakuwa na kuwapinga.

Wakiamua kuuza, kugawa ama kutoa zawadi rasilimali yoyote hakutakuwa na kuwazuia.

Watakuwa na power kubwa zaidi kuliko sasa ya kufanya chochote na kwa wakati wowote bila shida yoyote!

Wenye uthubutu wote wamepigwa chini.. Baadhi yao watapozwa kupewa vyeo nje ya mfumo

Wenye maono ya mbali hao wataendelea kukandamizwa.

Wenye kuitakia mema Tanganyika hawa... Mhm tuwaombeee sana!

Kuna baadhi wamepitishwa kimkakati kwakuwa wanajulikana cv zao kwa ukatili.. Hawa ndio watakuja kuwa watu wa kuogopwa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzoni.

Kama uchaguzi huu utafanyika kwa kura zao feki.. Yajayo yanatisha sana!
 
Madaraka ya kifamilia walianzisha Mtei na Ndesamburo hapo Chadema kwa kuwajaza bungeni akina Grace, Lucy, Freeman kisha Lisu na Zitto wakaiga kwa kuwaleta bungeni dada zao na Dr Slaa akamleta Mtalaka wake 🌹 kabisa

Sasa kipya ni kipi hapo wanachofanya CCM? 🐼
Unajiropokea tu kama hayawani asiye na mbele wala nyuma
 
Kwani hao watoto hawana haki ya kugombea?
 
Madaraka ya kifamilia walianzisha Mtei na Ndesamburo hapo Chadema kwa kuwajaza bungeni akina Grace, Lucy, Freeman kisha Lisu na Zitto wakaiga kwa kuwaleta bungeni dada zao na Dr Slaa akamleta Mtalaka wake 🌹 kabisa

Sasa kipya ni kipi hapo wanachofanya CCM? 🐼
Wewe una mental health problem sio Bure...umeandika usenge tu hapa.
 
Umeandika usenge kubali ...unajua kinachoongelewa na ulichojibu? Unaelewa kinachofanyika kwa Sasa kitaleta impact Gani huko mbele? Au wewe uko ni mmoja wa walamba matako wa hizo Royal families..
Kwani Tanzania kuongozwa kifamilia ndio itaanza 2025?

Au wewe umebobea kwenye matusi tu tena ukimuiga genta badala ya kujikita kwenye history

Huyo Mshana Juzi tu alikuwa anamshabikiia mkwe wa Edwin kwenye Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema Kwani hakujua kuwa Mbowe ni Afisa na CCM kitambo sana
 
Unaelewa maana ya ubepari kwanza .

Utafauti wa ubapari na ujamaa upo hivi

Ubepari - Serikali inakuwa little intervation katika issue za kiuchumi ,

Na ujamaa Serikali inakuwa ndo each and everything in economically., n.k

Sasa njoo katika Concept ya mtoa mada kuwa ni sahihi nchi kuwa na mifumo ya kuruhusu familia fulani kuongoza nchi ?

Hauwezi ukachukua Ubepari Ukauingiza katika Siasa .

Kwakuwa ubepari wazungu waliunzisha target ilikuwa uchumi na sio siasa.

Ila Serikali haiwezi kuruhusu uingize bidhaa mbovu sokoni au zisizo na ubora kisa tu Serikali Ina little iintervasion in ur business.

Hauwezi kusema kila mtoto wa Rais anabidi kuwa waziri , Mbunge n.k kisa tu tupo katika dunia ya kibepari kwa kufanya hivyo ni sawa na kumruhusu Bakhressa auze kiroba cha ngano kg 25 kwa laki mbili kisa tu tumeingia katika ubepari.

Kwahiyo jaribu kuelewa ubapari unahusu nini.
Nimekukubali kiongozi..Lakini vipi kuhusu huu usemi wa ili uwe rais Marekani lazima uwe na ukwasi wa kutosha..Kama ndivyo je huo si ubepari kwenye siasa?
 
Lengo ni Kama unapoomba Kazi baadhi ya sehemu ukaombwa police Clearance Form .

Ukiwa upo well off sio kigezo pekee Ila wataangalia Criminals record, being a good tax payer , n.k

Ikiwa umepata ukwasi legally basi ni nzuri Sana .

Unajua madhara ya kumpa MTU Urais ambaye ana njaa ni Makubwa Sana .

Kwakuwa ataanza na kuziba mashimo Kama wavyofanya viongozi waafrica.
 
Unaelewa maana ya ubepari kwanza .

Utafauti wa ubapari na ujamaa upo hivi

Ubepari - Serikali inakuwa little intervation katika issue za kiuchumi ,

Na ujamaa Serikali inakuwa ndo each and everything in economically., n.k

Sasa njoo katika Concept ya mtoa mada kuwa ni sahihi nchi kuwa na mifumo ya kuruhusu familia fulani kuongoza nchi ?

Hauwezi ukachukua Ubepari Ukauingiza katika Siasa .

Kwakuwa ubepari wazungu waliunzisha target ilikuwa uchumi na sio siasa.

Ila Serikali haiwezi kuruhusu uingize bidhaa mbovu sokoni au zisizo na ubora kisa tu Serikali Ina little iintervasion in ur business.

Hauwezi kusema kila mtoto wa Rais anabidi kuwa waziri , Mbunge n.k kisa tu tupo katika dunia ya kibepari kwa kufanya hivyo ni sawa na kumruhusu Bakhressa auze kiroba cha ngano kg 25 kwa laki mbili kisa tu tumeingia katika ubepari.

Kwahiyo jaribu kuelewa ubapari unahusu nini.
Ukisoma nadharia ya Marxian,inakuelekeza kuwa a mode of economy in capitalism can't be separated from politics, wanaomiliki uchumi ndio wenye maamuzi ya kisiasa,kwa hivyo ndio kinachoota mizizi tz.

Huwezi kuniambia kwa sasa kama hauna ml.50 unaweza kuwa mbunge,hata uwe chadema kwenye jimbo lazima uwe na pesa za kuratibu shughuli na kampeni(si rushwa)

Tafakari na usome vizuri utaelewa,siasa za tz sio za makapuku tena na ndio ubepari huo.
 
Hiyo mil 50 inatumikaje ?

Fafanua .
 
Hiyo mil 50 inatumikaje ?

Fafanua .
Mfano,kwa kampeni za miezi 2 kama una gari moja tafsiri yake inahitaji mafuta ambayo kwa hekaheka za kampeni kwa siku laki na nusu ya mafuta 150000×50=
,Mabango kutapakaa=5ml
Majukwaa ya kuhamishika=5ml
Chakula cha wasaidizi =3ml
Waandishi wa habari=5ml
Dharura=5ml
Pesa ya dharura kwa familia=5ml
Kwa uchache umeona?
 
Back
Top Bottom