Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Amepata udiwani viti maalumuHuyo chawa hana akili
Amepata udiwani viti maalumuHuyo chawa hana akili
Ndo maana anaandika pumba tupuAmepata udiwani viti maalumu
Imemlipa ni Mhe diwani sahiviNdo maana anaandika pumba tupu
Atatokea mwamba ataukata huo mmbuyu trust meNWO sio ishu tena labda kwako ndio habari mpya sana... Hiyo Ina miaka zaidi ya 30.. Hapa ni ishu wachache wanachopanga ili kurithishana madaraka kifamilia
Hakuna urithi wowte .Hali ni mbaya sana kuliko tunavyoweza kudhani
Mabadiliko ya katiba ya ccm kumpa "mighty powers" mwenyekiti wa chama sio ya bahati mbaya.
Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi wao walishawahi kuwa marais na wengine bado wakiwa madarakani ni mpango mkakati uliosukwa vema kutawala kifamilia walau mpaka 2050.. In short utawala wa kiimla na kifalme.
Hao waliopitishwa watapata backup na watiifu wengine waliopitishwa.. Watu waoga, wasio na maono yoyote na watu wa ndio mzee.
Kama uchaguzi utafanyika kwa kura ambazo wameshaziandaa baada ya hapo ni kukamilisha tu kupanga safu zao kuanzia juu mpaka chini
Kitakachotokea ninini hapo!? Ni kitu kibaya mno.
Wakiamua kuongeza ukomo wa vipindi vya utawala hakutakuwa na kuwapinga.
Wakiamua kuuza, kugawa ama kutoa zawadi rasilimali yoyote hakutakuwa na kuwazuia.
Watakuwa na power kubwa zaidi kuliko sasa ya kufanya chochote na kwa wakati wowote bila shida yoyote!
Wenye uthubutu wote wamepigwa chini.. Baadhi yao watapozwa kupewa vyeo nje ya mfumo
Wenye maono ya mbali hao wataendelea kukandamizwa.
Wenye kuitakia mema Tanganyika hawa... Mhm tuwaombeee sana!
Kuna baadhi wamepitishwa kimkakati kwakuwa wanajulikana cv zao kwa ukatili.. Hawa ndio watakuja kuwa watu wa kuogopwa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzoni.
Kama uchaguzi huu utafanyika kwa kura zao feki.. Yajayo yanatisha sana!
Kwamba Chalinze kwa mtoto wa Jk hakuna aliyejitokeza, na Mchinga kwa Mke wa Jk hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu!!Hakuna lolote,nyie watu wa chadema mnapenda kutia hofu,na nia yenu ni kuona nchi inaingia katika machafuko.
Mfano:Asilimia tisini ya walioamua kugombea ni hiyari yao na mambo yalikuwa wazi kwa kila mtu.Jimbo la mchinga hakuna aliyejitokeza sasa kamati kuu ifanye nini?
Majina kufanana au ndugu kufanya kazi flani isiwe chanzo cha kuonekana kubebana,lkn panapo ushahidi wa wazi ni muhimu kukataa tabia hiyo,haya unayoyasema leo ni hisia,lkn jutahidi kuwa na ushahidi uone kama umma haujaamka na kukataa tabia hiyo.
Wakati Mzee Mwinyi anafanya hivyo watu waliona ni kawaida sababu pia sifa za mtoto wake zinaruhusu,Mbona Jimbo la Musoma hawapokezani?
Mbona Mkapa aliibuka mbele ya Nyerere?
Mbona Lissu ameibuka bila kuwa na backup yeyote?
Ukiwa mwanasiasa mzuri utaibuka tu bila kutiliwa shaka ya kubebwa japo dunia ina rafu nyingi.
Asalam aleykum,waislamu wenzangu.
Hapana chadema ndio wanapenda bwana zao wazungu wazuie misaadaKwamba Chalinze kwa mtoto wa Jk hakuna aliyejitokeza, na Mchinga kwa Mke wa Jk hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu!!
Hata kama wewe ni Chawa ni vyema pia ukaheshimu pesa ya Vitumbua iliyokusomesha!! Nyie ndio mnaruhusu nchi inauzwa vipande vipande
Dawa hii hapaSijui ni kwanini watoto wa viongozi wa Zanzibar wanagombea ubunge, bunge la muungano tu. sijui kwanini hawataki kwenye baraza la wawakilishi. Au huku bara ndio kwenye pesa nyingi na sio lazina mtu achangie.
Kuna mmoja bunge lililopita mchango wake ulikua kusinzia na kujamba ovyo kwenye debating chamber.
Na alikua analipwa pesa ndefu kwa kujamba jamba, kusinzia, kukenua, kuuza sura na kupiga makofi.
It's either you can't see beyond your nose au unayafumbia macho kwa sababu zako binafsi, it's an openly visible pattern. Kuna ndugu wanne wa familia moja, ndugu wawili wote familia nyingine wote wamepita bila kupingwa and so on and so forth.Hakuna lolote,nyie watu wa chadema mnapenda kutia hofu,na nia yenu ni kuona nchi inaingia katika machafuko.
Mfano:Asilimia tisini ya walioamua kugombea ni hiyari yao na mambo yalikuwa wazi kwa kila mtu.Jimbo la mchinga hakuna aliyejitokeza sasa kamati kuu ifanye nini?
Majina kufanana au ndugu kufanya kazi flani isiwe chanzo cha kuonekana kubebana,lkn panapo ushahidi wa wazi ni muhimu kukataa tabia hiyo,haya unayoyasema leo ni hisia,lkn jutahidi kuwa na ushahidi uone kama umma haujaamka na kukataa tabia hiyo.
Wakati Mzee Mwinyi anafanya hivyo watu waliona ni kawaida sababu pia sifa za mtoto wake zinaruhusu,Mbona Jimbo la Musoma hawapokezani?
Mbona Mkapa aliibuka mbele ya Nyerere?
Mbona Lissu ameibuka bila kuwa na backup yeyote?
Ukiwa mwanasiasa mzuri utaibuka tu bila kutiliwa shaka ya kubebwa japo dunia ina rafu nyingi.
Asalam aleykum,waislamu wenzangu.
Two wrongs don't make anything right, CHADEMA wakemeane wenyewe kwa mauzauza yao na wananchi wakemee mauzauza wanaoandaliwa ili yawatawale.Madaraka ya kifamilia walianzisha Mtei na Ndesamburo hapo Chadema kwa kuwajaza bungeni akina Grace, Lucy, Freeman kisha Lisu na Zitto wakaiga kwa kuwaleta bungeni dada zao na Dr Slaa akamleta Mtalaka wake 🌹 kabisa
Sasa kipya ni kipi hapo wanachofanya CCM? 🐼