Tanzania ranked highly as tourist destination in Africa

PHP:
The New York Times said in its January 6 edition that Tanzania emerged number seven out of the 45 selected places to go in 2012.
Inafurahisha kusikia masikioni!....:A S embarassed:
Lakini....!
 
Mgema akisifiwa, tembo ataliweka maji. Bodi ya Utalii iboreshe viwango na kuongeza vivutio vingine kama utamaduni n.k.!
 
PHP:
The New York Times said in its January 6 edition that Tanzania emerged number seven out of the 45 selected places to go in 2012.
Inafurahisha kusikia masikioni!....:A S embarassed:
Lakini....!

Ni ya saba kati ya maeneo maarufu duniani kwa vivutio vya utalii kwa mwaka 2012.
Inaelekea imetangazwa vyema ama miundo mbinu ya utalii imeimarishwa..... hongera TTB......
Penye kupongeza lazima tufanye hivyo..... na penye kukosoa pia tuwe wawazi .......

 
Duh mkuu ni kweli sasa hivi Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya utalii lakini bado ipo kazi kubwa mbele yetu hasa eneo la utangazaji vivutio.
 
Mungu saidia matokeo ya hili likaweze kuonekana katika maisha ya mtanzania practically, kwa kumboleshea huduma muhim
 
Mungu saidia matokeo ya hili likaweze kuonekana katika maisha ya mtanzania practically, kwa kumboleshea huduma muhim

Mkuu umefikiria suala la msingi sana..... Ongezeko la watalii nchini lionekane kwenda sambamba na ukuaji wa uchumi na maisha bora kwa kila Mtanzania...... Ikiwa hivyo itakuwa saaafi...
 
Hata kama ingekuwa ya kwanza kabisa kama haitukomboi toka huku umaskinini haina maana sana.
 
PHP:
The New York Times said in its January 6 edition that Tanzania emerged number seven out of the 45 selected places to go in 2012.
Inafurahisha kusikia masikioni!....:A S embarassed:
Lakini....!
Ni kweli, the problem is how do we take it from here. Wakati wengine tunaona kama hii ni opoportunity kwa maendeleo ya nchi, kuna ambao wameshaanza kupiga hesabu kuwa hiyo ni nafasi ya kujitajirisha binafsi
 
Indeed a proud achievement for Tanzania but sadly, when Tanzanian's visit the parks, the rates at the hotels are pegged at dollars and that too some rather strange exchange rate..
 
Indeed a proud achievement for Tanzania but sadly, when Tanzanian's visit the parks, the rates at the hotels are pegged at dollars and that too some rather strange exchange rate..

Exactly. TTB and the Government needs to build on this and not stay sleeping like they did with the Natural Seven Wonders competition.

By the way here is a link to the original article and the part about TZ:

7. Tanzania
Coming into its own as an upscale safari destination.
For the last several years the number of tourists going to Tanzania has been edging up, according to East African travel specialists like Hippo Creek Safaris and Abercrombie & Kent. But it wasn't until several violent attacks on visitors to neighboring Kenya that the numbers really took off, as Tanzania started to absorb skittish Kenya-bound safari seekers.Not that Tanzania is coasting along solely on Kenya's troubles; it's always had Mount Kilimanjaro, after all. And now other attractions are being discovered, too - places like Gibb's Farm, a small lodge from which guests can hike to the Ngorongoro Crater area, a prime destination for big game viewing. In addition, the opening of exclusive safari reserves like the Singita Grumeti and the upscale camps managed by Nomad Tanzania and Chem Chem are evidence that the country's tourist infrastructure is becoming more sophisticated, perhaps even catching up to Kenya's. GISELA WILLIAMS

The 45 Places to Go in 2012 - NYTimes.com
 
Tz twatakiwa kuwa wa kwanza ktk mambo mengi tuu ukianza na uchumi ukizingatia wese tunalo,gold,uranium,tznite,coal chuma wee acha tuu.
Ayo mambo ya utalii yangekuwa ya kujazia jazia tuu ila imekuwa kinyume sasa
 
Amani na utulivu.....Ndiyo kilichoipaisha Tanzania hapo ilipo......Maana katika eneo lote la Afrika Mashariki, nchi yetu tu ndiyo ambayo haina vurugu za kutisha........
 
Tuache kuassess vitu nusunusu, badala ya kujisifu kwa kuwa destination ya watalii tuangalie kiuchumi jumla tuko wapi? Mtu hawezi kuniconvince kuwa kuna kazi inafanyika wakati nchi masikini asilia kama kenya imetuzidi! Ntaanza kuona kama kuna kazi inafanywa ntakapoona sie tumefikia uwezo wa kufanya projects kubwa za maendeleo kama miundo mbinu, ulinzi na huduma za jamii zitakazopelekea sie kuwa nchi iliyoendelea zaidi ktk Afrika ya maziwa makuu.
 
Cha msingi ni kuangalia jinsi ya kutumia mapato yatokanayo na utalii kwenye kuboresha huduma za jamii.....
Lakini chakufurahisha na kutia moyo ni kwamba tayari tuna uhakika wa kuongezeka kwa pato litokanalo na utalii...
 
Back
Top Bottom