Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,745
Tanzania's sources of law are based on three main sources. These are; Constitution, Acts of Parliament/Local Law, Customary law and/or Religious law, Received Law, International Treaties and Conventions, By laws and/or Subsidiary Legislation and Orders/Circulars.Kaka kwasababu umeingiza neno busara, kwamba unadhani hakimu hakutumia busara, hapo umetumia uhuru wako wa kutoa maoni kama raia wengine, hupaswi kushutumiwa wala kulaumiwa, swali ni je sheria inasemaje katika hilo?, kwa sababu hakimu lazima atumie sheria katika kutoa maamuzi yake, ili kesho na keshokutwa akiulizwa kwanini alifikia maamuzi hayo, aweze kuwa na kimbilio, akisema alitumia busara tu na kupindisha sheria, sijui kama wanasheria walio wengi watamuelewa, kwa sababu busara au si busara inategemeana na mambo mengi sana
University of Minnesota Human Rights Library
Kutokana na bandiko hili utaona kuwa hata international treaties such as EAC protocols are binding laws which our court system can cite, use in its judgement honour them and law eforncement agencies such as police needs to honor and respect...