Tanzania orders 1305 cows from Kenya sold

Hizo Takataka haziwezi kufanya lolote kwenye nchi yenye JWTZ.

Tungepukutisha nusu ya Kenya yote.

Eti uje Tanzania na bunduki zako unafuata mifugo iliokamatwa na serikali.

Tungewanyoosha hadi Amnesty International wangeingilia kati.
jwtz lenyewe haliwezi kushinda kikosi cha GSU
 
If we reached an agreement with Barrick then why cant we reach a comporomise with poor Kenya Masai.
Tuzungumze watoe ng'ombe kiasi kama fine wengine wawape warudishe Kenya
 
Fair penalty hawa Wakenya na NGO zao ndo wanaleta migogoro Loliondo. Ushenzi wa Wakikuyu kujitwalia ardhi Kajiado county isiwe sababu ya kuvusha ng'ombe zao kwetu! Walipe fee au wajitwalie ardhi ya mababu zao toka Wakikuyu bure kama wanavyoingiza mifugo yao bure kwenye hifadhi zetu. Hii tabia ikome!
Ipo siku wale masai kajiado county watakosa mpaka Ardhi ya kuishi/kujenga watahamia Longido kwa majidai ya ujirani mwema. Toa 500m ama uza mifugo yote
 
Hata wakati serikali ya awamu ya kwanza chini hayati Nyerere alipofunga mpaka baina ya Kenya na Tanzania mwaka 1977 mpaka 1984 haikuwahi kutokea jambo kama hili. Makabila yanayoishi mpakani huwa wana ushirikiano ya kifamilia na free movement. Serikali itafakari upya suala la ujirani mwema kuuza hizi mifugo itakuwa makosa makubwa hata hiyo faini ni kubwa sana.
Waziri wa Mifugo alipokuwa naibu waziri wa mazingira alikuwa anapenda kupiga faini kila mara sasa ameanza tena mwedelezo ule kwenye wizara ya mifugo. Jana kwenye Azam Tv alidai ngombe hizi zinapigwa mnada kwasababu haina mwenyewe, kwa maelezo hapo juu ni kuwa kuna wazee walikuja kuhusu mifugo hiyo wakatiwa ndani kwa kutokuwa na passport ya kuingia nchini.
Mheshimiwa Rais Magufuli ingilia kati suala kwa maslahi ya ujirani mwema kwani Kenya ni soko kubwa la mifugo kutoka Tanzania kwenye mpaka wa Sirari wafugaji kutoka Tanzania haswa kutoka usukumani hupeleka mifugo yao maelfu kwa maelfu kila mara mpaka ndani ya minada nchini Kenya na kuuza bila usumbufu wowote.
Usilete habari za enzi hizo,mliishi kwa mazoe,anyway,tangu lini mkawa majirani wema?rudisheni Mali zetu za EAC Mlizoiba.alafu serikali ya TZ,imeisha piga marufuku uuzwaji wa mifugo nje ya nchi.Mtanyooka tu.
 
unaongea ni kama tz ni developed country lol!!!
 
unaongea ni kama tz ni developed country lol!!!
Mnaongea vile utadhani kenya ni nchi iliyostaarabika bila UKABILA,haha,nimeishawaambia LDC,sio kovu,tutatoka,lakini ukabila na rushwa iliyokidhiri,havitaisha kenya.
 
Wakenya bana!
Ndio maana mnalilia ardhi yetu sana,kwenu hakuna ardhi,mnaleta mifugo mpaka Mwanga?Mwanga ni kwa wamasai au ni mpakani?
Tumechoka kufanywa shamba la bibi,ifike wakati kila mtu apambane na hali yake,
 
The government need to be fair for the pastoralists from Kagera, Arusha and Kilimanjaro because they share the same ancestral origin with those of the same ethnic group from the neighbouring countries of Rwanda, Uganda and Kenya. There are a lot of intermarriages in these groups and handling their cases requires reason of its own kind for purpose of maintaining good neighborhood and good diplomatic ties.

Tanzania court has ordered the auctioning of 1,305 cows from Kenya impounded in Mwanga district last Friday.
The court in Arusha on Tuesday ordered the cows auctioned on Friday and the proceeds handed to the state if the herders fail to pay a trespass penalty of TSh500 million (Sh23 million).
The owner of the cows, Ngunyi ole Ngunja, told the court he does not have money to pay the fine.
Four Kenyan herders, the livestock owner and five elders who had crossed to Tanzania to negotiate the release of the cows were thrown back into remand.
They have been charged with being in Tanzania without valid travel documents.
This was confirmed by Livestock and Fisheries minister Luhaga Mpina on Tuesday's 9pm news from Dar-es-Salaam.
In the announcement on ITV, Mpina said the government has already appointed a broker to facilitate the sale.
The court decision has strained relations between the Kisonko Maasai from Kenya and Tanzania who share a common border.
Last Thursday Foreign Affairs CS Amina Mohamed attempted to secure the livestock, but the country's leadership refused to engage her.
The CS had reportedly said negotiations were at “high level” and the cows would be released on Tuesday, thesame day the court ruled they be auctioned.
The 10 Kenyans have been denied bail. Tanzanian police have detained two vehicles belonging to the herders.
Elder Lekarokia ole Nangoro, who travelled to Arusha on Tuesday to attend the court session, said they were met with such hostility.
He said there was a conflict over the number of cows, with the prosecution saying 1,305 and the police 605.
Kajiado Governor Joseph ole Lenku said the Kisonko Maasai from Kenya have always hosted their Tanzanian counterparts in times of drought.
 
Huu ni ukweli mtupu na hakuna kitu kibaya kama kugombana na jirani yako unaweza hata kukosa maji ya kunnywa.
Hata wakati serikali ya awamu ya kwanza chini hayati Nyerere alipofunga mpaka baina ya Kenya na Tanzania mwaka 1977 mpaka 1984 haikuwahi kutokea jambo kama hili. Makabila yanayoishi mpakani huwa wana ushirikiano ya kifamilia na free movement. Serikali itafakari upya suala la ujirani mwema kuuza hizi mifugo itakuwa makosa makubwa hata hiyo faini ni kubwa sana.
Waziri wa Mifugo alipokuwa naibu waziri wa mazingira alikuwa anapenda kupiga faini kila mara sasa ameanza tena mwedelezo ule kwenye wizara ya mifugo. Jana kwenye Azam Tv alidai ngombe hizi zinapigwa mnada kwasababu haina mwenyewe, kwa maelezo hapo juu ni kuwa kuna wazee walikuja kuhusu mifugo hiyo wakatiwa ndani kwa kutokuwa na passport ya kuingia nchini.
Mheshimiwa Rais Magufuli ingilia kati suala kwa maslahi ya ujirani mwema kwani Kenya ni soko kubwa la mifugo kutoka Tanzania kwenye mpaka wa Sirari wafugaji kutoka Tanzania haswa kutoka usukumani hupeleka mifugo yao maelfu kwa maelfu kila mara mpaka ndani ya minada nchini Kenya na kuuza bila usumbufu wowote.
 
Wakenya bana!
Ndio maana mnalilia ardhi yetu sana,kwenu hakuna ardhi,mnaleta mifugo mpaka Mwanga?Mwanga ni kwa wamasai au ni mpakani?
Tumechoka kufanywa shamba la bibi,ifike wakati kila mtu apambane na hali yake,
Hujitambui! Afrika moja.
 
mna bahati sana kuwa hawa ni wamaasai...ingekuwa wengine kule northern kenya, damu ingemwagika...tena nyingi sana...those people dont care about the law or borders ...they have weapons and they can be very ruthless...ingekuwa ni hawa, mngewapatia ng'ombe wao roho safi na kuwaomba msamaha...

Walete huku Southern border yenu.. Uone cha mtema kuni, waje kwetu ndani alafu wadindishe pvmbv zao, sisi tunakata zote na tunawafanya vijakazi wetu, hatutaki ujinga sisi, tunawafyeka wote, unless waombe kwa upoleee na kufuata sheria na taratibu tena kulipa fine iko pale pale, wakija kichwa juu juu kama usemavyo sisi Tz tunakata hivyo vichwa alafu tuone sasa watarudi hawana vichwa na mifugo hawana..

We don't joke na nchi yetu sisi.. Tunakutoa mav ukiona.. Waleteni hao unaoona ni wajanja na wakorofi huko kwenu alafu waingie kwetu alafu walete kiburi uone moto.. Tunachana na kusambaratisha uchafu.. Damn
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom