Tanzania orders 1305 cows from Kenya sold

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Tanzania court has ordered the auctioning of 1,305 cows from Kenya impounded in Mwanga district last Friday.
The court in Arusha on Tuesday ordered the cows auctioned on Friday and the proceeds handed to the state if the herders fail to pay a trespass penalty of TSh500 million (Sh23 million).
The owner of the cows, Ngunyi ole Ngunja, told the court he does not have money to pay the fine.
Four Kenyan herders, the livestock owner and five elders who had crossed to Tanzania to negotiate the release of the cows were thrown back into remand.
They have been charged with being in Tanzania without valid travel documents.
This was confirmed by Livestock and Fisheries minister Luhaga Mpina on Tuesday's 9pm news from Dar-es-Salaam.
In the announcement on ITV, Mpina said the government has already appointed a broker to facilitate the sale.
The court decision has strained relations between the Kisonko Maasai from Kenya and Tanzania who share a common border.
Last Thursday Foreign Affairs CS Amina Mohamed attempted to secure the livestock, but the country's leadership refused to engage her.
The CS had reportedly said negotiations were at “high level” and the cows would be released on Tuesday, thesame day the court ruled they be auctioned.
The 10 Kenyans have been denied bail. Tanzanian police have detained two vehicles belonging to the herders.
Elder Lekarokia ole Nangoro, who travelled to Arusha on Tuesday to attend the court session, said they were met with such hostility.
He said there was a conflict over the number of cows, with the prosecution saying 1,305 and the police 605.
Kajiado Governor Joseph ole Lenku said the Kisonko Maasai from Kenya have always hosted their Tanzanian counterparts in times of drought.
 
Hata wakati serikali ya awamu ya kwanza chini hayati Nyerere alipofunga mpaka baina ya Kenya na Tanzania mwaka 1977 mpaka 1984 haikuwahi kutokea jambo kama hili. Makabila yanayoishi mpakani huwa wana ushirikiano ya kifamilia na free movement. Serikali itafakari upya suala la ujirani mwema kuuza hizi mifugo itakuwa makosa makubwa hata hiyo faini ni kubwa sana.
Waziri wa Mifugo alipokuwa naibu waziri wa mazingira alikuwa anapenda kupiga faini kila mara sasa ameanza tena mwedelezo ule kwenye wizara ya mifugo. Jana kwenye Azam Tv alidai ngombe hizi zinapigwa mnada kwasababu haina mwenyewe, kwa maelezo hapo juu ni kuwa kuna wazee walikuja kuhusu mifugo hiyo wakatiwa ndani kwa kutokuwa na passport ya kuingia nchini.
Mheshimiwa Rais Magufuli ingilia kati suala kwa maslahi ya ujirani mwema kwani Kenya ni soko kubwa la mifugo kutoka Tanzania kwenye mpaka wa Sirari wafugaji kutoka Tanzania haswa kutoka usukumani hupeleka mifugo yao maelfu kwa maelfu kila mara mpaka ndani ya minada nchini Kenya na kuuza bila usumbufu wowote.
 
Sometimes politicians need to be wise.
Labda kuna jambo lingine, vinginevyo huo sasa sio ubinadamu.
 
Mkitaka ku-export nyama kwenye soko la kimataifa ni lazima kwanza kudhibiti magonjwa.
Na hilo halitawezekana kama cross- border migration ya mifugo haitazidhibitiwa.
 
Fair penalty hawa Wakenya na NGO zao ndo wanaleta migogoro Loliondo. Ushenzi wa Wakikuyu kujitwalia ardhi Kajiado county isiwe sababu ya kuvusha ng'ombe zao kwetu! Walipe fee au wajitwalie ardhi ya mababu zao toka Wakikuyu bure kama wanavyoingiza mifugo yao bure kwenye hifadhi zetu. Hii tabia ikome!
 
Kama hao ngombe wangeku wa wapokot au waturukana wangezilejesha chini ya mwezi mmoja na hasara juu yake
 
mna bahati sana kuwa hawa ni wamaasai...ingekuwa wengine kule northern kenya, damu ingemwagika...tena nyingi sana...those people dont care about the law or borders ...they have weapons and they can be very ruthless...ingekuwa ni hawa, mngewapatia ng'ombe wao roho safi na kuwaomba msamaha...
 
mna bahati sana kuwa hawa ni wamaasai...ingekuwa wengine kule northern kenya, damu ingemwagika...tena nyingi sana...those people dont care about the law or borders ...they have weapons and they can be very ruthless...ingekuwa ni hawa, mngewapatia ng'ombe wao roho safi na kuwaomba msamaha...
Unachekesha wewe, wahamishieni huku kusini peleka Masai kule alafu ushuhudie.
 
Wazungu walichora mipaka na kugawanya hata watu wa kabila moja lugha moja desturi moja. Hatua kama hizi zitaibua chuki baina ya hawa Wamaasai, ikumbukwe kuna Wamaasai maelfu ya maelfu wametokea Tanzania na kuishi Kenya na kama kawaida huwa hawazinguliwi maana Wamaasai wana undugu mkubwa sana.
 
watu northern kenya sio mchezo, they don't care who you are
Unayosema yanaonyesha dhahiri ni kwakiasi gani serikali ya Kenya na vyombo vyake vya ulinzi vilivyodhahifu, itakuwaje serikali ishindwe kudhibiti watu wake na kuanza kuwaogopa na kusema sio mchezo?, kila jambo likiwashinda huko mnadhani wengine pia litawashinda?, Alshabab wamewashinda mnasema alshabab sio mchezo hawawezikani, jamii za waturkana nao mnasema sio mchezo, zaidi ya AK47 na G3 wanasilaha gani za kutisha?, kikubwa ni kwamba wanatumiwa na wanasiasa kwa hiyo wala serikali haishughuliki kuwanyang'anya silaha.
 
mna bahati sana kuwa hawa ni wamaasai...ingekuwa wengine kule northern kenya, damu ingemwagika...tena nyingi sana...those people dont care about the law or borders ...they have weapons and they can be very ruthless...ingekuwa ni hawa, mngewapatia ng'ombe wao roho safi na kuwaomba msamaha...
Usiilinganishe TZ na mambo yenu ya kijinga.
 
watu northern kenya sio mchezo, they don't care who you are
Man, they'll be fighting with a nation, that's tribes Vs a big nation.
Hao watawasumbua hizo nchi zenu. Wakizingua bongo watafirwa.
Kuna top secret, miaka ya 80/70s walikuja hao wasomali wakawa wanasumbua Arusha mipakani huko, zingua sana wamasai, ilitumwa kikosi moja ya jwtz toka Monduli. Hawajawai sogeza pua tena pande hizo.
 
Back
Top Bottom