Tanzania kama nchi ina haki ya kujichagulia marafiki na maadui. America na Ulaya hawana haki hata chembe ya kutuchagulia marafiki na maadui. Misaada wanayotupatia kamwe isiwe kigezo cha kututawala kwani tukiamua tunaweza kuishi bila kutegemea misaada yao. Tanzania ni taifa huru na hatufungamani na upande wowote. Mungu ibariki Tanzania.
Wacha watuwekee vikwazo ili tupate akili. Nchi yetu ina kila kitu ,lakini bado tuna omba omba kama matonya.
huyu mtu hovyo kweli. sijui mwaka huu kichwa chake atakificha wapi. Kila siku marekani, marekani, sasa aibu hiyo inamkuta. ***** kweli... hata na mimi mwanamke ntamuita dhaifu.. Dhaifuuuuuuuuu.... mfyuuuuuuuu
Lakini kwa wanawake ni kidume wala sio dhaifu. Ulizia wakuu wa wilaya. Ukitaka jiunge na uandishi wa habari akuone.
huyu mtu hovyo kweli. sijui mwaka huu kichwa chake atakificha wapi. Kila siku marekani, marekani, sasa aibu hiyo inamkuta. ***** kweli... hata na mimi mwanamke ntamuita dhaifu.. Dhaifuuuuuuuuu.... mfyuuuuuuuu
Nataka nikijibu pointi yako ya 6 uloihusisha zanzibar. Eti kwanini zanzibar wanatumia hilo jina la Tanzania katika kifanya biashara hatarishi kama hiyo, ndugu nieleze hasa Zanzibar imehusika vipi, ni nani hasa anahusika na bendera ya TZ? Ni nani waziri wa mambo ya nje kwani? Waziri wa biashara ni nani? Maana sijakuelewa zanzibar imehusika vipi hapo? Yaani wabongo kama wewe wataka kwenye mazuri to exclude zanzibar kwenye mabaya ambayo haihusiki ndo una include!!!huna point! Endelea kupewa misaada na bwana wenu US, subirini basi aje aweke sanctions kwa kuukata na kutesa mashoga TZ!!
Nimecheka hadi basi.
This is the most disgusting government and president we have ever had. Angekuwa rais mwingine angepitisha fimbo hadi kieleweke. Slaa au Nyerere angewachapa hawa watu viboko au kuwatia ndani, lakini hili zezeta atacheka tu nao hao mafisadi kama kawaida yake
Huyo Mmerekani hajui kuwa Tanzania kuna nchi mbili zenye sheria tofauti kuhusu usajili wa meli?
Inafaa apewe darsa huyo.
haya ya kweli au unafurahisha jukwaa!!!
soma post namba 25