AU HAJUI KUSOMA, MBONA HIYO WEB IPO PALE CHINI, anadhani barua za kibongo mpaka aone mtu katia sahihi mwambie technolojia imekwenda mambo ya kuandika kwenye makaratasi yameshapitwa na wakati. kweli ujinga ni maradhi mabaya jamani..Mtumpole, Ni kweli, hii habari ndio pia kwenye website ya Democrats. angalia
House Foreign Affairs Committee Democrats- Ranking Member Howard Berman
nngu007,Not true Bush family has no any relationship with Barrick gold; he might
know the owner but no part
of owning the company... Prove me wrong!!!
Tanzania imevunja sheria zipi za kimataifa?
leteni hiyo sheria iliyovunjwa tafadhali
UN Security Council Resolution 1929, Iran
Hapo kwenye nyekundu umekurupuka bila kuwa na data kamili.
Howard Berman ni Member of the U.S House of the Representatives from California 28th district. Na pia alishawahi kuwa Mwenyekiti wa House Commitee on Foreign Affairs. Huyu mtu sio Ofisa katika Wizara. Ni mtu Mwenye mamlaka makubwa ya kuandika barua Kama hiyo kwa Bw. Matonya. Ujue mfumo wa siasa wa Marekani kwanza,ndio uandike mada kuhusiana na mambo ya kisiasa ya huko,la sivyo tuhangaike na Nepi sijui Nape hapa Tanzania.
No research No rights to Speak. Umeshapotosha Umma hapo. Rekebisha kauli yako tafadhali.
Jamani hii itatusaidia.
we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.
Sincerely,
Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
Tanzania ni inchi isiyo fungamana na upande wowote! hawa wamerekani wanatakiwa walijue hilo... ukoloni mambo leo ulipitwa na wakati!
Wakuu mambo yanasonga mbele. Mkulu kakaliwa kooni, naona safari za USA zinaota majani. Tumechoka na kodi zetu kutumiwa vibaya, hawakujua JK ni ndumilakuwili? Hataki DIASPORA wale huku na kule wakati yeye anakula na Iran na wamarekani? Tuone sasa nani mwenye nguvu, JK na mafisadi wake au wamarekani.... matonya sijui unanipta na bakuli lako?
********************************************
Dear President Kikwete,
I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Irans crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.
It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzanias international reputation.
I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.
It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord. However, your government should take note of President Obamas Executive Order 13608, signed May 1, 2012, which provides for the imposition of sanctions on any entity worldwide, including foreign governments, that assists Iran in evading U.S. sanctions. In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order. In addition, if Tanzania were to allow Iranian vessels to remain under Tanzanian registry, we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.
Sincerely,
Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee
Source House Foreign Affairs Committee Democrats- Ranking Member Howard Berman
Kwanini watz tulipe cost kisa RA, n rafiki yake JK? Tutaamua lini? Acha ndoto ww kama unategemea misaada kuishi kwny nchi hii iliyopaswa kuwa maziwa na asaliTanzania kama nchi ina haki ya kujichagulia marafiki na maadui. America na Ulaya hawana haki hata chembe ya kutuchagulia marafiki na maadui. Misaada wanayotupatia kamwe isiwe kigezo cha kututawala kwani tukiamua tunaweza kuishi bila kutegemea misaada yao. Tanzania ni taifa huru na hatufungamani na upande wowote. Mungu ibariki Tanzania.
Kazi ipo.
Mbona mr. dhaifu asiwanyang'anye. Nenda zako huko siku zenu zinahesabika.Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
George Bush Sr has a stake in Barrick Gold. It goes way back to Nevada mines with Adnan Kashoggi (Barrick Gold Founder). Mambo ya dunia hii ni zaidi ya ujuavyo..mpaka uunganishe Dots ndio utapata picha kamili. Bush family wana utajiri mkubwa sana ..baadhi ya utajiri wao unatoka kwenye migodi yetu. Kwa hiyo usishangae kwa nini mkulu anapenda sana kwenda Marekani.Not true Bush family has no any relationship with Barrick gold; he might
know the owner but no part
of owning the company... Prove me wrong!!!
nngu007,
Mzee Bush ni major shareholder katika kampuni ya Barrick. Na kupitia kwake ndivyo Sinclair alivyofanikiwa kuwakutanisha Bush mdogo na Kikwete katika ziara ya pili ya Kikwete hapa Marekani. He owns shares in the company.