Hatuzungumzii uhuru japo uhuru una tafsiri nyingi.Twasema kuhusu kiwango cha maendeleo,ustaarabu,mpangilio Wa miji,uhakika Wa huduma za kijamii,Nasema, huenda hujawahi kutembea nchi mbali mbali. Sijivuni lakini ni Uarabuni tu sijafika. Lakini sijawahi kuona fahari kukaa huko nilikoenda. Kulikuwa na nafasi nyingi tu za kuweza kuzamia lakini nilipokumbuka uhuru nilio nao hapa nyumbani nilijikuta nimesharudi tu. Nikikuambia hivyo waweza ona labda nadanganya sasa niulize swali la kuhusu huko uliko nikikujibu uufyate. Nenda uendako; Home is home, East or West. Home is the best place to be