Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,916
- 133,931
Wabongo wengi hamna exposure,ndo maana inaisha kudanganywa na jiweUsikute na hao Botswana na Namibia wakija huku wanaziteta nchi zao ziwe kama Tanzania!!😜
Wabongo wengi hamna exposure,ndo maana inaisha kudanganywa na jiweUsikute na hao Botswana na Namibia wakija huku wanaziteta nchi zao ziwe kama Tanzania!!😜
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Kutembea ni exposure,kama ni mtembeaji Sana nchi yetu bado sanaNadhani umefika wakati hata mtu akitaka kwenda kutembea nje ya nchi anyimwe tu kwa sababu kama haya ndo mnayokwenda kujifunza huko yaani kuidharau nchi yako!! Nadhani mkae tu hapo hapo Kwamtogole.
Kama ulienda tu kusalimu hawarako na umerudi na matusi makuu hvi kwa nchi yako unapokunya tangu utoto wako huoni una tatizo?? Pole sana. Nadhani ungepewa neema ya kwenda nchi 3 ungewehuka
Du kwani huwa anafanyiwa niniHuyu dogo kwani yuko mbali? Yuko hapo jirani Mombasa shughuli anayofanyiwa na watalii na kupewa vijisenti inamfanya aone Bongo ya ovyo.
Naogopa kuchema Nchana jr achije akakachilikaDu kwani huwa anafanyiwa nini
Nchana jr wuyu wuyu nchawi nchawiNaogopa kuchema Nchana jr achije akakachilika
Wuyo wuyo nchawi toka ChameNchana jr wuyu wuyu nchawi nchawi
Kwani uliitwa hapa rudi kwa mamako huko Dominika nyambafu weWatanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Siyo Dominica kama nchi mkuu. Huyu charlie yuko Mombasa ila anajiita Dominica ili biashata yake itoke kirahisi kwa watalii wa kigiriki wanaopenda starehe za kurudi nyumaKwani uliitwa hapa rudi kwa mamako huko Dominika nyambafu we
Akheri nikose akili kuliko nikasifie kwa jirani ati kuzuri. Wewe ulivyo kihongo hata mamako waweza mkataa kisa kapoteza jicho akikukingia usiumizwe. Wawezaje kuiita nchi ulikozaliwa, ukakulia hadi ulipojua kwenda choo mwenyewe sasa ndo unaiita nchi ya hovyo?? Ni nchi ya hovyo kwa sababu ya watu hovyo ka weye kuzaliwa humoAkili huna
Nasema, huenda hujawahi kutembea nchi mbali mbali. Sijivuni lakini ni Uarabuni tu sijafika. Lakini sijawahi kuona fahari kukaa huko nilikoenda. Kulikuwa na nafasi nyingi tu za kuweza kuzamia lakini nilipokumbuka uhuru nilio nao hapa nyumbani nilijikuta nimesharudi tu. Nikikuambia hivyo waweza ona labda nadanganya sasa niulize swali la kuhusu huko uliko nikikujibu uufyate. Nenda uendako; Home is home, East or West. Home is the best place to beKutembea ni exposure,kama ni mtembeaji Sana nchi yetu bado sana
Not really wew hujaitembea dunia aisee bongo si kitu broo , jaribu utembee kama sisi huwezi tamani kurudi bongoNasema, huenda hujawahi kutembea nchi mbali mbali. Sijivuni lakini ni Uarabuni tu sijafika. Lakini sijawahi kuona fahari kukaa huko nilikoenda. Kulikuwa na nafasi nyingi tu za kuweza kuzamia lakini nilipokumbuka uhuru nilio nao hapa nyumbani nilijikuta nimesharudi tu. Nikikuambia hivyo waweza ona labda nadanganya sasa niulize swali la kuhusu huko uliko nikikujibu uufyate. Nenda uendako; Home is home, East or West. Home is the best place to be
Lets say, unatembea kwa nia gani?? Kutalii, kusalimia, kutafuta maslahi au?? Kwa sababu itategemea kilicho kupeleka. Sikujua kuwa USA kama ni wasio na home hulala njiani kabisa kabisa. Sisi huku tunawaita Machokoraa. Unapomuona mzungu huku waweza amini hana kwao?? Umeenda Bombay? Hivi waweza muuza mkeo ili mle chakula siku hiyo?? Tena unamuuza kwa rafiki yako kabisa?? Hivi umeenda Sydney?? Waweza lala barazani bila nguo ya kujifunika huku barafu imekuzunguka?? Je Tasmania?? Je T&T?? Je, Waweza ona watu wakisombwa kila Jumatatu na kupakiwa kwenye maboti wakirudishwa kwao kwa sababu walikuja nchini kulewa tu Denmark?? Man, umeenda huko kufanya nini hata ukaona utamu kuzidi kwenyu?? Je, ni kule kwa malkia au Scot??Not really wew hujaitembea dunia aisee bongo si kitu broo , jaribu utembee kama sisi huwezi tamani kurudi bongo
You are right. Lkn ujue huo uzuri ni jasho la watu. Njoo na wewe huku tutoke jasho tuijenge TanzaniaNot really wew hujaitembea dunia aisee bongo si kitu broo , jaribu utembee kama sisi huwezi tamani kurudi bongo
Hapana we Tanzania's we don't have commitment, tatxo ccm wamejimilikishs nchi watz hatuna LA kusema na hatuwawez kwa lolote akina polepole hapo Mimi sina chama ila natamani sana nchi yetu iendelee kama nchi nyingine kwakuwa na ona opportunities nyingi kwa Tz kuendelea na kuwa most developed country in AfricaYou are right. Lkn ujue huo uzuri ni jasho la watu. Njoo na wewe huku tutoke jasho tuijenge Tanzania
CrapNenda ukaishi huko unakoona siyo kwa hovyo
Ww hujatembea kaa kimya ukitembea si utatutukan watanzania wote hapo ulipo kwenda hata kwa malori unafikaWatanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.