Tanzania ni nchi ya hovyo

Tanzania ni nchi ya hovyo

Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Sasa unatoa ushauri au unalalamika makosa ya mipango mini hapa Tanzania ni makosa ya maraisi waovyo waliopita ila magufuli ndiyo anajitahidi kuya lekebisha ,makosa yalifanya pia na wafanyakazi wazembe wa serikalini ndiyo maana jpm anapambana na wafanyakazi wapuuzi usiku na mchana ,hata viwanja vya wazi waliviuza huku maraisi waliokuwepo wakijaza vyoo tu ikulu bila kuchukua hatua yoyote tushukuru sana kumpata raisi magufuli nchi ilikua inaoza hii
 
Wao kuita hivyo kuna shida gani ikiwa ndivyo walivyoona kulingana na ulimwengu wao?Je ni kweli na sisi tunaona hivyo katika ulimwengu wetu?..nakatara
Hahahah! Tatizo hawakumaanisha ambavyo nyie mnadhani.
 
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Baki hukohuko
 
Lete picha ,usije ukawa uko biharamuro unatuletea taarifa za kisengejazbend
 
Kama umeitukana hadi inchi iliyokulea,umebakisha tu kuja kuwaita wazazi wako wa hovyo
 
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Wewe ndio wale mnawadharau wazazi wenu pindi mkiona jirani wamepika pilau ilhal kwenu mmepika mihogo ya kuchemsha. Wewe kama sio Muha basi Msukuma
 
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Uko sahii mkuu. Watanzania nafikiri kuna Neuron moja ya kufanya kazi kwa ufanisi inakoselkana kwenye ubongo wetu.

Nchi yenye kila kitu na fursa nyingi, lakini bado kuna watu wanalia njaa na kidiriki kumwambia Rais eti aachie pesa. Haki ya Mungu sisi kweli ni "shit holes" kama Rais Trump alivyosema.

Rais Magufuli yuko mbali sana, lakini watendaji wake na watanzania wengi ni mabogus tu. Tusimlaumu yeye. Jamaa ni trend setter.
 
Afadhali na wewe umewaambia . Tatizo la wabongo ni lack of exposure ( ushamba ) . Wajaribu kuvuka border watembee . Na ndio maana nchi iko gizani . Those niggas literally still lives in the dark age .
Bora kuishi Bongo gizani kuliko huko mnakopigwa risasi na polisi. Yaani sura tu unaonekana mhalifu. Rudi nyumbani ujenge nchi yako iwe kama huko ulikokimbilia.
Hivi ukienda kule kwenu Bukoba, hua unawadharau wazazi wako kwa kutokua na choo ilhali ulipashwa uwajengee
 
Kama umeitukana hadi inchi iliyokulea,umebakisha tu kuja kuwaita wazazi wako wa hovyo
Huyu dogo kwani yuko mbali? Yuko hapo jirani Mombasa shughuli anayofanyiwa na watalii na kupewa vijisenti inamfanya aone Bongo ya ovyo.
 
Bwamdg mm msafiri wa zamani
Tumeanza kuvuka border kbla afrika kusini haijapata uhuru
Kwengineko usiseme
Exposure hpa usipimieeee
Ohooo..... Hii chimbo taff Kijana

Ova
Ndiyo shida ya kumaliza form four kusubiria matokeo
 
Ni kweli kabisa!... Watanzania tunahitaji kutoka nje ya nchi hii kujifunza. Nchi jirani zilizotuzunguka zina masomo tosha kuweza kubadili mitizamo yetu na hasa watendaji kwenye wizara zetu zilizokasimiwa mamlaka ya usimamizi kupanga na kutekeleza miradi ya kitaifa.
sitoki hata kwa dawa...pambaf...kajamaa kametembelea City centre ya Namiania tu kanasumbua ....nenda bush kwao uone ,..pambaf
 
Back
Top Bottom