Tanzania ni nchi ya hovyo

Tanzania ni nchi ya hovyo

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
965
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
 
Namibia usipime....
Inabidi Ole ukazuru huko kidogo

Ova

Kwa hiyo wewe kufika Namibia imekuwa Nongwa? Nchi ambazo mimi nimefika wewe hujafika bado kwa hiyo basi uliyoyaona Namibia kwangu mimi ni cha mtoto.
 
Kwa hiyo wewe kufika Namibia imekuwa Nongwa? Nchi ambazo mimi nimefika wewe hujafika bado kwa hiyo basi uliyoyaona Namibia kwangu mimi ni cha mtoto.
Bwamdg mm msafiri wa zamani
Tumeanza kuvuka border kbla afrika kusini haijapata uhuru
Kwengineko usiseme
Exposure hpa usipimieeee
Ohooo..... Hii chimbo taff Kijana

Ova
 
Ni kweli kabisa!... Watanzania tunahitaji kutoka nje ya nchi hii kujifunza. Nchi jirani zilizotuzunguka zina masomo tosha kuweza kubadili mitizamo yetu na hasa watendaji kwenye wizara zetu zilizokasimiwa mamlaka ya usimamizi kupanga na kutekeleza miradi ya kitaifa.
 
Nadhani umefika wakati hata mtu akitaka kwenda kutembea nje ya nchi anyimwe tu kwa sababu kama haya ndo mnayokwenda kujifunza huko yaani kuidharau nchi yako!! Nadhani mkae tu hapo hapo Kwamtogole.
Kama ulienda tu kusalimu hawarako na umerudi na matusi makuu hvi kwa nchi yako unapokunya tangu utoto wako huoni una tatizo?? Pole sana. Nadhani ungepewa neema ya kwenda nchi 3 ungewehuka
 
Boss njoo huku Unga ltd ,Matejoo Na Ngarenaro utapenda mwenyewe
 
Hakuna fly over nzuri duniani kama ile ya Mfugale....
 
Halafu we jamaa ni mlalamishi sana,unapenda sana kulalamika
Wanaume hatupo hivyo,we kama unaona huko kupo vizuri nenda kaishi huko,kama kweli una-expo kuna nchi nyingi sana ziko hovyo sana kuzidi Tanzania,nyie mlioenda huko nje mnatosha,hatuwezi kwenda wote,wengine hapa bongo tunapakubali kinyama yan
 
Acha uboya . Hypocrisy and naive patriotism is the biggest problem to you dummies .
Tanzania is a fucking shithole and it will be so forever and ever.
Shitholer
Niseme nini kukubadilisha mtazamo wako. Naona hata lugha yetu pendwa sasa huijui tena ila kinyamwezi cha huko ubayani. Pole sana mkuu. You are just another mbulula
 
Back
Top Bottom