SoC04 Safari yangu Burundi na mambo ambayo Tanzania inaweza kuyachukua kutoka huku

Tanzania Tuitakayo competition threads

presider

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,227
1,632
Utangulizi

Burundi ni moja kati ya nchi ambayo ipo Mashariki Kusini mwa nchi ya Tanzania, Kaskazini imepakana na inchi ya Rwanda, Upande wa Magharibi imepakana na Inchi ya Jamuhuri ya watu wa Kongo ikiwa imetenganishwa na Ziwa Tanganyika. Miji mikuu ni Bujumbura na Gitega.

Nchi ya Burundi Lugha yao kubwa ni Kirundi, Kifaransa na Kiswahili kidogo. Wakazi wa Burundi ni wakalimu sana kwa wageni hasa wanaotoka Tanzania. Nchi ya Burundi kuna makabila makubwa matatu ambayo ni wahutu, Watutsi na Watwa.

Mwaka 2021 nlipata nafasi ya kwenda kufanya kazi inchini Burundi. Safari ilianza 12 ya mwezi wa sita. Nikitokea Eneo langu la Kazi Tabata Dampo jijini Dar es salaam. Safari yangu ilianza saa 10 jioni kwa kutumia magari ya IT(International Transport) ambayo kwa wakati huo nilipanda gari hizo za IT pale Misugusugu Kibaha mkoani Pwani. Lakini kwa siku nlikosa gari la moja kwa Moja Kwenda Burundi nilipata Gari ambalo linakwenda Congo. Nilikwenda na lile gari kuanzia saa 12 jioni hadi kesho yake saa 6 mchana. Ndio tukawasili mkoani Shinyanga, Manispa ya Kahama mjini.

Nilifika Kahama nilipanda gari za Kampuni ya Sahani Bus services inayofanya kazi ya kusafirisha Abiria kutoka Kahama kwenda Benaco na Ngara mjini kwa kupitia Nyakanazi. Mimi nilipanda Gari ya kwenda Ngara. Nilifika Ngara saa 4 usiku. Kwenye Mkoa wa Kagera, wilayani Ngara nilipokelewa na baridi kali, hali tofauti kabisa na mikao ya Dar es salaam na Pwani. Nilipata Lodge moja nikalala hapo hadi Asubuhi. Kwa wakati wote huo wa safari nilikua nina hofu na inchi ya Burundi maana watu wanasema mambo mengi kuhusiana na Burundi. Walisema Burundi hakuna Amani mara Burundi ni Njaa tu hakuna Chakula.

Asubuhi ya Taarehe 14 mwezi wa Sita nikiwa mkoani Kagera, Wilaya ya Ngara, Nilipanda mchomoko. Mchomoko ni gari haina ya Toyota Wish, Toyota Probox na Toyota Succeed. Ambazo ndio zinatoa Huduma ya usafiri kutoka Ngara kwenda mpaka Kabanga. Ndani ya huo mchomoko mnapanda zaid ya watu 13. Yaan mbele watu wa nne pamoja na dereva nyuma ni watu watano au wanne kama ni wanenne, mwisho kwenye Buti wanakaa watu wanne. Huwa ni mwendo wa masaa 2 had 3 kutoka Ngara hadi Kabanga. Nilifika Kabanga na kuchukua bodaboda hadi Border ya Tanzania na Burundi (KOBERO BORDER).

Nilikuatana na mwenyeji wangu ambaye alikuwa na Maduara ya Kuchimba Dharabu katika kijiji cha Karama Magambo, kata ya Buthihinda, Mkoa wa Muyinga nchini Burundi. Kutoka Border kwenye hapo kijiji ni kama wa 20 km. Ni mwendo wa kupanda na kushuka milima tu. Tulifika Karama Magando saa 10 jioni. Hakukua tena na kupatikana kwa line za Tanzania. Ikabidi nitafute laini ya Burundi, nilinunua laini ya Lumitel na kuweka kwenye Simu yangu. Gharama za kupiga simu za ndani ya Burundi zipo juu sana. Lakini kwenye upande wa Internet wako chini sana yaan kwa 1000 faranga ya Burundi unapata Bundle ya wiki nzima kuperuzi Whatsapp, Instagram, Facebook bure. Kwa wakati ule 1Tsh ilikua na 1.6 Faranga. Kwa hiyo 1,000 faranga ni sawa na 625Tsh.

Mambo niliyoyaona Burundi.

 Shule Na Elimu kwa ujumla

Suala la Elimu kwa nchi ya Burundi sana sana vijijini kwao elimu ni kitu cha muhimu sana. Lakini tofauti kati yao na kwetu ni kwamba ikitokea Binti kapata mimba akiwa Shuleni basi hatasimamishwa masomo lakini baada ya kujifungua na kulea mtoto wake ana haki ya kurudi na kuendelea na Shule pale pale alipoacha. Ninashauri Serikali yangu Tukufu Pamoja na Waziri wenye Dhamana Mama Yangu DOROTHY GWAJIMA wekeni sera ya kurudisha watoto wa kike kurudi Shuleni kuendelea na Masomo yao kama kawaida baada ya kujifungua. Tunapoteza nguvu wa wasomi wetu wengi kwa kigezo cha Mimba tku

Mfumo wao wa Elimu ni mzuri sana maana wenyewe wanasoma mfumo kama wa vyuo vikuu yaani unasoma kwa Semister na unafanya mitihani kwa Semister. Ukifeli unarudia somo moja unapewa nafasi ya kurudia tena hilo somo kufanyia mtihani. Kama ukishindwa basi hauendi semister nyingine hadi ufaulu hilo somo.

 Ulinzi na Usalama
Kwa Burundi Ulinzi na usalama upo mkubwa sana maana polisi kwa asilimia kubwa hawatumii magari kufanya Doria zao. Wao wanatumia miguu tu kufanya Doria zao. Wanakwenda kituoni kureport na kutawanyika kwenda kufanya Doria kwa miguu. Lakini kwa sisi huku kwetu polisi hutumia sana sana magari kwenye kufanya doria zao. Polisi wa Burundi hutembea na Ak47 au Short machine Gun(Smg) zikiwa na mzigo wa kutosha. Ninashauri Serikali yangu tukufu kurudisha Doria za Polisi za miguu kwenye Sehemu mbalimbali za mikoa yetu badala kufanya doria kwa kutumia Magari.

 Ujenzi wa Nyumba na Makazi
Ujenzi Burundi upo juu sana kwa maana wanategemea viwanda vya Simenti kutoka Tanzania na Uganda kwa wingi. Kama kuna mfanyabiashara au Serikaki inaweza kufanya Biashara na serikali ya Burundi. Nyumba za Burundi hata kama ni ya udongo, lakini juu lazima ukute kuna bati. Kuna idadi ndogo sana ya nyumba za nyasi nchini Burundi. Je mabati wanatoa wap...?

Serikali ya Piere Nkurunziza ilitoa msamaha wa kodi kwenye Mabati. Kwahyo mabati yanauzwa kwa bei nafuu sana. Kwa wakulima wanapewa kwenye vyama vya vya Ushirika.

FURSA ZA BIASHARA ZA KUFANYA KUTOKA BURUNDI KUJA TANZANIA

 MATUNDA

Burundi ni inchi inazalisha sana matunda aina ya Avocado( Parachichi). Kwa Burundi ukienda kwa mashambani unapata Avocado kwa bei ya 300Tsh kwa Avocardo 3 had 4. Ukileta mikoa na Dar es Salaam, Arusha au Mwanza Avocado moja unazaa kwa 250 had 300 kwa bei ya jumla. Usafiri kutoka shambani hadi Border kwa kiroba cha kilo 100 ni shiling 1500 hadi 2500. Kutoka Kabanga hadi Dar kiroba kimoja ni 25,000 had 30,000.

 MADINI ( DHAHABU)
Kwenye Wilaya ya Muyinga kijini cha Kamara Magando. Kuna wachimbaji wa madini lakini bado wanatumia njia za kizamani kuchimba madini. Kule Karama Magambo dhahabu wanayoitafuta ni hile inayoenekana kwa Macho. Lakini wanapoteza dhahabu nyingi sana ambayo ipo kwenye mfumo wa poda. Wenyewe baada ya kusaga Jiwe naosha na kunasa Dhahabu kwa mercury. Ni watu wachache sana ndio wanaozesha udongo na kupata Dhahabu. Mfuno wa SIP kwao ni bado sana. Kwa hiyo kama wewe ni mfanyabiashra ya dhahabu Burundi kuna uhaba wa SIP na kuna marudio mengi sana. Vifaa vya kulipulia miamba pia yaaan Cortex, Viberiti na baruti zina soko sana. Lakn n lazima uwe na kibari cha kuuza na kusafirisha.

 Solar panel na Solar Battery ( Vifaa vya solar)
Soko la vifaa vya solar kwa Burundi lipo kubwa kwa sababu asilimia kubwa ya burundi umeme hakuna wa uhakika. Kwahyo watu wengi wa vijijini wanatumia solar kwenye matumizi yao ya kila siku.

 Electronic Devices
Hapa kuna Simu, chagres pamoja na laptops. Burundi vitu vya Electronic zina mzunguko mkubwa na wauzaji wa wachache hali inapelekea Bidhaa kuuzwa kwa bei kubwa sana.

HITIMISHO
Burundi ni nchi nzuri sana na tulivu pia kwa uchache huu unaweza kufanya Biashara kati ya Burundi na Tanzania. Ninaomba dada zetu wanaopata Mimba wakiwa Mashuleni wapewe na Nafasi ya kurudi tena shule baada ya kumaliza kujifungua. Asante
 
Kwa wakati wote huo wa safari nilikua nina hofu na inchi ya Burundi maana watu wanasema mambo mengi kuhusiana na Burundi. Walisema Burundi hakuna Amani mara Burundi ni Njaa tu hakuna Chakula.
Yaani bahati mbaya stori za 'kawaida huwa' haziwekwi kwenye habari. Habari kila siku wanatangaza vita tu kutokea nje. Kuna haja ya kuwepo na vipindi vingi zaidi vya kutazama tamaduni tu za nchi nyingine, fursa maisha nk.

Polisi wa Burundi hutembea na Ak47 au Short machine Gun(Smg) zikiwa na mzigo wa kutosha
Kwa kwetu, tukifanikiwa kudhibiti bunduki za maangamizi zisiwafikie majambazi basi polisi wanabakia kuwa na pistol tu.

Silaha za kivita zibakie vitani kwa wanajeshi tu

Serikali ya Piere Nkurunziza ilitoa msamaha wa kodi kwenye Mabati. Kwahyo mabati yanauzwa kwa bei nafuu sana. Kwa wakulima wanapewa kwenye vyama vya vya Ushirika.
KAmpango kazuri haka asee bro. Ndio tunapenda watu mkitoka nje kama hivyo mnarudi na 'madini' ya kushauri kuboresha nchini. Ahsante.

HITIMISHO
Burundi ni nchi nzuri sana na tulivu pia kwa uchache huu unaweza kufanya Biashara kati ya Burundi na Tanzania
Brother umetuletea habari njema sana. Watu kama nyie inafaa ndio tuwe tunawasafirisha nchi mbalimbali kuwa kama 'mabalozi' fulani hivi. Sio wale ambao akienda mahala, atataka ajulikane kwa bata alilokula tu, halafu biashara anaficha, ni ujinga na ulimbukeni. Shukrani
 
Asante s
Yaani bahati mbaya stori za 'kawaida huwa' haziwekwi kwenye habari. Habari kila siku wanatangaza vita tu kutokea nje. Kuna haja ya kuwepo na vipindi vingi zaidi vya kutazama tamaduni tu za nchi nyingine, fursa maisha nk.

Kwa kwetu, tukifanikiwa kudhibiti bunduki za maangamizi zisiwafikie majambazi basi polisi wanabakia kuwa na pistol tu.

Silaha za kivita zibakie vitani kwa wanajeshi tu

KAmpango kazuri haka asee bro. Ndio tunapenda watu mkitoka nje kama hivyo mnarudi na 'madini' ya kushauri kuboresha nchini. Ahsante.

Brother umetuletea habari njema sana. Watu kama nyie inafaa ndio tuwe tunawasafirisha nchi mbalimbali kuwa kama 'mabalozi' fulani hivi. Sio wale ambao akienda mahala, atataka ajulikane kwa bata alilokula tu, halafu biashara anaficha, ni ujinga na ulimbukeni. Shukrani
Asante sana mkuu
 
Utangulizi

Burundi ni moja kati ya nchi ambayo ipo Mashariki Kusini mwa nchi ya Tanzania, Kaskazini imepakana na inchi ya Rwanda, Upande wa Magharibi imepakana na Inchi ya Jamuhuri ya watu wa Kongo ikiwa imetenganishwa na Ziwa Tanganyika. Miji mikuu ni Bujumbura na Gitega.

Nchi ya Burundi Lugha yao kubwa ni Kirundi, Kifaransa na Kiswahili kidogo. Wakazi wa Burundi ni wakalimu sana kwa wageni hasa wanaotoka Tanzania. Nchi ya Burundi kuna makabila makubwa matatu ambayo ni wahutu, Watutsi na Watwa.

Mwaka 2021 nlipata nafasi ya kwenda kufanya kazi inchini Burundi. Safari ilianza 12 ya mwezi wa sita. Nikitokea Eneo langu la Kazi Tabata Dampo jijini Dar es salaam. Safari yangu ilianza saa 10 jioni kwa kutumia magari ya IT(International Transport) ambayo kwa wakati huo nilipanda gari hizo za IT pale Misugusugu Kibaha mkoani Pwani. Lakini kwa siku nlikosa gari la moja kwa Moja Kwenda Burundi nilipata Gari ambalo linakwenda Congo. Nilikwenda na lile gari kuanzia saa 12 jioni hadi kesho yake saa 6 mchana. Ndio tukawasili mkoani Shinyanga, Manispa ya Kahama mjini.

Nilifika Kahama nilipanda gari za Kampuni ya Sahani Bus services inayofanya kazi ya kusafirisha Abiria kutoka Kahama kwenda Benaco na Ngara mjini kwa kupitia Nyakanazi. Mimi nilipanda Gari ya kwenda Ngara. Nilifika Ngara saa 4 usiku. Kwenye Mkoa wa Kagera, wilayani Ngara nilipokelewa na baridi kali, hali tofauti kabisa na mikao ya Dar es salaam na Pwani. Nilipata Lodge moja nikalala hapo hadi Asubuhi. Kwa wakati wote huo wa safari nilikua nina hofu na inchi ya Burundi maana watu wanasema mambo mengi kuhusiana na Burundi. Walisema Burundi hakuna Amani mara Burundi ni Njaa tu hakuna Chakula.

Asubuhi ya Taarehe 14 mwezi wa Sita nikiwa mkoani Kagera, Wilaya ya Ngara, Nilipanda mchomoko. Mchomoko ni gari haina ya Toyota Wish, Toyota Probox na Toyota Succeed. Ambazo ndio zinatoa Huduma ya usafiri kutoka Ngara kwenda mpaka Kabanga. Ndani ya huo mchomoko mnapanda zaid ya watu 13. Yaan mbele watu wa nne pamoja na dereva nyuma ni watu watano au wanne kama ni wanenne, mwisho kwenye Buti wanakaa watu wanne. Huwa ni mwendo wa masaa 2 had 3 kutoka Ngara hadi Kabanga. Nilifika Kabanga na kuchukua bodaboda hadi Border ya Tanzania na Burundi (KOBERO BORDER).

Nilikuatana na mwenyeji wangu ambaye alikuwa na Maduara ya Kuchimba Dharabu katika kijiji cha Karama Magambo, kata ya Buthihinda, Mkoa wa Muyinga nchini Burundi. Kutoka Border kwenye hapo kijiji ni kama wa 20 km. Ni mwendo wa kupanda na kushuka milima tu. Tulifika Karama Magando saa 10 jioni. Hakukua tena na kupatikana kwa line za Tanzania. Ikabidi nitafute laini ya Burundi, nilinunua laini ya Lumitel na kuweka kwenye Simu yangu. Gharama za kupiga simu za ndani ya Burundi zipo juu sana. Lakini kwenye upande wa Internet wako chini sana yaan kwa 1000 faranga ya Burundi unapata Bundle ya wiki nzima kuperuzi Whatsapp, Instagram, Facebook bure. Kwa wakati ule 1Tsh ilikua na 1.6 Faranga. Kwa hiyo 1,000 faranga ni sawa na 625Tsh.

Mambo niliyoyaona Burundi.

 Shule Na Elimu kwa ujumla

Suala la Elimu kwa nchi ya Burundi sana sana vijijini kwao elimu ni kitu cha muhimu sana. Lakini tofauti kati yao na kwetu ni kwamba ikitokea Binti kapata mimba akiwa Shuleni basi hatasimamishwa masomo lakini baada ya kujifungua na kulea mtoto wake ana haki ya kurudi na kuendelea na Shule pale pale alipoacha. Ninashauri Serikali yangu Tukufu Pamoja na Waziri wenye Dhamana Mama Yangu DOROTHY GWAJIMA wekeni sera ya kurudisha watoto wa kike kurudi Shuleni kuendelea na Masomo yao kama kawaida baada ya kujifungua. Tunapoteza nguvu wa wasomi wetu wengi kwa kigezo cha Mimba tku

Mfumo wao wa Elimu ni mzuri sana maana wenyewe wanasoma mfumo kama wa vyuo vikuu yaani unasoma kwa Semister na unafanya mitihani kwa Semister. Ukifeli unarudia somo moja unapewa nafasi ya kurudia tena hilo somo kufanyia mtihani. Kama ukishindwa basi hauendi semister nyingine hadi ufaulu hilo somo.

 Ulinzi na Usalama
Kwa Burundi Ulinzi na usalama upo mkubwa sana maana polisi kwa asilimia kubwa hawatumii magari kufanya Doria zao. Wao wanatumia miguu tu kufanya Doria zao. Wanakwenda kituoni kureport na kutawanyika kwenda kufanya Doria kwa miguu. Lakini kwa sisi huku kwetu polisi hutumia sana sana magari kwenye kufanya doria zao. Polisi wa Burundi hutembea na Ak47 au Short machine Gun(Smg) zikiwa na mzigo wa kutosha. Ninashauri Serikali yangu tukufu kurudisha Doria za Polisi za miguu kwenye Sehemu mbalimbali za mikoa yetu badala kufanya doria kwa kutumia Magari.

 Ujenzi wa Nyumba na Makazi
Ujenzi Burundi upo juu sana kwa maana wanategemea viwanda vya Simenti kutoka Tanzania na Uganda kwa wingi. Kama kuna mfanyabiashara au Serikaki inaweza kufanya Biashara na serikali ya Burundi. Nyumba za Burundi hata kama ni ya udongo, lakini juu lazima ukute kuna bati. Kuna idadi ndogo sana ya nyumba za nyasi nchini Burundi. Je mabati wanatoa wap...?

Serikali ya Piere Nkurunziza ilitoa msamaha wa kodi kwenye Mabati. Kwahyo mabati yanauzwa kwa bei nafuu sana. Kwa wakulima wanapewa kwenye vyama vya vya Ushirika.

FURSA ZA BIASHARA ZA KUFANYA KUTOKA BURUNDI KUJA TANZANIA

 MATUNDA

Burundi ni inchi inazalisha sana matunda aina ya Avocado( Parachichi). Kwa Burundi ukienda kwa mashambani unapata Avocado kwa bei ya 300Tsh kwa Avocardo 3 had 4. Ukileta mikoa na Dar es Salaam, Arusha au Mwanza Avocado moja unazaa kwa 250 had 300 kwa bei ya jumla. Usafiri kutoka shambani hadi Border kwa kiroba cha kilo 100 ni shiling 1500 hadi 2500. Kutoka Kabanga hadi Dar kiroba kimoja ni 25,000 had 30,000.

 MADINI ( DHAHABU)
Kwenye Wilaya ya Muyinga kijini cha Kamara Magando. Kuna wachimbaji wa madini lakini bado wanatumia njia za kizamani kuchimba madini. Kule Karama Magambo dhahabu wanayoitafuta ni hile inayoenekana kwa Macho. Lakini wanapoteza dhahabu nyingi sana ambayo ipo kwenye mfumo wa poda. Wenyewe baada ya kusaga Jiwe naosha na kunasa Dhahabu kwa mercury. Ni watu wachache sana ndio wanaozesha udongo na kupata Dhahabu. Mfuno wa SIP kwao ni bado sana. Kwa hiyo kama wewe ni mfanyabiashra ya dhahabu Burundi kuna uhaba wa SIP na kuna marudio mengi sana. Vifaa vya kulipulia miamba pia yaaan Cortex, Viberiti na baruti zina soko sana. Lakn n lazima uwe na kibari cha kuuza na kusafirisha.

 Solar panel na Solar Battery ( Vifaa vya solar)
Soko la vifaa vya solar kwa Burundi lipo kubwa kwa sababu asilimia kubwa ya burundi umeme hakuna wa uhakika. Kwahyo watu wengi wa vijijini wanatumia solar kwenye matumizi yao ya kila siku.

 Electronic Devices
Hapa kuna Simu, chagres pamoja na laptops. Burundi vitu vya Electronic zina mzunguko mkubwa na wauzaji wa wachache hali inapelekea Bidhaa kuuzwa kwa bei kubwa sana.

HITIMISHO
Burundi ni nchi nzuri sana na tulivu pia kwa uchache huu unaweza kufanya Biashara kati ya Burundi na Tanzania. Ninaomba dada zetu wanaopata Mimba wakiwa Mashuleni wapewe na Nafasi ya kurudi tena shule baada ya kumaliza kujifungua. Asante
Unafaa kuwa Waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji.
Hawa wengine shida tupu!!
 
Dah nimetembea Burundi yote Muyinga, Kayanza,Ngozi, Bujumbura, kifupi hii nchi mhhhhh bado sana, ila fursa zipo km mchele utapga pesa hatari
 
Kwel mkuu. Watanzania tuamke na kwenda kutafuta Fursa Burundi au nje ya Tanzania
 
Turudi pale Rau madukani...ulisema ulilala Ngara, vipi ulilala peke yako au ulijitwalia toto la kitusi ukalainisha nyonga?
Halafu vipi ile huduma yetu pendwa bei elekezi ni kama faranga ngapi?
 
Dah nimetembea Burundi yote Muyinga, Kayanza,Ngozi, Bujumbura, kifupi hii nchi mhhhhh bado sana, ila fursa zipo km mchele utapga pesa hatari
Hapa Nilikua nmetoka kujifunza kazi ya kutega Mlipuko. Shimo ni meter 200.
 
Attachments

  • 20210119_133424.jpg
    20210119_133424.jpg
    844.2 KB · Views: 13
  • 20210119_133356.jpg
    20210119_133356.jpg
    1.3 MB · Views: 12
  • 20210119_133356.jpg
    20210119_133356.jpg
    1.3 MB · Views: 12
  • 20210119_133013.jpg
    20210119_133013.jpg
    1.8 MB · Views: 15

Attachments

  • IMG-20210122-WA0015.jpg
    IMG-20210122-WA0015.jpg
    82.7 KB · Views: 15
  • IMG-20210122-WA0019.jpg
    IMG-20210122-WA0019.jpg
    72.3 KB · Views: 14
Polisi wa Burundi akiwa na Smg. Tukipiga Story za Mapira wa Tanzania. Burundi kuna Washabiki wengi sana wa Simba ya Yanga
 
Attachments

  • 20201022_181355.jpg
    20201022_181355.jpg
    1.5 MB · Views: 14
Hapa Tukila Tunda aina ya Fenesi kama kifungua kinywa( Breakfast).
 
Attachments

  • 20201017_122856.jpg
    20201017_122856.jpg
    2.1 MB · Views: 14
  • FACE_RC_1610051445695.jpg
    FACE_RC_1610051445695.jpg
    850.3 KB · Views: 11
Nimeipenda hii habari. Hakika ww ni MTU makini mno. One day Yes.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Bia za Burundi ni kubwa sana(0.5 litter). Hyo inaitwa Primus
 
Attachments

  • 20200705_205007.jpg
    20200705_205007.jpg
    885.7 KB · Views: 11
  • 20200705_204613.jpg
    20200705_204613.jpg
    1.2 MB · Views: 14
Back
Top Bottom