Tanzania National Identities

Mpango wa kuwa na vitambulisho vya kitaifa:

  • Ni Nzuri

    Votes: 205 58.4%
  • Ni Mbaya

    Votes: 147 41.9%

  • Total voters
    351
Kinachonishangaza mimi ni kwa nini amechukua muda mrefu namna hii kulihutubia tena BUNGE? Tangu mwezi Desemba 2005! Pamoja na "vurugu" zote hizi tangu achukue madaraka ya kuiongoza NCHI hii!
 
Leo ndio atjulikana the real JK, hii hotuba ya leo aidha itamrudishia popularity au ndio itazidi kumwangusha.
 
Nimejaribu kila namna kuweza kuyarusha matangazo haya moja kwa moja hapa JF lakini nimechemsha kwakuwa ISP wangu IP aliyonipa inaonekana iko shared hivyo kufanya podcasting inaniwia ngumu.

Natumaini watu tutaendelea kushirikishana hapa. Nabadili ISP leoleo na JF itaanza podcasting soon and it will be free. Matukio yote muhimu yatakuwa yanarushwa hapa moja kwa moja. Nawashukuru kwa ushirikiano na kumradhi kwani kwa leo nimechemsha kabisa.

WildCard tafadhali keep people updated!
 
Leo ndio atjulikana the real JK.....hii hotuba ya leo aidha itamrudishia popularity au ndio itazidi kumwangusha...
Na itakuwaje JK akilivunja Bunge? Siamini kama atagusia masuala ya Ufisadi labda kwa mbali suala la Zanzibar. Anyway, tungoje tuone nini atagusia!
 
Nimejaribu kila namna kuweza kuyarusha matangazo haya moja kwa moja hapa JF lakini nimechemsha kwakuwa ISP wangu IP aliyonipa inaonekana iko shared hivyo kufanya podcasting inaniwia ngumu.

Natumaini watu tutaendelea kushirikishana hapa. Nabadili ISP leoleo na JF itaanza podcasting soon and it will be free. Matukio yote muhimu yatakuwa yanarushwa hapa moja kwa moja. Nawashukuru kwa ushirikiano na kumradhi kwani kwa leo nimechemsha kabisa.

WildCard tafadhali keep people updated!

Nitajitahidi. Tusaidiane na wengine tuliopo hapa nyumbani kwani itatangazwa na vyombo vingi vya habari nchini na mimi sio mwandishi mzuri sana.
 
sisi tuko tayari na tutakuwa "live" pindi Rais akianza kuzungumza; wote mnakaribishwa na tunamshukuru yule ndugu aliyetupa ufadhili kuweza kuwaletea matangazo haya maalum.
 
Mimi najua tu kwa vile jamaa ni msanii kutoka bagamoyo sitegemei kipya.Na siku zote watu mnapo kuwa na hamu ya kujua nini kitakacho zungumzwa na kubashiri huku na kule utasikia mambo ya kawaida yatakayo zungumzwa hapo....Lakini hii ni chance mojawapo ya JK kurejesha imani kwa walio mpa kibarua hapo magogoni.
 
Nataka pia kumsaidia mtu mwenye kituo cha radio ambaye angependa sana kuungana moja kwa moja na matangazo ya KLHNews na kuyarusha hewani.

Naomba mwongozo wako ili huyu mwanaharakati atimize haja yake.
 
Mimi najua tu kwa vile jamaa ni msanii kutoka bagamoyo sitegemei kipya.Na siku zote watu mnapo kuwa na hamu ya kujua nini kitakacho zungumzwa na kubashiri huku na kule utasikia mambo ya kawaida yatakayo zungumzwa hapo....Lakini hii ni chance mojawapo ya JK kurejesha imani kwa walio mpa kibarua hapo magogoni.

kaam kiongozi makini alitakiwa aome alama za nyakati/asome mwelekeo wa wananchi maana takribani wk hii nzima wananchi wanamsubiri awajibu swali walilomuuliza kuhusu ufisadi hata kama hapendi... wananchi, vyombo vya habari wikii hii nzima wanaongelea mazungumze yake ya leo kwa matumaini ya kuwa atatoa fate ya mafisadi.... asipofanya hivo hatakuwa amjishusha... atakuwa amepoteza umaarufu wake ndani na nje wa nchi tena atachafuka kuliko jangili lisilo soni mkapa
 
Huyu mkuu tumesha msoma mapendekezo ya wananchi yenyewe hayafanyiii kazi wananchi wanapiga kelele weee yeye hasikii kama issue ya ufisadi mawaziri wake wangapi wamepigiwa kelele kuhusu ufisadi na yeye anawateua tena au anawarudisha tena serikalini sasa hapo mnategemea nini?????huyu hasikii wala kuambiwa washauri wake ndo wanamponza mkulu huyu.
 
Sasa hii source yako ya habari mbona ime-base kwenye sehemu moja tuu, nashindwa kushawishika kwamba muungwana ataongelea swala moja tuu, halafu kama nitakuwa sikosei hotuba hiyo source wako amekupa kwenye copy iwe soft au hard kwa kuwa haiwezekani katika chit-chat ukawa na uwezo wa kukumbuka takwimu zote hizo, sasa kama ni hivyo basi imwage hiyo hotuba janvini, waungwana waione na waijadili........kama tarehe imekosewa wasiliana na Mwanakijiji.

Waungwana tuisome vizuri habari hii. Mwandishi amesema " sehemu mojawapo ya hotuba" siyo kuwa hotuba yote ni juu ya Takukuru. Hii ni sehemu tu ya kipengele kinachohusu ufisadi.

Naunga mkono hoja kuwa hotuba yote imwagwe hapa - podcast.
Invinsible endelea kujitahidi
 
Mkuu ngoma inasikika kama zile za mkulima, ambazo betry mpaka uianike. Nimeweka volume max lakini nasikia shaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mzee Mwanakijiji,

Naona ina play ila sauti iko chini mno. Kuna kitu hakiko sawa, tafadhali rekebisha.
 
Back
Top Bottom