Wazimbabwe wameanza kulalamika kwenye social media zao.Kumbe hawa wachezaji wao hawajalipwa posho zao.Wameshakata tamaa,wanashangaa kama hii Tanzania ndo walifungwa 3-0 na Burundi.Wanatakiwa watufunge 2 mengine ili wapite.
The Tanzania national football team represents Tanzania in association football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania. Tanzania's home ground is The National Stadium in Dar-es-Salaam .
Tanzania has never qualified for the World Cup finals. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team.
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations.
Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania
Uwanja wa mpira wa Taifa.
Jamal Malinzi: Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF)
Hata kama ni hivyo ndugu tunatia aibu sana, mbona nchi nyingine timu za mataifa yao tv za taifa zinaonesha? Sisi tunashindwa nini kwa mechi kubwa kama hii?
mbona Azam wameweza?Mkuu kwa Africa hiyo kitu ni ngumu sana..mwaka 2012 washabiki wa timu ya taifa ya south waliandamana juu ya ishu kama hiyo.
Inabidi yawepo makubaliano ya pande zote mbili, na sio uamuzi wa nchi moja.
mbona Azam wameweza?
Wazimb wamesawazisha.
Zimb 2- Tanz 2
Zimbabwe wanacheza mpira mzuri na wanaonana tofauti na Taifa Stars.