Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Vipi matokeo hivi sasa wakuu?
Dakika ni ya 86.Mabao ni 2-2.Kwa mabao ya jumla tunaongoza 3-2
Vipi matokeo hivi sasa wakuu?
Relax mzalendo,vijana wanafanya nzuri. Wazimbabwe hawakujiandaa kupambana hivi na timu iliyofungwa 3-0 na Burundi.Nna presha mpaka basi...
mbona mi naangalia livescore mda wa net ipo nyuma nini mana ndo naona dk ya 84Dakika ni ya 86.Mabao ni 2-2.Kwa mabao ya jumla tunaongoza 3-2
Dakika saba zimeongezwa,Ngasa ameingia Ulimwengu ametoka.
saba!!!mbona nyingi mnooooooooDakika saba zimeongezwa,Ngasa ameingia Ulimwengu ametoka.
dk saba nyingi ujueWadau 2shapta worry not
Refa maliza mpira,turudi nyumbani kujiandaa kupambana na mamba wa msumbiji
ngumu sana kwao kufunga magoli mawili kwenye hizo dkDakika 7 ??? kwani kuna wachezaji waliumia sana?