Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,354
- 8,469
Elon musk shusha settlite hizo tunanyanyasika huku sana shenzi zao
MamaeeeeeKuna siku mtakumbuka uzuri wa magufuli,hata kama hamtasema,magufuli alikuwa hataki ujinga,leo hii gharama za vifurushi vimepanda kuholela tu,angekuwepo magu,ndugulile ingekula kwake,
endeleeni kuwastua wakisanuka msije hapa kulalamika
Kuanzia Mei mosi tususie huduma zao zote za internet.Mimi hili nilianza kuliona huku voda tangu waliposhusha kifurushi cha jimwage cha wiki kutoka kupewa 4gb kwa 5,000 mpaka 2gb. Namimi katika kujibu mapigo nilichofanya ni ku uninstall instagram with immediate effect! Sasa hiyo 2gb naitumia jf na whatsapp tu na inabaki..! Sasa nasikia hata hiyo ya 2gb kwa 5,000 nayo wanaiona nyingi, wanaifuta sijajua wataleta nini ila niwahakikishie tu na mimi sitakubali, lazima nile nao sahani moja. Kama vipi tunarudi kwenye sms tuu kwani nini bana..?
Mimi hapa natumia ttcl sijaona mabadiliko yoyote kwenye vifurushialiyeko ttcl atuambie hali ya huko.
kabisaaaaVoda ndio itakuwa kisanga.
Mmmh kitaisha but nataka nipunguze machungu kwanza
vipi gharama kwa vifurushi vya wiki .Mimi hapa natumia ttcl sijaona mabadiliko yoyote kwenye vifurushi
kwa kweli....Mmmh kitaisha but nataka nipunguze machungu kwanza
Halafu kila mwaka utawasikia bila aibu wanatangaza faida ya mabilioni ya shilingi.Hii mitandao ya Simu inatufanya watumiaji Mazuzu sana, wanajipangia wanavyotaka tu
Ushirikishwaji au uchukuaji wa maoni kuhusu bei za vifurushi hawana
Utaratibu wa wapi sijui huu
Mbona mi sipati hii menu mkuu na nina laini ya chuo
Chanzo cha haya yote ni huyo Magufuli.