Tanzania na Uhuru wa bendera!!!!!!!!!

Straight corner

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
385
132
Wana JF polen kwa harakati zenu za kuiomboa Tz!
Nimekuwa msomaji wa thread zenu yapata mwaka sasa bila kuchangia chochote isipokuwa kutumia elim niipatayo kuelimisha jamii isiyoweza kufika jukwaani kwenu!
Kwa hili lililotokea juzi Arusha, naomba kuwapa pole wazaledo na wapenda amani ya nchi yetu wote na kuwaomba kutokata tamaa kwani uhuru wa kweli utapatikana.

Niaminicho hawawezi kutuua wote almost 35 milion (ukiachilia mbali wana sisi'm') bila kueleweka kitu!
 
Back
Top Bottom