Tanzania na udar es salaam

mabina

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
216
26
Jamani hivi Tanzania ni Dar es Salaam peke yake? Kwani kila kitu Dar, ujenzi/ ukarabati wa miundombinu ya kwanza dar, hivi ni kwanini? Ndo maana mikoa mingine haiendei kwanini lakini?
 
CHADEMA waliposema sera za Majimbo watu wa CCM walipinga sana na WaTanganyika hawajui faida yake. sasa si mnaona kila kitu ni Dar, hata km rasilimali nyingi zinatoka mikoani lkn kipaumbele ni Dar huko mikoani kwetu hakuna kitu kinafanyika.
 
Hivi one day inchi hii itaendelea kweli kama mambo yote ni DA?
 
Hata ukiwa nje ya nchi ukisema jina BONGO inamaanisha Tanzania, ukiwa ndani ya Tanzania ukisema BONGO unamaanisha Dar.
Kweli Tanzania ni Dar.
 
which is better, to make development at the whole country or only to develop Dar
 
Its true the city of Dar es Salaam has received a lot of attention. However the media can change this situation by educating the public.

I believe that something can still be done.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom