Joenh
Member
- Oct 6, 2015
- 42
- 46
Ni jambo la kuhuzunisha na la aibu kuona kwa karne hii ambayo maendeleo ya elimu na teknolojia yamekua kwa kiasi kikubwa sana.
Lakini bado nchi kama yetu Tanzania na huko Zambia wananchi bado wanasumbuliwa na ugonjwa unaotokana na uchafu. Usafi ni ishara mojawapo ya ustarabu wa mwanadamu.
Kama bado tunasumbuliwa na uchafu maanake ustarabu wetu bado upo chini. Wizara ya elimu iitazame hili kwa jicho la tatu.
Ubora wa elimu, manufaa ya elimu kwa jamii ionekane ilete tija na kutatua changamoto.