stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,885
- 4,468
Hivi mwaka huu kuna uchaguzi au umeghairishwa? Mbona kimya sanaNa yatafanya Maisha ya Watanzania Wengi kua Magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mwaka huu kuna uchaguzi au umeghairishwa? Mbona kimya sanaNa yatafanya Maisha ya Watanzania Wengi kua Magumu
Nimeuliza swali hilo hilo sijapata jibu. Kwa taratibu za kawaida za gawanyo la faida haingiii akilini kumiliki hisa 16% na gawio 50%.Hisa 16%, faida 50%. Je iyofaida ni 50% ya hiyo hisa ya 16% au ni 50% ya tota hisa 100% kwenye huo mradi.
Wenye kujua ukokotoaji ukoje wanisaidie.
Nadhani hii 16 ni back in rights na hii 50 nadhani ni profit mineral to be shared. Kama ningepata english terms ningeweza kuelezea. Hapa mpaka usine mkataba wote.mviiii, ovyo, vyovyote vile sawa
Economic benefits!Hisa 16%, faida 50%. Je iyofaida ni 50% ya hiyo hisa ya 16% au ni 50% ya tota hisa 100% kwenye huo mradi.
Wenye kujua ukokotoaji ukoje wanisaidie.
President and chief executive Mark Bristow +1 647 205 7694 +44 788 071 1386 | COO, Africa and Middle East Willem Jacobs +44 779 557 5271 +243 820 678 040 | Investor and media relations Kathy du Plessis +44 20 7557 7738 Email: barrick@dpapr.com |
Tanzania ni kubwa tu ila wengi wetu kazi yetu ni kulalamika kuwa maisha ni magumu lakini mifano ya mafanikio yameanishwa humu humu jamvini. mfano mzuri ni yule jamaa aliyeanza ufugaji wa kuku 10 wa kienyeji na hali yake ilivyo hivi sasa. Vijana punguzeni muda wa kutembea kutumia vidole kufanya kazi tu.Niko Arusha nawezaje kupata Ardhi ya kulima maeneo ya Kikatiti ya chini
Kuku 10 ni sawa na TZS 100,000 bado banda; kwa kifupi umaskini wa kipato ni tatizo la wengiTanzania ni kubwa tu ila wengi wetu kazi yetu ni kulalamika kuwa maisha ni magumu lakini mifano ya mafanikio yameanishwa humu humu jamvini. mfano mzuri ni yule jamaa aliyeanza ufugaji wa kuku 10 wa kienyeji na hali yake ilivyo hivi sasa. Vijana punguzeni muda wa kutembea kutumia vidole kufanya kazi tu.
Hayo makubaliano bunge la jamuhuri linayajua?
Tusije tukatafuta mchawi badae
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe inaelekea ni wale ambao tegemezi kwa familia zao na wakifukuzwa huko wanaanza kulalamika wazazi wao. Kaka hata zege unaweza kubeba upate msingi au vinginevyo ......Kuku 10 ni sawa na TZS 100,000 bado banda; kwa kifupi umaskini wa kipato ni tatizo la wengi
ngojeni kwanza ina maana kwenye zile 300bn hatamia hatupati? hakyamungu ukisikia ndekule ngoma ya wajanja ndio hiiEconomic benefits!
www.vabusiness.co.tzWewe inaelekea ni wale ambao tegemezi kwa familia zao na wakifukuzwa huko wanaanza kulalamika wazazi wao. Kaka hata zege unaweza kubeba upate msingi au vinginevyo ......
Lalamika pipoKila siku wanakubaliana ila manufaa hayaonekani
Huna unachokijuaLalamika pipo
Sawa ujuayeHuna unachokijua
Huna unachokijua na usirudie kuni quoteSawa ujuaye
Navaa hali za relatives wanguS
sasa unalalamika kitu gani? au unawafanyia stizaha wale wasiokuwa nacho???