mwena
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 649
- 418
Mimi naona hata hiyo nafasi ya tatu toka mwisho tumependelewa. Ingefaa tuwe wa mwisho kabisa.
Huwezi kuwa na furaha kwa haya yanayoendelea sasa: utekwaji, kuvunjiwa nyumba/vibanda, kutokua na mzunguko wa hela mitaani, wafanyakazi kutopata stahiki zao/nyongeza ya mishahara takribani miaka mitatu mfululizo, fukuza fukuza watumishi na viongozi wa umma; hayo kwa uchache furaha itoke wapi?