Tanzania miongoni mwa nchi ambazo wananchi hawafurahii maisha angalia orodha kamili

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.

Orodha imeangazia takwimu kutoka 2014 hadi 2016
Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.

Imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.

Orodha kamili:
1. Norway (7.537)

2. Denmark (7.522)

3. Iceland (7.504)

4. Uswizi (7.494)

5. Finland (7.469)

6. Uholanzi (7.377)

7. Canada (7.316)

8. New Zealand (7.314)

9. Australia (7.284)

10. Sweden (7.284)

11. Israel (7.213)

12. Costa Rica (7.079)

13. Austria (7.006)

14. Marekani (6.993)

15. Ireland (6.977)

16. Ujerumani (6.951)

17. Ubelgiji (6.891)

18. Luxembourg (6.863)

19. Uingereza (6.714)

20. Chile (6.652)

21. Umoja wa Milki za Kiarabu (6.648)

22. Brazil (6.635)

23. Jamhuri ya Czech (6.609)

24. Argentina (6.599)

25. Mexico (6.578)

26. Singapore (6.572)

27. Malta (6.527)

28. Uruguay (6.454)

29. Guatemala (6.454)

30. Panama (6.452)

31. Ufaransa (6.442)

32. Thailand (6.424)

33. Taiwan (6.422)

34. Uhispania (6.403)

35. Qatar (6.375)

36. Colombia (6.357)

37. Saudi Arabia (6.344)

38. Trinidad na Tobago (6.168)

39. Kuwait (6.105)

40. Slovakia (6.098)

41. Bahrain (6.087)

42. Malaysia (6.084)

43. Nicaragua (6.071)

44. Ecuador (6.008)

45. El Salvador (6.003)

46. Poland (5.973)

47. Uzbekistan (5.971)

48. Italia (5.964)

49. Urusi (5.963)

50. Belize (5.956)

51. Japan (5.920)

52. Lithuania (5.902)

53. Algeria (5.872)

54. Latvia (5.850)

55. Moldova (5.838)

56. Korea Kusini (5.838)

57. Romania (5.825)

58. Bolivia (5.823)

59. Turkmenistan (5.822)

60. Kazakhstan (5.819)

61. Cyprus Kaskazini (5.810)

62. Slovenia (5.758)

63. Peru (5.715)

64. Mauritius (5.629)

65. Cyprus (5.621)

66. Estonia (5.611)

67. Belarus (5.569)

68. Libya (5.525)

69. Uturuki (5.500)

70. Paraguay (5.493)

71. Hong Kong (5.472)

72. Ufilipino (5.430)

73. Serbia (5.395)

74. Jordan (5.336)

75. Hungary (5.324)

76. Jamaica (5.311)

77. Croatia (5.293)

78. Kosovo (5.279)

79. China (5.273)

80. Pakistan (5.269)

81. Indonesia (5.262)

82. Venezuela (5.250)

83. Montenegro (5.237)

84. Morocco (5.235)

85. Azerbaijan (5.234)

86. Jamhuri ya Dominika (5.230)

87. Ugiriki (5.227)

88. Lebanon (5.225)

89. Ureno (5.195)

90. Bosnia na Herzegovina (5.182)

91. Honduras (5.181)

92. Macedonia (5.175)

93. Somalia (5.151)

94. Vietnam (5.074)

95. Nigeria (5.074)

96. Tajikistan (5.041)

97. Bhutan (5.011)

98. Kyrgyzstan (5.004)

99. Nepal (4.962)

100. Mongolia (4.955)

101. Afrika Kusini (4.829)

102. Tunisia (4.805)

103. Maeneo ya Palestina (4.775)

104. Misri (4.735)

105. Bulgaria (4.714)

106. Sierra Leone (4.709)

107. Cameroon (4.695)

108. Iran (4.692)

109.Albania (4.644)

110. Bangladesh (4.608)

111. Namibia (4.574)

112. Kenya (4.553)

113. Msumbiji (4.550)

114. Myanmar (4.545)

115. Senegal (4.535)

116. Zambia (4.514)

117. Iraq (4.497)

118. Gabon (4.465)

119. Ethiopia (4.460)

120. Sri Lanka (4.440)

121. Armenia (4.376)

122. India (4.315)

123. Mauritania (4.292)

124. Congo (Brazzaville) (4.291)

125. Georgia (4.286)

126. Congo (Kinshasa) (4.280)

127. Mali (4.190)

128. Ivory Coast (4.180)

129. Cambodia (4.168)

130. Sudan (4.139)

131. Ghana (4.120)

132. Ukraine (4.096)

133. Uganda (4.081)

134. Burkina Faso (4.032)

135. Niger (4.028)

136. Malawi (3.970)

137. Chad (3.936)

138. Zimbabwe (3.875)

139. Lesotho (3.808)

140. Angola (3.795)

141. Afghanistan (3.794)

142. Botswana (3.766)

143. Benin (3.657)

144. Madagascar (3.644)

145. Haiti (3.603)

146. Yemen (3.593)

147. Sudan Kusini (3.591)

148. Liberia (3.533)

149. Guinea (3.507)

150. Togo (3.495)

151. Rwanda (3.471)

152. Syria (3.462)

153. Tanzania (3.349)

154. Burundi (2.905)

155. Jamhuri ya Afrika ya Kati (2.693

Chanzo BBC

Mataifa yenye furaha zaidi 2017

Swali je nini kinasababisha furaha kutokuwepo Kwa watanzania?

Cc Pascal Mayalla Shark jmushi1
 
289fe53c1139d3f485a08db50f627835.jpg


Haswa mashabiki wa simba sc
 
Congo Kinshasa, Hata Afganstan, Syria zenye vita na machafuko kila siku zinatuzidi alafu mnatuambia Yule Bwana wa Chama Fulani "anafanya kazi nzuri sana"
 
Absol
Magufuli kaongeza hali ya watanzania kutokua na furaha kutokana na maneno yake machafu,visasi,fitna,kukaza vyuma na kuwakebehi wananchi wake ,huyu nzee sio wa kumchekea tumpige chini 2020 hatufai kabisa watanzania
Absolutely correct!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom