Nataka ukubaliane na hali mbovu tuliyo nayo. Kuna Haja gani ya kujilinganisha na malofa wenzetu?Ulitakaje?
kweli lakini inakuaje?Mbona tukula bata sana tuu?
Ndiyo wametuzid hata south Sudan
Kuna mataifa mangapi duniani na mangapi yalishiriki kwenye tathmini hii. Inafurahisha na kushangaza Libya nchi inayofanya biashara ya utumwa wa binadamu iko juu kwenye kiwango cha furaha. Ni ya pili Afrika baada ya Mautitius. Hata Somalia iko juu ya nchi za Afrika Mashariki licha ya vita iliyo dumu miaka 26. Itapendeza kujua vigezo vya tathimini hii.Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.
Orodha imeangazia takwimu kutoka 2014 hadi 2016
Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.
Imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.
Orodha kamili:
1. Norway (7.537)
2. Denmark (7.522)
3. Iceland (7.504)
4. Uswizi (7.494)
5. Finland (7.469)
6. Uholanzi (7.377)
7. Canada (7.316)
8. New Zealand (7.314)
9. Australia (7.284)
10. Sweden (7.284)
11. Israel (7.213)
12. Costa Rica (7.079)
13. Austria (7.006)
14. Marekani (6.993)
15. Ireland (6.977)
16. Ujerumani (6.951)
17. Ubelgiji (6.891)
18. Luxembourg (6.863)
19. Uingereza (6.714)
20. Chile (6.652)
21. Umoja wa Milki za Kiarabu (6.648)
22. Brazil (6.635)
23. Jamhuri ya Czech (6.609)
24. Argentina (6.599)
25. Mexico (6.578)
26. Singapore (6.572)
27. Malta (6.527)
28. Uruguay (6.454)
29. Guatemala (6.454)
30. Panama (6.452)
31. Ufaransa (6.442)
32. Thailand (6.424)
33. Taiwan (6.422)
34. Uhispania (6.403)
35. Qatar (6.375)
36. Colombia (6.357)
37. Saudi Arabia (6.344)
38. Trinidad na Tobago (6.168)
39. Kuwait (6.105)
40. Slovakia (6.098)
41. Bahrain (6.087)
42. Malaysia (6.084)
43. Nicaragua (6.071)
44. Ecuador (6.008)
45. El Salvador (6.003)
46. Poland (5.973)
47. Uzbekistan (5.971)
48. Italia (5.964)
49. Urusi (5.963)
50. Belize (5.956)
51. Japan (5.920)
52. Lithuania (5.902)
53. Algeria (5.872)
54. Latvia (5.850)
55. Moldova (5.838)
56. Korea Kusini (5.838)
57. Romania (5.825)
58. Bolivia (5.823)
59. Turkmenistan (5.822)
60. Kazakhstan (5.819)
61. Cyprus Kaskazini (5.810)
62. Slovenia (5.758)
63. Peru (5.715)
64. Mauritius (5.629)
65. Cyprus (5.621)
66. Estonia (5.611)
67. Belarus (5.569)
68. Libya (5.525)
69. Uturuki (5.500)
70. Paraguay (5.493)
71. Hong Kong (5.472)
72. Ufilipino (5.430)
73. Serbia (5.395)
74. Jordan (5.336)
75. Hungary (5.324)
76. Jamaica (5.311)
77. Croatia (5.293)
78. Kosovo (5.279)
79. China (5.273)
80. Pakistan (5.269)
81. Indonesia (5.262)
82. Venezuela (5.250)
83. Montenegro (5.237)
84. Morocco (5.235)
85. Azerbaijan (5.234)
86. Jamhuri ya Dominika (5.230)
87. Ugiriki (5.227)
88. Lebanon (5.225)
89. Ureno (5.195)
90. Bosnia na Herzegovina (5.182)
91. Honduras (5.181)
92. Macedonia (5.175)
93. Somalia (5.151)
94. Vietnam (5.074)
95. Nigeria (5.074)
96. Tajikistan (5.041)
97. Bhutan (5.011)
98. Kyrgyzstan (5.004)
99. Nepal (4.962)
100. Mongolia (4.955)
101. Afrika Kusini (4.829)
102. Tunisia (4.805)
103. Maeneo ya Palestina (4.775)
104. Misri (4.735)
105. Bulgaria (4.714)
106. Sierra Leone (4.709)
107. Cameroon (4.695)
108. Iran (4.692)
109.Albania (4.644)
110. Bangladesh (4.608)
111. Namibia (4.574)
112. Kenya (4.553)
113. Msumbiji (4.550)
114. Myanmar (4.545)
115. Senegal (4.535)
116. Zambia (4.514)
117. Iraq (4.497)
118. Gabon (4.465)
119. Ethiopia (4.460)
120. Sri Lanka (4.440)
121. Armenia (4.376)
122. India (4.315)
123. Mauritania (4.292)
124. Congo (Brazzaville) (4.291)
125. Georgia (4.286)
126. Congo (Kinshasa) (4.280)
127. Mali (4.190)
128. Ivory Coast (4.180)
129. Cambodia (4.168)
130. Sudan (4.139)
131. Ghana (4.120)
132. Ukraine (4.096)
133. Uganda (4.081)
134. Burkina Faso (4.032)
135. Niger (4.028)
136. Malawi (3.970)
137. Chad (3.936)
138. Zimbabwe (3.875)
139. Lesotho (3.808)
140. Angola (3.795)
141. Afghanistan (3.794)
142. Botswana (3.766)
143. Benin (3.657)
144. Madagascar (3.644)
145. Haiti (3.603)
146. Yemen (3.593)
147. Sudan Kusini (3.591)
148. Liberia (3.533)
149. Guinea (3.507)
150. Togo (3.495)
151. Rwanda (3.471)
152. Syria (3.462)
153. Tanzania (3.349)
154. Burundi (2.905)
155. Jamhuri ya Afrika ya Kati (2.693
Chanzo BBC
Mataifa yenye furaha zaidi 2017
Swali je nini kinasababisha furaha kutokuwepo Kwa watanzania?
Cc Pascal Mayalla Shark jmushi1
Waongo hao hebu waje na huku waone bata linavyoliwakweli lakini inakuaje?
Aisee noma sana hiiHata Somalia wametuzidi!?
Tindo, hata wewe propaganda hii ya Idhaa ya mkoloni ni began kwa bega?,Hata Somalia wametuzidi!?
Waongo hawa yaani hadi sudan kusini wametuzidiWatanzania hamna jema nyie
Hahaha tutaipiku norwayWaongo hao hebu waje na huku waone bata linavyoliwa
Waongo hao hebu waje na huku waone bata linavyoliwa
Haswa mashabiki wa simba sc
Tumejitahidi watatu kutoka mwisho tupo vizuriWatanzania hamna jema nyie