Tanzania miongoni mwa nchi ambazo wananchi hawafurahii maisha angalia orodha kamili

Tanzania kuna amani sema sura zetu ..ndio tatizo..mtu anakuja kuchukua takwim ww unajidhoofisha ili upate msaada...
 
Hiyo ripoti ilitokana na Utafiti?

Walizingatia nini?
Utafiti ndio. Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.
 
Hiyo ripoti ilitokana na Utafiti?

Walizingatia nini?
Walizingatia kiwango cha makunyanzi usoni(wrinkles)kwa makundi tofauti,mfano utafiti huo ulionyesha kwamba makunyanzi aliyonayo mtoto wa miaka 12 hapa tanzania ni sawa na ya mzee wa miaka 52 huko Norway na miaka 51 huko Denmark nk!! Kwa mfano mtu mzima wa miaka wa miaka 40 hapa tanganyika ni sawasa na m Norway mwenye miaka 210!!! Sasa kutokana na uhalisia kukataana na umri huo ndiyo maana Life span ya mtanganyika ilitangazwa kuwa miaka 40 tu! Hatari sana, sijapindisha takwimu kweli? Mi nafikiri ni hivyo,huwezi kunipangia cha kufikiri!
 
Hahaha....!
 
Furàha tunapataje sisi maskini? Rais kila siku anatutangaza kuwa maskini na yeye ni Rais wa maskini, hivyo kuanzia Rais wetu hakuna mwenye furaha ya maisha----maskini huwezi na furaha daima
 
47517.jpg
H
Hahaha....!
sasa kama huyu mtanganyika hapo ana miaka isiyozidi 20 lakini cheki alivyo hoi! Anatambulika hapa jukwaani kama Rohombaya
 
B

Bullshiit, lazima wewe utakuwa na asili ya utumwa, babu yako au bibi!
Furaha ni nini? Na inapimwaje? Nadhani kipimo na definition ya hawa jamaa waandaa listi inapotosha sana. Mimi nimebahatika kuishi nchi za Scandinavia kwa muda mrefu. Naona ndio zinazoongoza kwa watu wenye ''furaha'' kweli listi. Hili linanifanya nione hawa walioandaa hii listi wamekosea sana. Nikiwa Tanzania naona watu wenye furaha mara mia moja ya watu waliopo Norway au Finland. Nchi za Scandinavia watu hawacheki kama Tanzania, hawazungumzi story za kufurahisha kama Tanzania na wnaishi maisha ya upweke sana. Umasikini sio huzuni na utajiri sio furaha.
 
Walizingatia kiwango cha makunyanzi usoni(wrinkles)kwa makundi tofauti,mfano utafiti huo ulionyesha kwamba makunyanzi aliyonayo mtoto wa miaka 12 hapa tanzania ni sawa na ya mzee wa miaka 52 huko Norway na miaka 51 huko Denmark nk!! Kwa mfano mtu mzima wa miaka wa miaka 40 hapa tanganyika ni sawasa na m Norway mwenye miaka 210!!! Sasa kutokana na uhalisia kukataana na umri huo ndiyo maana Life span ya mtanganyika ilitangazwa kuwa miaka 40 tu! Hatari sana, sijapindisha takwimu kweli? Mi nafikiri ni hivyo,huwezi kunipangia cha kufikiri!
Nenda ukajifiche hakinani nenda ukajifiche wakikuona lazima wakunyonyoe kama kuku, na ujipange kulipa mbavu zangu jinga kabisa veve, hahahaaaaaaaaa
 
Utafiti ndio. Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.
Sasa hivi sio vigezo vya furaha. Nakuhakikishia Watanzania wana furaha kuliko wazungu wengi pamoja na utajiri wao.
 
Furàha tunapataje sisi maskini? Rais kila siku anatutangaza kuwa maskini na yeye ni Rais wa maskini, hivyo kuanzia Rais wetu hakuna mwenye furaha ya maisha----maskini huwezi na furaha daima
Umewahi kuishi nje ya nchi, hasa Ulaya ya Kaskazini kama Norway, Sweden na Finland? Wana maisha mazuri lakini hawana raha.
 
Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.

Orodha imeangazia takwimu kutoka 2014 hadi 2016
Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.

Imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.

Orodha kamili:
1. Norway (7.537)

2. Denmark (7.522)

3. Iceland (7.504)

4. Uswizi (7.494)

5. Finland (7.469)

6. Uholanzi (7.377)

7. Canada (7.316)

8. New Zealand (7.314)

9. Australia (7.284)

10. Sweden (7.284)

11. Israel (7.213)

12. Costa Rica (7.079)

13. Austria (7.006)

14. Marekani (6.993)

15. Ireland (6.977)

16. Ujerumani (6.951)

17. Ubelgiji (6.891)

18. Luxembourg (6.863)

19. Uingereza (6.714)

20. Chile (6.652)

21. Umoja wa Milki za Kiarabu (6.648)

22. Brazil (6.635)

23. Jamhuri ya Czech (6.609)

24. Argentina (6.599)

25. Mexico (6.578)

26. Singapore (6.572)

27. Malta (6.527)

28. Uruguay (6.454)

29. Guatemala (6.454)

30. Panama (6.452)

31. Ufaransa (6.442)

32. Thailand (6.424)

33. Taiwan (6.422)

34. Uhispania (6.403)

35. Qatar (6.375)

36. Colombia (6.357)

37. Saudi Arabia (6.344)

38. Trinidad na Tobago (6.168)

39. Kuwait (6.105)

40. Slovakia (6.098)

41. Bahrain (6.087)

42. Malaysia (6.084)

43. Nicaragua (6.071)

44. Ecuador (6.008)

45. El Salvador (6.003)

46. Poland (5.973)

47. Uzbekistan (5.971)

48. Italia (5.964)

49. Urusi (5.963)

50. Belize (5.956)

51. Japan (5.920)

52. Lithuania (5.902)

53. Algeria (5.872)

54. Latvia (5.850)

55. Moldova (5.838)

56. Korea Kusini (5.838)

57. Romania (5.825)

58. Bolivia (5.823)

59. Turkmenistan (5.822)

60. Kazakhstan (5.819)

61. Cyprus Kaskazini (5.810)

62. Slovenia (5.758)

63. Peru (5.715)

64. Mauritius (5.629)

65. Cyprus (5.621)

66. Estonia (5.611)

67. Belarus (5.569)

68. Libya (5.525)

69. Uturuki (5.500)

70. Paraguay (5.493)

71. Hong Kong (5.472)

72. Ufilipino (5.430)

73. Serbia (5.395)

74. Jordan (5.336)

75. Hungary (5.324)

76. Jamaica (5.311)

77. Croatia (5.293)

78. Kosovo (5.279)

79. China (5.273)

80. Pakistan (5.269)

81. Indonesia (5.262)

82. Venezuela (5.250)

83. Montenegro (5.237)

84. Morocco (5.235)

85. Azerbaijan (5.234)

86. Jamhuri ya Dominika (5.230)

87. Ugiriki (5.227)

88. Lebanon (5.225)

89. Ureno (5.195)

90. Bosnia na Herzegovina (5.182)

91. Honduras (5.181)

92. Macedonia (5.175)

93. Somalia (5.151)

94. Vietnam (5.074)

95. Nigeria (5.074)

96. Tajikistan (5.041)

97. Bhutan (5.011)

98. Kyrgyzstan (5.004)

99. Nepal (4.962)

100. Mongolia (4.955)

101. Afrika Kusini (4.829)

102. Tunisia (4.805)

103. Maeneo ya Palestina (4.775)

104. Misri (4.735)

105. Bulgaria (4.714)

106. Sierra Leone (4.709)

107. Cameroon (4.695)

108. Iran (4.692)

109.Albania (4.644)

110. Bangladesh (4.608)

111. Namibia (4.574)

112. Kenya (4.553)

113. Msumbiji (4.550)

114. Myanmar (4.545)

115. Senegal (4.535)

116. Zambia (4.514)

117. Iraq (4.497)

118. Gabon (4.465)

119. Ethiopia (4.460)

120. Sri Lanka (4.440)

121. Armenia (4.376)

122. India (4.315)

123. Mauritania (4.292)

124. Congo (Brazzaville) (4.291)

125. Georgia (4.286)

126. Congo (Kinshasa) (4.280)

127. Mali (4.190)

128. Ivory Coast (4.180)

129. Cambodia (4.168)

130. Sudan (4.139)

131. Ghana (4.120)

132. Ukraine (4.096)

133. Uganda (4.081)

134. Burkina Faso (4.032)

135. Niger (4.028)

136. Malawi (3.970)

137. Chad (3.936)

138. Zimbabwe (3.875)

139. Lesotho (3.808)

140. Angola (3.795)

141. Afghanistan (3.794)

142. Botswana (3.766)

143. Benin (3.657)

144. Madagascar (3.644)

145. Haiti (3.603)

146. Yemen (3.593)

147. Sudan Kusini (3.591)

148. Liberia (3.533)

149. Guinea (3.507)

150. Togo (3.495)

151. Rwanda (3.471)

152. Syria (3.462)

153. Tanzania (3.349)

154. Burundi (2.905)

155. Jamhuri ya Afrika ya Kati (2.693

Chanzo BBC

Mataifa yenye furaha zaidi 2017

Swali je nini kinasababisha furaha kutokuwepo Kwa watanzania?

Cc Pascal Mayalla Shark jmushi1
Ukandamizaji na Uhuru wa democrasia =0
 
Hadi somali na Gaboni wametuzidi.

Tanzanai na rafiji yake Rwanda Chali!!!!

Yule mzee anayeogopa statistics sijui akiiona hiia atasemaje? Naona namba haziko upande wake kabisa.
 
Back
Top Bottom