Tanzania miongoni mwa nchi ambazo wananchi hawafurahii maisha angalia orodha kamili

Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.

Orodha imeangazia takwimu kutoka 2014 hadi 2016
Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.

Imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.

Orodha kamili:
1. Norway (7.537)

2. Denmark (7.522)

3. Iceland (7.504)

4. Uswizi (7.494)

5. Finland (7.469)

6. Uholanzi (7.377)

7. Canada (7.316)

8. New Zealand (7.314)

9. Australia (7.284)

10. Sweden (7.284)

11. Israel (7.213)

12. Costa Rica (7.079)

13. Austria (7.006)

14. Marekani (6.993)

15. Ireland (6.977)

16. Ujerumani (6.951)

17. Ubelgiji (6.891)

18. Luxembourg (6.863)

19. Uingereza (6.714)

20. Chile (6.652)

21. Umoja wa Milki za Kiarabu (6.648)

22. Brazil (6.635)

23. Jamhuri ya Czech (6.609)

24. Argentina (6.599)

25. Mexico (6.578)

26. Singapore (6.572)

27. Malta (6.527)

28. Uruguay (6.454)

29. Guatemala (6.454)

30. Panama (6.452)

31. Ufaransa (6.442)

32. Thailand (6.424)

33. Taiwan (6.422)

34. Uhispania (6.403)

35. Qatar (6.375)

36. Colombia (6.357)

37. Saudi Arabia (6.344)

38. Trinidad na Tobago (6.168)

39. Kuwait (6.105)

40. Slovakia (6.098)

41. Bahrain (6.087)

42. Malaysia (6.084)

43. Nicaragua (6.071)

44. Ecuador (6.008)

45. El Salvador (6.003)

46. Poland (5.973)

47. Uzbekistan (5.971)

48. Italia (5.964)

49. Urusi (5.963)

50. Belize (5.956)

51. Japan (5.920)

52. Lithuania (5.902)

53. Algeria (5.872)

54. Latvia (5.850)

55. Moldova (5.838)

56. Korea Kusini (5.838)

57. Romania (5.825)

58. Bolivia (5.823)

59. Turkmenistan (5.822)

60. Kazakhstan (5.819)

61. Cyprus Kaskazini (5.810)

62. Slovenia (5.758)

63. Peru (5.715)

64. Mauritius (5.629)

65. Cyprus (5.621)

66. Estonia (5.611)

67. Belarus (5.569)

68. Libya (5.525)

69. Uturuki (5.500)

70. Paraguay (5.493)

71. Hong Kong (5.472)

72. Ufilipino (5.430)

73. Serbia (5.395)

74. Jordan (5.336)

75. Hungary (5.324)

76. Jamaica (5.311)

77. Croatia (5.293)

78. Kosovo (5.279)

79. China (5.273)

80. Pakistan (5.269)

81. Indonesia (5.262)

82. Venezuela (5.250)

83. Montenegro (5.237)

84. Morocco (5.235)

85. Azerbaijan (5.234)

86. Jamhuri ya Dominika (5.230)

87. Ugiriki (5.227)

88. Lebanon (5.225)

89. Ureno (5.195)

90. Bosnia na Herzegovina (5.182)

91. Honduras (5.181)

92. Macedonia (5.175)

93. Somalia (5.151)

94. Vietnam (5.074)

95. Nigeria (5.074)

96. Tajikistan (5.041)

97. Bhutan (5.011)

98. Kyrgyzstan (5.004)

99. Nepal (4.962)

100. Mongolia (4.955)

101. Afrika Kusini (4.829)

102. Tunisia (4.805)

103. Maeneo ya Palestina (4.775)

104. Misri (4.735)

105. Bulgaria (4.714)

106. Sierra Leone (4.709)

107. Cameroon (4.695)

108. Iran (4.692)

109.Albania (4.644)

110. Bangladesh (4.608)

111. Namibia (4.574)

112. Kenya (4.553)

113. Msumbiji (4.550)

114. Myanmar (4.545)

115. Senegal (4.535)

116. Zambia (4.514)

117. Iraq (4.497)

118. Gabon (4.465)

119. Ethiopia (4.460)

120. Sri Lanka (4.440)

121. Armenia (4.376)

122. India (4.315)

123. Mauritania (4.292)

124. Congo (Brazzaville) (4.291)

125. Georgia (4.286)

126. Congo (Kinshasa) (4.280)

127. Mali (4.190)

128. Ivory Coast (4.180)

129. Cambodia (4.168)

130. Sudan (4.139)

131. Ghana (4.120)

132. Ukraine (4.096)

133. Uganda (4.081)

134. Burkina Faso (4.032)

135. Niger (4.028)

136. Malawi (3.970)

137. Chad (3.936)

138. Zimbabwe (3.875)

139. Lesotho (3.808)

140. Angola (3.795)

141. Afghanistan (3.794)

142. Botswana (3.766)

143. Benin (3.657)

144. Madagascar (3.644)

145. Haiti (3.603)

146. Yemen (3.593)

147. Sudan Kusini (3.591)

148. Liberia (3.533)

149. Guinea (3.507)

150. Togo (3.495)

151. Rwanda (3.471)

152. Syria (3.462)

153. Tanzania (3.349)

154. Burundi (2.905)

155. Jamhuri ya Afrika ya Kati (2.693

Chanzo BBC

Mataifa yenye furaha zaidi 2017

Swali je nini kinasababisha furaha kutokuwepo Kwa watanzania?

Cc Pascal Mayalla Shark jmushi1
Hizi ndo nchi za watu wenye furaha duniani. Kuna nchi hapo hazijaingia kwenye kundi hili. Nazo ni zile ambazo wananchi wake hawana furaha....
 
Tindo, hata wewe propaganda hii ya Idhaa ya mkoloni ni began kwa bega?,

Hata mm nimeijibu kiutani zaidi. Ila bila kujali sisi ni wangapi duniani ni ukweli kwamba kama nchi hatuna furaha, labda ww na viongozi wenye mishahara ya 5m+. Sisi wanyonge hatuna furaha bali raha yetu ni pale matajiri wanaponyooshwa.
 
Hata mm nimeijibu kiutani zaidi. Ila bila kujali sisi ni wangapi duniani ni ukweli kwamba kama nchi hatuna furaha, labda ww na viongozi wenye mishahara ya 5m+. Sisi wanyonge hatuna furaha bali raha yetu ni pale matajiri wanaponyooshwa.
Mkumbo tu, badili mbinu, ili mradi amani ipo
 
Repoti hii aione Humphrey Polepole ili amtaarifu Mwenyekiti wake

Angalia mtiririko huu....!!!Ule usemi wa ndege wa manyoya yanayofanana huruka pamoja....applies here!!
151. Rwanda (3.471)

152. Syria (3.462)


153. Tanzania (3.349)

154. Burundi (2.905)


Halafu Magufuli na Makonda wanajisifu kutembelewa na Kagame sijui kwa kujifunza huo udikteta au kunyanyasa wapinzani??
 
Furaha ni multi-dimensional, na msiseme figisu za mkoloni kwani hata report iliyopita wkt wa JK Tz ilikuwa chini vile vile
Mbona twaweza wakiwa against na misimamo yenu hua mnawatukana na kusema hawana lolote
 
Back
Top Bottom