Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,253
Asante sana kaka. Lakini hatuwezi sote kuwa wanasheria. Constitutional Law mi yanini bwana.....by the way sidhani ntakuwa mwanasiasa.Raisi ni mkuu wa Nchi. Na alama ya nchi. Hivyo kutumika kwa picha yake ni sahihi!
Kumbuka Raisi ni:
- Mkuu wa Nchi. (head of state)
- Amiri jeshi mkuu.
- Mkuu wa executive arm of the state.
Kasome const. law
Ni kweli kuna mihimili mitatu ya dola,yaani serikali,bunge na mahakama na kila mhimili una kiongozi wake mkuu,lakini katika utendaji kazi zinategemeana,kazi ya Bunge ni kujadili na kutunga sheria pamoja na kushauri na kuisimamia serikali katika kutekeleza sera za taifa,mahakama ni mtafasiri wa sheria na msimamizi mkuu wa sheria za nchi,serikali ndiye msimamizi mkuu na muidhinishaji wa sheria zilizotungwa na bunge ndiye anayetoa pesa kwa ajili ya ufanisi wa mihimili mingine,ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za mihimili mingine,hivyo kiongozi wa mhimili wa serikali ni mkuu kuliko wale wa mihimili mingine maana anawakilisha alama za taifaNawaza jambo hapa, kuwa kuna miimili 3 ya dola. 1. Bunge ambaye kiongozi mkuu ni speaker wa Bunge, 2. Selikari ambaye kiongozi mkuu ni Raisi na 3. Mahakama ambaye kiongozi mkuu ni Jaji mkuu, na kuna dhana kwamba mihimili hii haingiliani.
Swali ni kwamba kwann kwenye Bunge na Mahakama kuna picha ya Raisi ambaye ni kiongozi wa serikali? Kwann pasiwe na picha za viongozi wote 3 wa dola au kila sehemu kuwa na picha ya kiongozi wake Mkuu
Wajuzi mtuambie.
Hivi kama mtu ni mjinga unategemea mada zake ziweje?We jamaa mbona mada zako ni za kijinga sna.
Mbona wewe ni mpuuzi sana ? Hivi mtu kama wewe umewezaje kutumumia smart phone? Kumbafu kabisa.Imefika wakati Wanasheria muache kudanganya watu kwamba eti TZ Mihimili yote inategemeana na hakuna ulio na nguvu klk mwingine kama ni hivyo iweje Raisi wa JMTZ awe na uwezo wa kumtoa mtu Jela? Au iweje aweze kulivunja Bunge muda wowote amuapo na yeye kubakia kuwa Raisi wa nchi?
Hakuna kitu kama hicho, Raisi wa Tanzania Kikatiba yuko JUU ya Mihimili yote na vile vile JUU ya Sheria za JMTZ, acheni kudanganya watu na ndo maana tls na chadema hawampendi Raisi wetu lkn wako powerless, zaidi ya kukimbilia kwa Muzungu hakuna kingine mnaweza fanya ndani ya JMTZ, ...
Mungu atupokelee hiyo duaDuuu..huu ujinga umeanza mapema sana siku ya leo..
Mungu epushia mbali tukawe na siku njema.
Kumbe kuna semi- illiterate humu! Basi!!
!
Ni Kweli Kabisa. Selikali Iko Juu Ya Mihimili Mingine Yote. Selikali Inaweza Kuwepo Bila Uwepo Wa Bunge Au Mahakama. Lakini Bunge Au Mahakama Haviwezi Kuwepo Bila Selikali.
Mfano Selikali Ikiamua Kukuacha Isikukamate Au Isikupeleke Jela Baada Ya Mahakama Kukutia Hatiani What Can Mahakama Do? Au Bunge Likitoa Mapendekezo Selikali Ikayapiga Chini What Can Bunge Do?
Kama za kijinga unesha ujinga huo ktk aliloaandika.We jamaa mbona mada zako ni za kijinga sna.