Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

Hizi ramani zimechakachuliwa. Nilipokuwa primary school wakati wa enzi za ukoloni, ramani ya kwanza ya Tanganyika tuliyotumia darasani ilionyesha mpaka wa Tanganyika ukipita katikati ya Ziwa Nyasa.

na kwanini watu wanaachiwa kuzichapa hizi ramani feki........i mean pale pale nyumbani.......halafu zinauzwa mtaani watu wananunua tu........ukiingia hata ofisi ya Wizara ya Ardhi na cha ajabu hata ofisini kwa Membe niliiona hii ramani feki.............halafu huyu ndio anatuwakilisha kwenye mazungumzo........hivi umakini wetu uko wapi?.......
 
Dah wakisema wilaya ya Kyela nayo ni ya Malawi ina maana Mwakyembe na akina mimi ni raia wa Malawi,mambo mengine ni kutuletea shida tu wakati tulizonazo baado tunatabika nazo

twebamungonga tukobokaga kogo,,.. Mh! Haya ila wacha tuamie malawi labda ndio tunaweza saminiwa wanakyela,.
 
huyu mama atakuwa anatumiwa na nchi za magharibi tuweni makini naye

This president is advocating prostitutive politics kuwafurahisha na kujinadi kwa wazungu ili apewe misaada bila kujua misaada haijawahi leta maendeleo ya kudumu. Majina ya Banda yanaonyesha yana matatizo kwa sababu huu mgogoro haukupaswa kuibuka tena kwani ulikuwa solved uko nyuma
 
Hii inasikitisha sana kwa upande wetu!!!

Enzi za mwalimu iliwahi kutokea nakumbuka....lakini mwalimu alikuwa anamdhara sana banda!! Kupitia hotuba zake alikuwa

anatoa sababu mbili za kumdharau Kamuzu..

1. Raisi ambae hajui lugha ya wananchi wake!! anaongea kiingereza then anatokea mkalimani anatafiri kwa kichewa!!

2. Banda alishawahi kumdai mwalimu wanyakyusa/na makabila ya watu wote walioko mwambaoni mwa ziwa nyasa!!

alikuwa anadai eti ni wamalawi....nakumbuka mwalimu alikuwa anaipuuza sana kauli hii na kusema itakuwaje kwa wamasai

walioko kenya na yeye awadai!!!

.

Lkn kwa mnaofikiri njia ya vita inaweza kuwa suluhisho, inabidi wafikiri mara mbilimbili kwa serikali hii dhaifu tunaweza

kushinda vita yoyote ya kuihami mipaka yetu??.. JK anaweza kupeleka wanamziki wa TOT vitani tukapigwa nchi ikatekwa

hadi iringa!! Vita si mchezo inataka kiongozi mkuu awe na akili siyo dhaifu!!

Mie naona tuendelee kuwahimiza hawa viazi vyetu kina Membe..kuchukua hatua za ki-diplomasia haraka....

Huku tukisubiri kwa hamu uongozi wamaana utakapokuja mwaka 2015!!
 
Achana na mipaka isiyokuwa na kichwa wala miguu. Haiwezekani wananchi wa Kyela wasivue samaki na kutumia maji ya ziwa kwa kuwa eti ni mali ya malawi, kwani Kyela ilianza jana! Kwa hiyo mwananchi wa kyela akitaka kwenda Bambabay aombe visa malawi? Ninavyoongea mpaka sasa maji yale tunatumia kama kawaida na itakuwa hivyo milele. Wakibisha sana wajiandae kwa kichapo... Huu ni uhuni na ukizingatia maji mengi ya kujaza ziwa yanatoka Tanzania. Kama wanabisha tuwafuate lilongwe tukawachakaze. Halafu huyu mama yao(Rais Joyce) anajipendekeza sana kwa wazungu itakuwa vizuri sana kama watachapwa....
 
Wanasema pia Kyela ni yao...
 
Hii inasikitisha sana kwa upande wetu!!!

Enzi za mwalimu iliwahi kutokea nakumbuka....lakini mwalimu alikuwa anamdhara sana banda!! Kupitia hotuba zake alikuwa

anatoa sababu mbili za kumdharau Kamuzu..

1. Raisi ambae hajui lugha ya wananchi wake!! anaongea kiingereza then anatokea mkalimani anatafiri kwa kichewa!!

2. Banda alishawahi kumdai mwalimu wanyakyusa/na makabila ya watu wote walioko mwambaoni mwa ziwa nyasa!!

alikuwa anadai eti ni wamalawi....nakumbuka mwalimu alikuwa anaipuuza sana kauli hii na kusema itakuwaje kwa wamasai

walioko kenya na yeye awadai!!!

.

Lkn kwa mnaofikiri njia ya vita inaweza kuwa suluhisho, inabidi wafikiri mara mbilimbili kwa serikali hii dhaifu tunaweza

kushinda vita yoyote ya kuihami mipaka yetu??.. JK anaweza kupeleka wanamziki wa TOT vitani tukapigwa nchi ikatekwa

hadi iringa!! Vita si mchezo inataka kiongozi mkuu awe na akili siyo dhaifu!!

Mie naona tuendelee kuwahimiza hawa viazi vyetu kina Membe..kuchukua hatua za ki-diplomasia haraka....

Huku tukisubiri kwa hamu uongozi wamaana utakapokuja mwaka 2015!!
Hilo nalo neno!
 
Great Thinkers, You should trust your government, it is very stable and everything concerning the border conflict over lake Nyasa is under control.

Never jump to an issue brother.

Ni uzalendo ndiyo unatufanya tuwe na wasiwasi! kama serikali iko macho hakuna tatizo kabisa,lakini kumbuka lazima tuseme kuonesha dukuduku zetu,naamini serikali haiwezi kunyamaza kwa hilo lakini na mimi ninawajibu wa kusema na hata kupigania nchi yangu hata kama ni kwenda mstari wa mbele kupambana!
 
Nimeipata hii kutoka Facebook ya balozi wetu Malawi:
Patrick Lusiano Tsere We were both under the British rule who in their education system taught Tanganyikans that the boundary passed in the middle of the Lake and taught Malawians that the lboundary was in the eastern shoreline of the Lake. This means the water is Malawian but the land beyond where you find Mbababay Litui Manda and Kyela is Tanzania. However interestingly Malawi use the 1890 agreement to defend their position and Tanzania also does the same. Where is the difference? Malawi donot look at the agreement in the contextual sense while we do. The good news is we are only begining to talk over the issue. There seem to be willingness on both countries to resolve the matter without resorting to an external mediator. We are having another follow up meeting on 20 th August in Mzuzu.
 
Mawazo yangu ni kwanza tutake haki sawa kwenye Ziwa, au tugawe mara 3 nchi 3 zinazopakana kwa usawa, au Tanzania tuchukuwe eneo letu na lile la Malawi pia, au hiyo kazi apewe Dr. Migiro afanye hiyo tu 24HRS akishindwa tuvamie kigeshi na kukalia upande wa Ziwa kati yetu na Malawi
 
Unajua sisi watz ni wakarimu sn nakumbuka yule shujaa nyirenda aliyeenda kusimika bendera ya taifa pale kileleni mwa mlima kilimanjaro alikuwa mmalawi.
 
Wanasema pia Kyela ni yao...

Hawana jipya kwani wanatakiwa kutumia busara tu wasije wakawa kama Idd Amin Dada. Kama hawataki tutumie maji basi inabidi tutumie nguvu ili wakashitaki kokote. Kwanza nafurahi mpaka sasa maji na kuvua samaki na utalii vinafanyika bila hata bughudha kabisa. Ni kama kelele za mlango vile...
 
Mawazo yangu ni kwanza tutake haki sawa kwenye Ziwa, au tugawe mara 3 nchi 3 zinazopakana kwa usawa, au Tanzania tuchukuwe eneo letu na lile la Malawi pia, au hiyo kazi apewe Dr. Migiro afanye hiyo tu 24HRS akishindwa tuvamie kigeshi na kukalia upande wa Ziwa kati yetu na Malawi
Suali ni kwamba kama Malawi inakubali mpaka wake na Msumbiji unapita katikati ni kwa nini basi wasikubali mpaka na Tanzania nao upite katikati?
 
Suali ni kwamba kama Malawi inakubali mpaka wake na Msumbiji unapita katikati ni kwa nini basi wasikubali mpaka na Tanzania nao upite katikati?

Jasusi,

..kwani mpaka wa "Dosh ist afrika" kwenye ziwa nyasa ulikuwa wapi?

..Muingereza ali-negotiate na Wareno mpaka wa Nyasa Land na Mozambique.

..Je, ni nini kilisababisha wasi-negotiate na Wajerumani???

..hivi hayo maelezo ya Balozi Tsere do they make any sense to u ktk kuielewa position ya Tanzania?
 
jokaKuu,
Wakati wa mjerumani sina hakika mpaka ulipita wapi. Naona waliotuchezea ni Waingereza. Walisema hili Nyasaland wakisema tofauti Tanganyika. Na balozi Tsere anaonekana laid back bila wasiwasi kwamba suala hili litapatiwa ufumbuzi. Let us hope he is right.
 
Back
Top Bottom