Tanzania kuwa na mabilionea 5000 ni maajabu mengine duniani

Hawa ulioweka ni mabilionea kwa viwanho vya dolari. Waziri kazungumzia mabilionea wa Watanzania kwa kiwango cha Shilingi za Tanzania. By the way, mbona huwa msema Freeman Mbowe ni bilionea! Au huwa mnamkejeli!?
Huwa tunamkejeli, yule ni gaidi tu.
 
Hawa ulioweka ni mabilionea kwa viwanho vya dolari. Waziri kazungumzia mabilionea wa Watanzania kwa kiwango cha Shilingi za Tanzania. By the way, mbona huwa msema Freeman Mbowe ni bilionea! Au huwa mnamkejeli!?
 
Wanafika, hujui tuna wazee wa vijisenti, wamama wa milioni 10 ya mboga, mia tisa itapendeza nk
 
machinga.jpg
 
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000.

Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake.

Lkn ukweli wenyewe ilibidi ahojiwe atupatie chanzo au kigezo alichotumia kupata hizo takwimu.View attachment 2002000
Yupo sahihi. Orodha ya dunia ulioionesha wanatambulika in U$ billions, hawa 5000 wa kwetu in Tshs billions.
 
Tupe kigezo uluchotumia wewe kuhakikisha kuwa yupo sahihi
 
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000.

Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake.

Lkn ukweli wenyewe ilibidi ahojiwe atupatie chanzo au kigezo alichotumia kupata hizo takwimu.View attachment 2002000

Dollar billionaires vs TZS billionaires?
 
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000.

Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake.

Lkn ukweli wenyewe ilibidi ahojiwe atupatie chanzo au kigezo alichotumia kupata hizo takwimu.View attachment 2002000
Wewe umeweka orodha kwa currency ya dollar ila waziri kaweka data iliotokana na TRA ambayo statistics zake zimewekwa kwa Tsh Sasa unachoshangaa nn
 
Tsh. Milioni 1000 ni kawaida. Kama Mbunge mmoja kiasi cha jumla anachoingiza kwenye miaka mitano ya ubunge sio chini ya Tsh. Milioni 500. Akifanya biashara na dhuluma kuwa Bilionea sio jambo gumu.

Polisi wakubwa wala rushwa, mafisadi kwenye taasisi za umma, wauza ngada, wakwepaji wa kodi, watakatishaji wa fedha bila kuwasahau wazee wa 10% kwenye miradi ya umma.

Wachache sana wamepata ukwasi kwa njia halali kama biashara, uwekezaji na uchimbaji wa madini.

Kuwa na mabilionea 5000 ni wachache sana kwa Tsh. Maana wapo hadi wasanii, wadangaji na wazee wa freemasons na makafara.

Kama ni USD. Hata 10 hawavuki.
Usd ukouko USA apa tuna tsh
 
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000.

Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake.

Lkn ukweli wenyewe ilibidi ahojiwe atupatie chanzo au kigezo alichotumia kupata hizo takwimu.
Nyumbu ni nyumbu tu, waziri aliongelea bilionea wa Tshs. wewe unatuletea bilionea wa usd.
 
hivi kwanini maskini wana tabia ya kuchukia matajiri(mabilionea)?
alichokimaanisha waziri ni mabilionea in terms of Tsh.
 
Watanzania tuna shida katika kufikiri ,bilionea ni mtu anayemiliki milioni 1000 na kuendelea,hao 5000 ni wachache sana ,tusiwaze kimaskini sana kwenye madini wapo,kwenye usafirishaji wapo,kwenye mahotel wapo,kwenye biashara wapo
 
Back
Top Bottom