Tanzania kuwa na mabilionea 5000 ni maajabu mengine duniani

Atakuwa research alifanyia kwa Murombo Arusha. Pale ukinunua miguu miwili ya mbuzi na bia za elfu 50 wewe ni bilionea kuanzia siku hiyo.
 
Pia alisaidiana na waziri Mwijage aliyesema kuwa ukiwa na cherehani 3 basi wewe ni mwekezaji
 
Watanzania tuna shida katika kufikiri ,bilionea ni mtu anayemiliki milioni 1000 na kuendelea,hao 5000 ni wachache sana ,tusiwaze kimaskini sana kwenye madini wapo,kwenye usafirishaji wapo,kwenye mahotel wapo,kwenye biashara wapo
Kweli tanzania hii ni matajiiiriii na sasa ni dooona kantriiiiii
 
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000.

Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake.

Lkn ukweli wenyewe ilibidi ahojiwe atupatie chanzo au kigezo alichotumia kupata hizo takwimu.View attachment 2002000
Marekani inazidiwa na China kwa ma bilionea Ila hao mabilionea wake utajiri wao Ni mkubwa Sana kuzidi hao Chinese
 
Pia alisaidiana na waziri Mwijage aliyesema kuwa ukiwa na cherehani 3 basi wewe ni mwekezaji
Siyo muwekeza, bali alisema ni kiwanda. Lkn alikuwa akijaribu kuelezea Chinese techniques kwamba production ya nguo na bidhaa za nguo nyingi hushonwa majumbani. Mfano wafanyabiashara wanaweza wakawapa tender ya kushona nguo mtaa fulani kwa mkataba wa kupewa materials (majola), aina, kiwango mfano pcs 50 kwa juma, halafu kuwauzia wafanyabiasha ambao nao wana export hizo cadets sehemu mbalimbali duniani mpaka huku Tanzania.
 
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000.

Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake.

Lkn ukweli wenyewe ilibidi ahojiwe atupatie chanzo au kigezo alichotumia kupata hizo takwimu.View attachment 2002000
We ndo huelewi, alisema akimaanisha bilionea kwa hella za kibongo, we una seach kwa hella za USD, huoni kama huna akili na mmetofautiana scale
Na usiseme kwann asitumie USD maana ndo kiwango cha dunia(english) jibu ni nae anatumia kiswahili
 
Hongera sana wewe mwenye akili na bilionea wa Nkuhungu
 
Kuna waziri juzi aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina jumla ya mabilionea 5000.

Kwa bahati mzuri sana alishangiliwa sana na makada na wafuasi wa chama chake.

Lkn ukweli wenyewe ilibidi ahojiwe atupatie chanzo au kigezo alichotumia kupata hizo takwimu.View attachment 2002000
Hawa Billion $ ...above sisi TZS 1Billion.....ardhi na mbingu
..
 
Kama ni hela ya madafu atakuwa sahihi,kwasababu ukiangalia tu mabilionea wa Arusha kwenye madini ,hawa kina vunjabei wako wengi,Ila kama ni hela ya madafu
 
Bwana weee ukiweza kula ugali wako na dagaa kutwa mara tatu wewe ni milionea.
 
Back
Top Bottom