Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,457
- 4,351
Eeeh...! Kumbe Israel ni nchi ya kikiristu...!
Thanx 4 info...!
Nilikuwa sijajua kuwa Jews ni wakiristu...! lol
Mmmh! plus bongo pia...! lol
Sasa wewe unadhihirisha kwamba jina lako (X-pastor) ni la kufoji au ulikuwa pastor feki. Niambie Mkuu Makka siyo mji wa kiislamu? Mimi ninajua ni mji wa Kiislam kwasababu Quruan inasema hivyo. Kwa upande mwingine Biblia inasema Jerusalemu ni mji wa Bwana, ni mji Mtakatifu. Tena kabla ya kifo na ufufuko wa Kristo, Mungu aliwaamuru watu wasali kwa kuangalia Jerusalemu au kwenda kabisa. Yoh. 4:23. si Wayahudi wote ni Wakristo, ila Wayahudi ni msingi wa Ukristo Rum.11:1-32. Bongo ni nchi yetu Mkuu, tunaabudu kwa uhuru, dini zote zinapewa fursa sawa ya kumtumikia Mungu wao. Sasa unapaswa kukumbuka kwamba Mungu wetu sisi Wakristo ni Yehova, ni yule Mungu wa Yakobo (Israel). Hivyo Mungu wetu sisi ni Mungu wa Israel. Na Jerusalem ni mji Mtakatifu.